hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,347
- 80,220
hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani jamani!!
Ndo yamekuwa haya!?
hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani jamani!!
Ndo yamekuwa haya!?
Muulize MshanaKuna mtu hana akili?
Sijawahi ona huyo mtu
Hahaha, umelielewa au inategemea na mimi?
Kashindwa kuuliza swali.
Mtu akiuliza "kutuka kwa ndege kunawezekanaje?"
Halafu akaombwa ufafanuzi, unaposema ndege, unamaanisha nini?
Akashindwa kufafanua, kashindwa kuuliza swali.
Hujajibu swali nililouliza, unaelewa "immanent critique" ni nini?
Mkuu ukitaka maelezo zaid katafute kitabu kinachoitwa miracle of your mind by murphy ameelezea vizurikwahiyo wewe upo upande gani between those two counciousness you listed?
Kwakuwa akili ni yale mambo unayoyaona na kuyatambua mazingira yake na ukaweza kuyaelewa na kuyatunza ktk kumbukumbu hivyo tukitaka kufahamu akili yako tunakupima kwa kuangalia unayaelewa vp mazingira yako unayoyaonaSijaelewa hapo kinachopimwa nini?
Mkuu katafute kitabu cha miracle of your mind by murphy ameeleza vzr sana mwandishi kila siku mnaambiwa kule tafuteni mtaona au itafute elimu japo ktk miji ya china me nimekupa mwanga kdg 2 katafute kitakusaidiaHebu toa mifano ili tupate picha ya kile unachokisema.
Kila mtu anayiona dunia kwa uelewa wake mwingne anaiyona hivi mwngne vileAiseeee....
You are right kote huko lakn hapo uwepo wa mungu ndio shida mungu hayupo kama square root of negative watu walibuni kurahisisha maishaKuna shida kidogo hapo conscious mind haionekani bali kupitia matokeo ya vitendo vyake... Yani yale mtu ayafanyayo yote anapokuwa live... Unachoweza kuona ni matokeo sio kichokoo cha matendo yanayoleta matokeo na mojawapo ni utambuzi ama maarifa ya kitu kupitia milango sita ya fahamu
Subconscious mind inaitwa akili tuli yani mwili unapokuwa kwenye dormancy state... Hauna fahamu ya utambuzi kwa maana ya kwamba sio mfu lakini mifumo mingine inaendelea kufanya kazi
Sasa hapa ndio walipokwepa wengi kujibu kuhusu uwepo wa Mungu... Yupo lakini huwezi kumuona kama ulivyo na akili ambayo huwezi kuiona
Haya sasa ni maoni binafsi... I rest my case... Asante kwa kushiriki mjadala kwa njia ya kukwamua tulipokuwa tumekwama...You are right kote huko lakn hapo uwepo wa mungu ndio shida mungu hayupo kama square root of negative watu walibuni kurahisisha maisha
Mkuu tatizo mungu kwenye hivyo vitabu amedanganya vingi thats why watu wanaona hizi ni hadith km kweli yupo kwann asiongee ya kweli?Uko sahihi kama hii ndio tafsiri sahihi ya akili sasa kwanini kuna watu wanataka ithibati za kuwepo kwa Mungu wakati Mungu ni kama akili ambayo ipo lakini haionekani wala kupimika!? Bali hujidhihiri kwa matendo ya ufahamu kulingana na mazingira yaliyopo?
Je watafurahia na kukubaliana na jibu lako hili?
Mkuu tatizo mungu kwenye hivyo vitabu amedanganya vingi thats why watu wanaona hizi ni hadith km kweli yupo kwann asiongee ya kweli?
Hivi kwanini inakuwa kwamba mnasema kiujumla kuwa hakuna mungu kabuniwa tu,ila hoja zenu zinazowafanya mseme zinaishia kuvitaja vitabu vya dini tu?Mkuu tatizo mungu kwenye hivyo vitabu amedanganya vingi thats why watu wanaona hizi ni hadith km kweli yupo kwann asiongee ya kweli?