Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Kumbe ndio wewe rafiki yake Timy?Kumbe hujaacha tu kumsumbua jamaa?

Nakufahamu sana!
 
Jamani siyo hivo...Yaan sijui hata nisemeje
Ulivyomaliza shuleni mkaenda kupanga msasani? Wewe na bf wako? Kama ndio unawezaje kuishi na mwanaume bila ndoa wakati wewe bado ndogo( kwa maandishi yako nimehisi mdogo). Au mlienda kuishi wewe na nani? Sorry kama sijakuelewa.

Pili kama una malengo na huyo bf wake usirudie kosa hilo wewe waliona Dogo ila ni kubwa.
Usijifanye jeuri .mtumie hii SMS sasa hivi Mimi Dada yako nimesema😁😁

" sweetheart, am very sorry, kindly sorry . hii haitojirudia sikufanya makusudi na sikujua nakuudhi." I love u. Plz forgive me.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maneno ya mkosaji anikule alikwmbia anarudi?????? nauli utamtumia???? au ww ndgu yako atafikia kwako???? mind your head
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata kichakani utaliwa tuu..mwanamke mwenyewe wewe
 
Umeishi Msasani lakini umeshindwa kutofautisha Chat na Chart. Kweli ushamba ni mzigo mkubwa sana.
 
We demu ni mjanja sana.kiufup hao rafiki zako unawataka sema tatzo ndo hvo haijawa.so unajarib kuweka mazingira wakuelewe tuu,

Sasa jamaa yako namuunga mkono,hata mim ujinga huo ni marufuku kwangu.useme nna wivu sjui,habar ndo hyo,hzo ndo rules zangu...nampongeza jamaa sabab hatak ujinga

Mi nshawaacha wasichana weng kwa kuhis tuu,na ndo mwendo wangu huo,sasa je ndo nione wish kama hzo si ndo ntafkuza kabisa..pambaf kabisa..we kuwa na jeur,utabak unapigwa mashine tuu wanaume wanakukimbia,unazeeka.jifanye mzungu tuu
 
Nashauri best ang ebu kaa chn jishushe mwombe msamaha nae ni binadamu atakusamehe zen usichotaka mwenzako asikufanyie jitaidi usimfanyie. Ndo hayo tu dada ang kipenzi
 
Kumbe ndio wewe rafiki yake Timy?Kumbe hujaacha tu kumsumbua jamaa?

Nakufahamu sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ulivyomaliza shuleni mkaenda kupanga msasani? Wewe na bf wako? Kama ndio unawezaje kuishi na mwanaume bila ndoa wakati wewe bado ndogo( kwa maandishi yako nimehisi mdogo). Au mlienda kuishi wewe na nani? Sorry kama sijakuelewa.

Pili kama una malengo na huyo bf wake usirudie kosa hilo wewe waliona Dogo ila ni kubwa.
Usijifanye jeuri .mtumie hii SMS sasa hivi Mimi Dada yako nimesema[emoji16][emoji16]

" sweetheart, am very sorry, kindly sorry . hii haitojirudia sikufanya makusudi na sikujua nakuudhi." I love u. Plz forgive me.
No nilipang na family....Cyo bf..Lov u wise
 
[emoji16][emoji16]Lov u dada [emoji7]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata kichakani utaliwa tuu..mwanamke mwenyewe wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi dumb words unatoa wapi??? afu unanifaham?? maan una comment kama unanijua in-out
 
Umeishi Msasani lakini umeshindwa kutofautisha Chat na Chart. Kweli ushamba ni mzigo mkubwa sana.
Sipo kwa ajili ya language course apa....Umeelewa hujaelewa? au unajiskia kuongea tu afu mim siyo dictionary niwe muongozo wako ...
 
We demu ni mjanja sana.kiufup hao rafiki zako unawataka sema tatzo ndo hvo haijawa.so unajarib kuweka mazingira wakuelewe tuu,

Sasa jamaa yako namuunga mkono,hata mim ujinga huo ni marufuku kwangu.useme nna wivu sjui,habar ndo hyo,hzo ndo rules zangu...nampongeza jamaa sabab hatak ujinga

Mi nshawaacha wasichana weng kwa kuhis tuu,na ndo mwendo wangu huo,sasa je ndo nione wish kama hzo si ndo ntafkuza kabisa..pambaf kabisa..we kuwa na jeur,utabak unapigwa mashine tuu wanaume wanakukimbia,unazeeka.jifanye mzungu tuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole sana sipo kama unavonifkiria .... lait ungejua usingeongea huo upuuzi[emoji23][emoji23]nacheka kwa dharau sana yaan ma pumpkin kam ww huwa nawachora tu
 
Nashauri best ang ebu kaa chn jishushe mwombe msamaha nae ni binadamu atakusamehe zen usichotaka mwenzako asikufanyie jitaidi usimfanyie. Ndo hayo tu dada ang kipenzi
Asante sana F183 ..Watu kama nyie ndo wakuigwa katika jamii maan kuna mijitu inakurupuka tu ku comment upuuzi
 
We demu ni mjanja sana.kiufup hao rafiki zako unawataka sema tatzo ndo hvo haijawa.so unajarib kuweka mazingira wakuelewe tuu,

Sasa jamaa yako namuunga mkono,hata mim ujinga huo ni marufuku kwangu.useme nna wivu sjui,habar ndo hyo,hzo ndo rules zangu...nampongeza jamaa sabab hatak ujinga

Mi nshawaacha wasichana weng kwa kuhis tuu,na ndo mwendo wangu huo,sasa je ndo nione wish kama hzo si ndo ntafkuza kabisa..pambaf kabisa..we kuwa na jeur,utabak unapigwa mashine tuu wanaume wanakukimbia,unazeeka.jifanye mzungu tuu
Eti nishawaacha wasichana wengi kuacha wasichana wengi ndo solution au unaona sifa tu kuropoka[emoji57]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom