Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Shuka utembee kwa miguu uenda ukawahi
 
Ligi tamu Ni Dar-Mbeya,Hai express newforce ya tunduma
 
Basi za mwanza-mbeya ligi ilikua nzuri zaman,sahv hamna kitu...Basi zote vimeo!!
 
ni kweli sio yule wa kwanza, sasa naona huyu aliyeingia ni mdogo wake Michael Schumacher. jamaa ananyoosha mguu hadi raha
Ntakukatia ticket siku moja ya bombadia ili utupe live stream kati ya precision na bombadia nani zaidi.
 
Sasa hivi ndio muda wa madereva kuonyesha uwezo. Hakuna torch. Hapo ni uwezo wa dereva tu kuona usiku na kupishana bila ya kupunguza speed
 
Nimeupenda huo msemo
 
Giza limeingia [HASHTAG]#sexer[/HASHTAG]
haoni maeneo, tumia google map mkuu!
 
ni kweli sio yule wa kwanza, sasa naona huyu aliyeingia ni mdogo wake Michael Schumacher. jamaa ananyoosha mguu hadi raha
Au kaingia yule jamaa wa transporter reloded?
Nahisi mpo moro kwa sasa
 
Kuna basi moja la Osaka, ni scania ila nawaonea huruma wanaopandaga, linapiga kelele hatari. Lile ukipanda lazima uwe unatafuna big G kuepuka masikio kuuma.
 
baada ya singida hakuna aliyekatisha, wale waliotupita shy tulibambana singida walikuwa wanaenda arusha. nadhan huko mbele yetu kuna kidia one, katagi sijajua anaenda wapi make naye alipopita hajaonekana tena.
kudia na katagi dom Zilikuwa nyuma yenu
 
baada ya singida hakuna aliyekatisha, wale waliotupita shy tulibambana singida walikuwa wanaenda arusha. nadhan huko mbele yetu kuna kidia one, katagi sijajua anaenda wapi make naye alipopita hajaonekana tena.
kudia na katagi dom Zilikuwa nyuma yenu
 
dodoma ilikuwa saa 9. nilishawahi toka dar to mwanza na zuberi, saa mbili niko mwanza tena buzuruga nikaangalia na taarifa ya habari

Ila siku hizi safari ya mwanza ni mateso tu. Nakumbuka kuna siku tulifika shinyanga saa tano na nusu usiku Traffic Police wakaizuia bus ikabidi watu walale mpaka asubuhi
 
Umenikumbusha ligi ya Tawaqal na Kiswele enzi hizo Dar to Songea, huku kuna giriki kule yuko Yogi palikuwa hapatoshi!
 
Tulia hapo hapo, tochi zimeshapaki, ni mwendo wa kunyoosha goti tu saa hizi, saa tatu usiku moro, saa tano na nusu usiku ubungo........

Ndugu Habari ya masiku?
 

nilidhan wanaJF waliniingiza chaka. kumbe walinishaur vizuri
 
Subili utatuambia kufika singida nani yuko mbele. No pm nikwambie siri
 
hahahaha subiri tu itakapoanza kupaa kama hujashukia Singida..

Ila likipiga msinga nitakuja kucharaza viboko abiria wooote humo..
Kwani watasikia maumivu,[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…