Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

acha uzungu sisi ni waafrica, ya wazungu waachie wazungu...cha kufanya mpe simu yako akae nayo walau siku 3 ajiridhishe kwamba jamaa alikuwa hali mzigo...
Nilituma hadi screenshots za chartn kuanzia one mpka 10
 
Tatizo bindamu wa siku hizi nyie ni wabishi sana...

Kuuliza siyo ujinga, sawa hao wakizungu unawaita love na makops kopa, je rafiki zako wa kiume waswahili unawaita love na makopa kopa pia?

Ushajua mwenzako hizo tabia hapendi, kwa nini uziendeleze... unamkosea sana... ana haki ya kuchukia...

Cc: mahondaw
Jamna tena kama yote hao waswahil siku hiz mambo ya bday utakuta mtu kapost labda hbd mpenzi miaka kama yote nakupenda.....Na hapo hamna hata mahusiano yyte fatilia bday wishes sku hzi hasa uko status
 
Mambo mengine mnajitakia. Ili uwe na mahusiano mazuri ni lazima ujue mpenzi wako anapenda/hapendi nini. Wewe unajua kuwa unapopost status unaweka picha za wanaume, yeye hapendi, bado unafanya hivyo. Maana yake hujali hisia zake. Inahatarisha mahusiano yako, acha ku please marafiki. Hakuna mwanaume anayependa hayo. Mwisho utahama toka kwa mwanaume mmoja hadi mwingine kila siku, halafu uje hapa kutafuta 'mchawi', kumbe mchawi ni wewe mwenyewe. Grow up, badilika.
 
Yupi unayempenda kwa dhati? Huyo jamaa au hao rafiki zako wa kizungu?. Na kati ya hao wazungu akikuambia anakupenda utamkatalia au utamkubalia?.
 
Mambo mengine mnajitakia. Ili uwe na mahusiano mazuri ni lazima ujue mpenzi wako anapenda/hapendi nini. Wewe unajua kuwa unapopost status unaweka picha za wanaume, yeye hapendi, bado unafanya hivyo. Maana yake hujali hisia zake. Inarisha mahusiano yako, acha ku please marafiki. Hakuna mwanaume anayependa hayo. Mwisho utahama toka kwa mwanaume mmoja hadi mwingine kila siku, halafu uje hapa kutafuta 'mchawi', kumbe mchawi ni wewe mwenyewe. Grow up, badilika.
Thanks
 
Yupi unayempenda kwa dhati? Huyo jamaa au hao rafiki zako wa kizungu?. Na kati ya hao wazungu akikuambia anakupenda utamkatalia au utamkubalia?.
Siez kubali na haiwez tokea wakani aproach
 
uhic uko paris kumbe kwa mtogole?acha kuigiza maisha,huyo boy wako yuko sahih sana jitathmin cz huo n utoto na ikiwezekn ukiaombe msamaha yaishe,hulka yyte ya mwanaume hatak kuchukuliwa inferior kwa mwanaume mwnzke kisa mwanamke ko maamuz yake n ya msingi sanaa
 
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom