Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Mi binafsi sipendi ndege...I like traveling with buses au personal driving
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mboba umeanza kujihami mkuu. Sisi dada zenu ndo tunawajua vizuri kaka zetu wa Dar msotaka kusimama kwenye daladala eti mnachoka wakati kuna mama na tumbo kubwa la ujauzito kasimama.
Wadarrrr hao
 
Mmeshapita malandizi? ujue watu wako ubungo wanakusubiri

tungekuwa tushafka huko ila kuna malori yameongozana hapa yameleta uzibe, sijui ni wajeda hao!! ila ndo tunaingia mlandiz
 
Mie ticket nakata kwa simu tu hapo ubungo nikifika ni kukabidhiwa ticket na kuingia kwenye basi..mpe hi dada Nurat, ndio agent wangu huyo
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji1]
 
Ndo hivyo mtapitwa hadi tinde. Hakuna gari inayokimbia sana siku hizi labda waandae rushwa ya kutosha kwenye tochi ndo wataweza kimbia utakavyo
[emoji23][emoji23][emoji23] na tochi ziingue zote
 
Kisbo noma kunaoha niliipandaga hapa Mikumi inatokea Mbeya sikuwahi kuona basi zinazokimbia kama zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…