Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kumbe alishakwambia kinachomkwaza na asichokipenda ila ukaendelea kuyafanya ambayo unajua mwenzio yatamkwaza ni dalili za kibri na jeuri......boyfriend wako yupo sahihi
Anataka udhunguu mwanawane wakati yeye ni full mmatumbi .... Amfuate mdhungu sasa...
 
Usimfanyie hivyo mwenzako,wakati Timy hategemei kurudi!
Hahahaaaa yaan siez kumsaliti Mwenzangu kisa Timy..cha pili timy ni agement i cant date(sitaki kupoteza mda)lakin mwenzangu ndo husbnd to be interval 6 yrs...Labda akitak yy tuachane tunaachana kiroho safi...
 
Sasa kama unaleta uzungu mwingi why usiliwee kirahisi... Jamaa kapotea njia sanaa...
Usipende kuongea sana .. et kuliwa kirahisi unadhan hil jamvi la wageni???
 
Sasa kama unaleta uzungu mwingi why usiliwee kirahisi... Jamaa kapotea njia sanaa...
Au unadhani mim ndo yule jiran yako wa pale karibu na kiduka? mnaemuita cha wote rikiboy huezi kuwa serious ndo maan yule binti alikukataa naona stress unazimalizia kwangu
 
Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
Tatizo limeanzia hapo ulipoamua kuiga tamaduni za wazungu, huo ni utumwa wa kifikra. Kwetu sisi (waafrika) kumuita mtu baki wa jinsia tofauti "my love, my dear, mpenzi n.k" ni jambo pana mno haliishii kwenye urafiki tu. Hebu acha maisha ya kuigiza, ishi maisha yako. Unaishi uswahilini, umezungukwa na waswahili sasa huo uzungu wa kuiga wa kazi gani!!???
 
Yaan .. Kuna kipindi pia niliwahi kuishi maeneo flani yaan ndo nikajikuta na mimi wa mambele ndo maan unakuta napost kitu nasahau kabisa kama hii ni tanzania
Acha maigizo, ungekuwa gf wangu ningeshakung'oa meno ya mbele kitambo sana, huwa sitaki mchezo.
 
Sipo kwa ajili ya language course apa....Umeelewa hujaelewa? au unajiskia kuongea tu afu mim siyo dictionary niwe muongozo wako ...
Sjaelewa charting maana yake nini ?

Njoo na maana ya charting , usije na povu
 
Tatizo limeanzia hapo ulipoamua kuiga tamaduni za wazungu, huo ni utumwa wa kifikra. Kwetu sisi (waafrika) kumuita mtu baki wa jinsia tofauti "my love, my dear, mpenzi n.k" ni jambo pana mno haliishii kwenye urafiki tu. Hebu acha maisha ya kuigiza, ishi maisha yako. Unaishi uswahilini, umezungukwa na waswahili sasa huo uzungu wa kuiga wa kazi gani!!???
Unajua naishi wapi? au nilikuwa naishi wapi? au kisa nmesema msasani ndo unadhan naish uswahilini? so usipende kusema kitu ambacho hukijui naeza kuwa pure mtanzania lakin sijakulia tanzania kwahiyo sion shida
 
Sjaelewa charting maana yake nini ?

Njoo na maana ya charting , usije na povu
Hiyo r ndo inakuumiza kichwa yaan watu bhna mnavituko computer yenyewe huwa ina typing errors mim ni nani nisikoseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom