Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

 
Mambo ya Mabasi Bwana....
Zamani route ya DAR-MWANZA
Kulikuwa na basi la Super Najmunisa,Zuberi,Wifi nae,Spreme 11,Amit,
yote 9...10 Super ilikuwa ndo baba lao,kuna Dereva mmjoja alikuwa anaitwa Rama Mtoto,acha kabisa huyo jamaa,alikuwa anaendesha Super Najmunisa ni balaa....alikuwa nafahamika kila kona,alishaacha udereva nowdays...
Control zilikuwa zimejaa kichwani na barabara ilikuwa ni Vumbi acha kabisa hata ilivyowekwa lami jamaa alikuwa ni balaa "Rama Mtoto" Dar-Mwanza...baadae Dar-Kahama.
 
Kuna ile kisbo moja (bombastic) ilikua ni hatari sana ,siku hiz sijui imefia wapi
 
Sitoki kwenye huu uzi, hadi saa sita usiku...mkuu [HASHTAG]#sexer[/HASHTAG] endelea kutupa taarifa,

Tulia hapo hapo, tochi zimeshapaki, ni mwendo wa kunyoosha goti tu saa hizi, saa tatu usiku moro, saa tano na nusu usiku ubungo........
 
Hahaha...jibu zuri sana hili..nimeshangaa jamaa sijui sijui alikua anapiga mahesabu ya wapi hayo...
 

Achana na hayo mabasi ya wanywa gongo na viroba!! Njoo twenzetu na mchuma huu uliotulia!!

huyo nilimuona mara 1 pale stand ya missungwi akiwa nyuma yetu na hajaonekana tena. ebu fikiria tumekula singida hadi tumeondoka haonekani.
 
Tulia hapo hapo, tochi zimeshapaki, ni mwendo wa kunyoosha goti tu saa hizi, saa tatu usiku moro, saa tano na nusu usiku ubungo........

mkuu moro ni kabla ya saa 3, saiz inasoma kibaigwa unadhani moro itakuwa saa ngap?
 
mkuu moro ni kabla ya saa 3, saiz inasoma kibaigwa unadhani moro itakuwa saa ngap?

Mkuu mpaka sasa kuna gari zipi za mwanza Dar zilizo wapita?zile asubuhi zilizo wapita kabla ya shinyanga msha zipita hadi muda huuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…