SawaWewe msichana ni mwingi (bado macho juu juu). Pia bado hujaona (You are still young). Siku ukitulia na kuelewa thamani ya uhusiano - uje uulize hapa. Kwa hint tu umesema uliiga utamaduni wa nje coz ulkua unakaa nao, kinachokushinda kurudi kwenye wako n nn?
I think kwenye hili jukwaa tunatakiwa kudiscourage hawa watoto wanaokomaa na fornication wangali wadogo. Haya mambo yatakuja kuwacost sana mkikua na kuoa/olewa. Wewe jiandae na maisha - mapenzi utakuja kuwa nayo hadi uchoke
Yaan .. Kuna kipindi pia niliwahi kuishi maeneo flani yaan ndo nikajikuta na mimi wa mambele ndo maan unakuta napost kitu nasahau kabisa kama hii ni tanzania
😆😆😆😆😆 muongeze bia kwa bill yangu huyo mleviApologising doesn't always mean you are wrong and the other person is right, it sometimes shows that you value the relationship than your ego. Alisikika mlevi mmoja
😂😂😂😄😄😄 as clear as it appearsKama ulikua haujui definition ya Shobo ndio hiyo ya kwako kwa hao Wazungu;unaonesha ni mtu wa kupapatikia sana foreigners,huyo mtoto mwenzio ashukuru ametua time bomb
Tayari, na mwenye baa kasema hiyo hela utume kwangu nimpatiemuongeze bia kwa bill yangu huyo mlevi
Nipe dakika 5 tu Chap kwa ukali sms pendwa inafika kwa sim yako.Tayari, na mwenye baa kasema hiyo hela utume kwangu nimpatie
Mpenzi naona uzi huu umekufurahisha sana
Nipe dakika 5 tu Chap kwa ukali sms pendwa inafika kwa sim yako.Tayari, na mwenye baa kasema hiyo hela utume kwangu nimpatie
yani japo sijamuelewa mtoa mada ila wakomentiji ndio wananipa raha😆Mpenzi naona uzi huu umekufurahisha sana
Halafu utakuwa kazuri eeeh....achana na huyo boyfriend wako mie nitakuruhusu kuandika chochote kwa status.