Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,423
Nilitoka Dom saa 12:15 asubuhi na kibinyiko nilifika moro saa nne kamili, dar niliingia saa nane na dakika kama 12...... Kwa muda uhuu mnaweza tumia masaa matatu kufika moro na masaa mawili kufika dar.... Kimbinyiko na lenyewe linapasua si mchezo sijui wanakuwa washawapa police pesamkuu moro ni kabla ya saa 3, saiz inasoma kibaigwa unadhani moro itakuwa saa ngap?
kanipita hapa nyumban bahi road saa 1840huyo nilimuona mara 1 pale stand ya missungwi akiwa nyuma yetu na hajaonekana tena. ebu fikiria tumekula singida hadi tumeondoka haonekani.
Kimbinyiko inayokimbia ni ile inayotoka dar saa 8 mchana ile ni konyoNilitoka Dom saa 12:15 asubuhi na kibinyiko nilifika moro saa nne kamili, dar niliingia saa nane na dakika kama 12...... Kwa muda uhuu mnaweza tumia masaa matatu kufika moro na masaa mawili kufika dar.... Kimbinyiko na lenyewe linapasua si mchezo sijui wanakuwa washawapa police pesa
kibaigwa
Mkuu mpaka sasa kuna gari zipi za mwanza Dar zilizo wapita?zile asubuhi zilizo wapita kabla ya shinyanga msha zipita hadi muda huuu?
baada ya singida hakuna aliyekatisha, wale waliotupita shy tulibambana singida walikuwa wanaenda arusha. nadhan huko mbele yetu kuna kidia one, katagi sijajua anaenda wapi make naye alipopita hajaonekana tena.
tulisimamishea ikungi tu, sasa sijui ilikuwa torch ama nn.
Dah kweli zama zimebadilika..nakumbuka Ally's ilikua inaingia morogoro stand saa 11 jioni...na wakati huo kipande cha Manyoni bado vumbi..
record ipi kiongoz? huu uzi ni wa aina gan kwan mkuu?!
Mkuu ninunulie korosho za buku mbili utanikuta hapa geti la kutokea ubungo nikupatie pesa yako.record ipi kiongoz? huu uzi ni wa aina gan kwan mkuu?!
Mwambie huyoo aanze kutubu dhambi zake mapemaKwahyo ukaona uje na uzi humu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unachekesha but keep calm kisbo ni gar hatar sana kwa afya yako, subiri mda si mrefu Utatamani wakushushe lakin haitawezekana yani wanakimbia hadi kero na huyo aliyetangulia muhesabia mda tu hutamuona mbele yenu tena
Huyo dereva anaitwa Khalifa,noma sana.record ipi kiongoz? huu uzi ni wa aina gan kwan mkuu?!
Hiyo picha uliyoweka kwenye avatar si ni ile movie ya aphocalypto??? Km sijakosea jina nimekisew spelling kidogo niliipenda mnooo [emoji7]khaa! kuna gari inaitwa katagi nayo imetupita hapa hatujafika hata missungwi
Hakika mkuu hakuna kamaRoute ya dar arusha ndio imekua ya kibwege hakuna gari linalokimbia tena...
Daima tutazikumbuka
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian express