Tuma picha yako kwanza ndio nikushauriNdo maana sijawa gf wako
Watu kama nyie ndo nawapenda sana mtu hujiskii kucheka ila ukisom comment tu unaeza usiangalie comedy....Afu inaonekana unapenda ugomvi sana ww#mkeo anashida jamani najua atakuw anaishi kama dolphinSjaelewa charting maana yake nini ?
Njoo na maana ya charting , usije na povu

Wewe haujawahi kuwapost wanawake wowote na kuwaandikia maneno kama hayo au yanayofanana na hayo?We demu ni mjanja sana.kiufup hao rafiki zako unawataka sema tatzo ndo hvo haijawa.so unajarib kuweka mazingira wakuelewe tuu,
Sasa jamaa yako namuunga mkono,hata mim ujinga huo ni marufuku kwangu.useme nna wivu sjui,habar ndo hyo,hzo ndo rules zangu...nampongeza jamaa sabab hatak ujinga
Mi nshawaacha wasichana weng kwa kuhis tuu,na ndo mwendo wangu huo,sasa je ndo nione wish kama hzo si ndo ntafkuza kabisa..pambaf kabisa..we kuwa na jeur,utabak unapigwa mashine tuu wanaume wanakukimbia,unazeeka.jifanye mzungu tuu
Ah ah ah nakataaa huna miaka hio.nina 49elim haina mwisho jamn
UKIACHWA ACHIKA UKITEMWA TEMEKAHabari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love
" Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
raha kwelikweliUtoto raha sana
Wewe msichana ni mwingi (bado macho juu juu). Pia bado hujaona (You are still young). Siku ukitulia na kuelewa thamani ya uhusiano - uje uulize hapa. Kwa hint tu umesema uliiga utamaduni wa nje coz ulkua unakaa nao, kinachokushinda kurudi kwenye wako n nn?Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love
" Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
Sjawai,siwez fanya hvo hata sku1,tunatofautiana..halaf ukiona mtoto wa kiume anapost post sanaa picha,especialy za kuwawish madem ,lazma ana vi element vya ushoga,sabab mwanaume kamil kuwa na rafik wa kike et mmeshibana,halaf asimgonge,ni nadra sanaWewe haujawahi kuwapost wanawake wowote na kuwaandikia maneno kama hayo au yanayofanana na hayo?
SawaSjawai,siwez fanya hvo hata sku1,tunatofautiana..halaf ukiona mtoto wa kiume anapost post sanaa picha,especialy za kuwawish madem ,lazma ana vi element vya ushoga,sabab mwanaume kamil kuwa na rafik wa kike et mmeshibana,halaf asimgonge,ni nadra sana