Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda kuishi apartment moja ipo msasani..Tulikaa pale miezi kama 6,katika kukaa pale mda mrefu kulikuw na familia ya kizungu ambayo tulitokea kuw kama familyfriends nilipata rafiki jinsia me (timy)alikuw about 19yrs kutokana na kuwa marafik sana nilianza kujikuta nafata culture ya western yaan kumuita mtu love,hny,dear wa jinsia me niliona kawaida tu kutokana na mazngira kwani wengi pale walikuw wa swedish..lakin timy alirudi kwao kwani wazazi wake walimaliza mkataba wao hapa tanzania. sasa week ilopita ilikuw birthday ya timy(rafik yangu) nikampost status na kuandika " blow more candles love " Niliandika tu as friend na sikuwaza chochote lakn upande wa pili(my boyfriend) imeleta shida kwani hataki kuelewa anadai nina mahusiano nae nmejarib kumueleza ukweli bado haelewi anasema "achana na mim mfate huyo huyo mmewako" sipendi kuonekana mnyonge kisa love, nataka ku break-up kwa sababu huwa sipendi kuumiza kichwa kwa unwanted stress Lakin nahis sitakuw right kwan sometimes huwa ananiweka wazi mpaka ananionyesha sms the way wasichana wanajitongozesha na hata chartin zao unaona kabisa misimamo yake but inshort anajielewa ila mwepes wa hasira na wivu mno..but hii imekuw too much sababu toka iyo last week hapokei sim,sms hajibu nmemueleza uhalisia bado anadai siyo mara ya kwanza mim kupost maneno kama hayo kwa jinsia me. kuhusu kupost Ni kweli kwan nilikuwa na marafik wakizungu na nepalian kama neighbors tu lakini my boyfriend anasema hii ni too much..kipindi cha nyuma nilimueka waz juu ya marafik zangu nikajua amenielewa and kaona ni kawaida lakin hii post ya week ilopita imekuwa kama ni ktu cha mara ya kwanza yaan haelewi kbsa .Nifanyaje nikae kimya mpaka anitafute au ni move on tu..maana vyote naviweza shda upande wake anaeza kujirudi akakuta nisha focus na mambo mengine #sometimesyessometimesno
Kwa hiyo umeamua kuja kumteta huku?
 
Na mpuuzi nmemdump week iliyopita kwa ujinga na shobo kwa waarabu wanawake wa kibongo punguzen shobo wa ngozi nyeupe kwan ukipost happy born my friend utapungukiwa damu?
 
Aiemu ze swiden ze besidei.. so if eeeeh boyfriend wako say no, mi no problem i say yes. Come come come PM give namba and i love you furend
 
madem wengine wapumbavu sana, ushajua boyfriend wako hafagilii hizo njaro na ukaamua kufanya kwamba ulikua unapima wind speed/direction au!? shenzy type na your western culture.
 
Swali la msingi Kama unajua hapendi hvyo vitu kwann upost? Hayo maneno!!!!!! Mbona Kuna lugha nyepesi tu!!!!!

Kuna vitu vingne mnavitafuta wenyewe!!!!!!¡!???

Ukifuata utaratibu wa kabila lako na taifa lako hutogombana nae!!!!!!!!!!
Kabisa
 
madem wengine wapumbavu sana, ushajua boyfriend wako hafagilii hizo njaro na ukaamua kufanya kwamba ulikua unapima wind speed/direction au!? shenzy type na your western culture.
Same
 
Acha ku proove wrong maisha yangu hujui nimesoma wapi au nilizaliwa wapi au nilikulia wapi ... Dont judge
Kwani kushobokea foreigners kuna uhusiano gani na kukulia au kuzaliwa wapi?unaweza kuzaliwa USA na ukawa na shobo na rangi nyeupe pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom