Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hivi unajua kwanini nimekunukuu lakini? Umeandika Mungu Amedanganya. Unaelewa tofauti yake na haya uliyoyaandika?
Amedanganya kuwa jua linatembea wakati lipo stationary mpaka kipindi kile kanisa lilikuwa na mamlaka ya kidini na kiserikali ikapelekea kumua Gallileo kuwa alisema dunia ndio inayotembea ikaonekana anapingana na maandiko juzi juzi 1992 ndio kanisa kupitia papa wameomba msamaha
 
Amedanganya kuwa jua linatembea wakati lipo stationary mpaka kipindi kile kanisa lilikuwa na mamlaka ya kidini na kiserikali ikapelekea kumua Gallileo kuwa alisema dunia ndio inayotembea ikaonekana anapingana na maandiko juzi juzi 1992 ndio kanisa kupitia papa wameomba msamaha

Kwa hiyo Mungu AMEDANGANYA?.
 
Mkuu Mshana labda nikuulize swali dogo we tokea ulivyozaliwa habari za mungu neno mungu kama yupo umesikia ukiwa na umri gani?
Tangu nikiwa mdogo nyumbani miaka kama mitatu na kuendelea..ila ni habari za Mungu mkuu na sio mungu
 
Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu yupo SABABU hayupo.Angekuwepo tusingekuwa na malumbano leo.
Precisely.

Sasa kwa nini ukweli wa wazi kabisa na mdogo tu kama huu unazusha mgogoro mkubwa sana?
 
Mungu mwenye uwezo wa kuumba mema tu then anaumba na mabaya anashangaza sana.Ukiuliza utaambiwa God works in mysterious ways..

Mungu mwenye uwezo wa kumuangamiza shetani kwa neno tu then anamuacha anazidi kushangaza.
Kiufupi unaweza ukajiuliza maswali lukuki juu ya huyu Mungu yasiyo na majibu na jibu ni kuwa Hayupo.
Ukitumia fikra kimantiki unaona hayupo.

Tatizo watu wameamua kutotumia fikra kimantiki.
 
Umendeeleza maswali yako ya kwanini hivi na sio vile? hakuna ulipoonesha uhusiano kati ya hayo unayoyauliza,sifa za mungu na kutokuwepo mungu.

Kama hapo unauliza kwanini Mungu hakufanya antibiotics zijulikane toka mwanzo,muda mwengine utauliza kwanini asingefanya ulimwengu usiwe na maradhi kabisa kama ulivyokuwa unahoji kwanini Mungu karuhusu kifo.

Na ndiyo maana huwa nasema unaamini kuwa hakuna mungu,maana baada ya kujiuliza hayo maswali unaishia kuhitimisha kuwa hakuna mungu.
Hujajibu maswali.

Umeyakimbia tu.
 
Hapo naomba nitofautiane na wewe. Maswali mengi kama sio yote yatahitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kujibiwa.

Bado narudia tena, swali ameuliza. Unaweza kutoa maoni kuhusu muundo, mantiki, na mengineyo unaweza kufanya hivyo lakini haiondoi kwamba hilo ni swali.

Au unataka nikuulize swali ni nini?
Nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni ipi utajibu vipi?
 
Sijui

Kama umeshindwa kunipa maelezo ya nilichokuuliza hadi niwe naelewa maana ya immanent critique, tatizo linazidi kua kubwa.
Linazidi kuwa kubwa kwa sababu ya upeo wako mdogo usiojua immanenct critique ni nini.

Na hilo ni tatizo lako wewe, sio langu mimi.
 
Linazidi kuwa kubwa kwa sababu ya upeo wako mdogo usiojua immanenct critique ni nini.

Na hilo ni tatizo lako wewe, sio langu mimi.

Kwa hiyo hauwezi kunijibu kwa sababu sijui immanenct critique?
 
Back
Top Bottom