Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kwa hiyo mshana Samaritan and co mmeamuaje kuhusu Kiranga and co,tuwafanyeje hawa
Mungu yupo... The almighty one... Bisha! Kanusha! Pinga...! The God is there to stay.... Ulimwengu wa roho kamwe haujawahi kushindwa na ulimwengu wa mwili
 
Una uhakika na usemacho?

Kama mwenye akili ni yule mwenye kuutambua uwepo wa mungu bhasi sina akili.

Kwani yeye kajibuje?

Mimi nimeongea nini ambacho unadai sijasoma vizuri?
Swali lenu linauliza akili ni nini?

Sasa hata kama utaambiwa kuwa huna akili kwa sababu hautambui uwepo wa mungu,bado hapo swali la akili ni nini halijajibiwa.

Kama huyo msemaji alikusudia akili ni nyumba na wewe nyumba unayo ispokuwa tu hauamini uwepo wa mungu,je utakubali kuwa huna nyumba kisa hauamini uwepo wa mungu?
 
Nimesoma hii kwa masikitiko makubwa nikasema you know nothing about how you got to be present,,,

Ulipoumbwa ulipewa hekima na maarifa uyatumie katika kujidefend na kitu chochote katika ulimwengu huu

Your power,wisdom and knowlege ,all lie within the matirx system of your brain and that is where all wisdom and knowlege to know the knower rest,,,,

You were cretaed to survive around this palanet depending on how you combat and conqer limitness and boundaries across ways of your life ...

The pineal gland was given to you to connect you with the supreme being so that you could be aware about how nature is,,,,,the pineal gland could show you how the ability to create anything you want simply because you are the personal aspect of GOD hence you can create everything you want,,,


Simply because your pineal gland that activates your intuitions and ability to conqer the limitness is not active ndo mana unajikuta unaamini second hand informations from scientists who have already activated the pineal gland and found themsleves in the level to create and study deeply how nature is,,,

Your pineal gland has been calcified hence you can not sense the presence of the supreme being as the most hingh one....you have no ability even to sense the presence of the most high one,,,,


God can not reveal himself simply because he lives and dwells in another plane of reality,,to recognize that you as human being have to ascend and share the ability he has so that you can perfom as high miracles as him but the mode to reach there needs you to activate your potential of realm,,,

Am very sory to conclude that you know nothing about that,,,,even the little bit you know about nature keeps floating under darkness of reality....
Usijisumbue hamini katika hayo ndg.usitupie lulu Nguruwe

Niliwahi kumwambia atabaki ViZa.ila makusudi anajifanya haelewi.Rojo la Yai limemlevya.hawezi kukuza mawasiliano tena.labda muujiza utokee.

Vile Mama atakaporidhishwa na waitikiao na kunyanyuka kuendelea na yake na wale waliotikia kwa Mda..! Sijui itakuaje kwake.!?

Hajui kuwa Hapa pamehatamiwa Tu_ tena kwa mda kutengeneza Miungu kwa haraka na mda ukifika panabomolewa.wakati yeye kakomaa na MaQuantum.!

Wenzake wanaporuhusu Ufahamu nje ya mipaka ya kibinadamu wanatambua code za mawasiliano na hakika ya kile kilichopo juu yao

Wanapasua kuta za Yai kwa wakati na kupata fursa ya kutembea na Mzazi.!

Ili waishi na Mzazi na baadae Vile Vile na wao wakamilishwe kuwa kama Mzazi,Na namna nyingine nyingi.

Anawezaje kujua haya Uyu..!

Kuwa ile siri anaelezeka kwa namna nyingi nyingi.

Yeye anadhani anajadiliana na Watu wa kidini.!wakati Dini kwetu ni kiamshio Tu cha Mtu wa ndani.

Mwache akomae na Macontradiction ya vitabu na ajione BinGwa,kupoteza watoto

Wakati wenzake wanafanya DNA activation na wanastudy Body language and open 5D counscious and every thing become eiser_like piece of cake!

Mwendo wa Patapotea akinuna na Anune. Mungu OYe
 
Mungu yupo... The almighty one... Bisha! Kanusha! Pinga...! The God is there to stay.... Ulimwengu wa roho kamwe haujawahi kushindwa na ulimwengu wa mwili
Ndio!
Hata mimi nakubaliana na hilo, na ndio maana mimi binafsi ni mfuasi wa dini fulani!!

Lakini kuna swali linanikerengesha sana,

Je Mungu kaumbwa na nani!?

Au tuseme Mungu katokea wapi!!?

Tafadhari kama kuna yeyote anayejua, ntafurahi sana kufahamishwa hilo!!
 
Kwanza kwanini ajiite Mungu,kuna mahusiano gani kati ya hilo neno mungu na anachokifanya sasa Beyonce hadi aamue kujiita hivyo?

Na vp endapo Jay-z angekuwa na wake wawili na wote wanamuziki,ina maana huyo mke mwengine naye automatically angekuwa mungu maana ameolewa na Jay-z na ni mwanamuziki?


Halafu hakuna Mungu wa kwenye vitabu bali kuna maelezo ya kwenye vitabu kuhusu Mungu.

Nadhani wafuasi wake na yeye mwenyewe ndiyo wanajua ni sifa zipi wameziona hadi kufikia kumuita/kujiita hivyo.

Jay-z kuwa na wake wawili sioni kama inaleta contradictions kokote zaidi ya kumaanisha kuwa wake zake hao wawili watakuwa ni miungu( kwa sifa walizojiwekea).

Shida iko upande wa huyu tunayeaminishwa kwamba ni mjuzi wa yote ila akamuumba Shetani ambae akaja kuwaharibu waja wake halafu eti atakuja kuwachoma moto.

Mwenye upendo wote Ila anawaadhibu viumbe wasio jua mema na mabaya kwa makosa ya binadamu,rejea gharika ya Nuhu.Kama haitoshi anawaadhibu vizazi na vizazi hadi ambavyo havijazaliwa leo kwa makosa ya wazazi.Mahakama zetu pamoja na mapungufu yake lakini haziwezi kumwadhibu Kulwa kwa makosa ya Dotto.Huu upendo wote ukoje!?

Ana uwezo wote,ila wafuasi wake wakiulizwa ana uwezo wa kutengeneza kitu ambacho hawezi kukibeba? Majibu yanakosekana.
 
Ndio!
Hata mimi nakubaliana na hilo, na ndio maana mimi binafsi ni mfuasi wa dini fulani!!

Lakini kuna swali linanikerengesha sana,

Je Mungu kaumbwa na nani!?

Au tuseme Mungu katokea wapi!!?

Tafadhari kama kuna yeyote anayejua, ntafurahi sana kufahamishwa hilo!!
Kama wewe ni mwamini huna haja ya kuhoji hayo.. Kwakuwa je ukishajua yatakusaidia nini kwenye imani yako? Kwakuwa hata hao wasioamini hawana maelezo yaliyonyooka zaidi utapewa links za big bang nk...
Baki na hili kitabu cha mwanzo kisome kiroho na si kama novel! Mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi na ndio maana wasio waamini wanakwepa kujibu swali la msingi kuhusu akili
 
Kama wewe ni mwamini huna haja ya kuhoji hayo.. Kwakuwa je ukishajua yatakusaidia nini kwenye imani yako? Kwakuwa hata hao wasioamini hawana maelezo yaliyonyooka zaidi utapewa links za big bang nk...
Baki na hili kitabu cha mwanzo kisome kiroho na si kama novel! Mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi na ndio maana wasio waamini wanakwepa kujibu swali la msingi kuhusu akili
Unachosema si kibaya sana bwana mshana, lakini, kwani kujua hilo kuna madhara gani!?

Na isitoshe sisi binadamu huwa tuna udadisi sana, tafadhari kama unajua nakuomba uniambie mkuu!!
 
Unachosema si kibaya sana bwana mshana, lakini, kwani kujua hilo kuna madhara gani!?

Na isitoshe sisi binadamu huwa tuna udadisi sana, tafadhari kama unajua nakuomba uniambie mkuu!!
Hakuna shida ndio maana nikakuomba ukasome kitabu cha mwanzo kwenye Biblia takatifu
 
Hakuna shida ndio maana nikakuomba ukasome kitabu cha mwanzo kwenye Biblia takatifu
Sura gani hususa ya hicho kitabu!? Au nisome chote!?

Lakini mkuu Mshana jr, kama wewe ulishakisoma na ukaelewa na sasa unajua kuwa Mungu aliumbwa na nani au alitokea wapi, nadhani ungerahisisha tu kwa kutoa jibu moja kwa moja hapa hapa!!

Kwa kufanya hivyo hata wengine watakuwa wamewlimika.

Ahsante!!
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.

Sasa toka uanze kuzisoma post/comments za Kiranga wewe unamuweka wapi kwenye hilo!?

Je,ana huo uwezo wa kuchakata mambo ama hana!?

Kama jibu lako ni ndiyo maana yake ana akili.Na kama huo uwezo hana maana yake si hana akili!!.

Mjadala unakuwa umeishia hapo na tuendelee na hoja zingine.

Ila siku nyingine nyinyi wafuasi wa Mshana Jr muache kuwa mnauliza maswali ambayo majibu yake yapo clear.Kama ni kuendelea kumtolea sadaka jamaa yenu ili afaidishe familia yake huku nyinyi waumini wake mkishindia mlo mmoja endeleeni.Na maandiko yenu yamewaambiwa kabisa kuwa mnaangamia kwa kukosa maarifa!!

Kwanza kabisa, naomba uweke sawa kwamba mimi sio mfuasi wa Mshana kama ulivyodai. Najua hauwezi thibitisha hilo.

Pili, nilitoa maelezo ya kufafanua maana ya akili nikimjibu jamaa ambae tulienda hadi akaahidi kunitumia andiko lake lakini hadi sasa hivi hajafanya hivyo.

Kwa muktadha huo, kuhusisha jibu langu na uwezo au kuamua kwamba ana akili au hana si sawa.
 
Hahaha! Ngoja nifungue kabati hapa nicheki Kama nnayo!😀

Akijibu kwa tafsiri yake utamuelewa? Maana ni kama mtu akuulize, “una mafanikio”? Certainly mafanikio yana maana tofauti. Kuna mtu nyumba ni mafanikio, na mwingine kuwa na mwembe au mchenza ni mafanikio!

Hicho unachoita akili, kuna wanaosema “akili ya kutafuta pesa”, kwa tafsiri ya huyo mtu, siyo kwamba asiye na pesa hana akili, bali hana akili ya kuitafuta. You see?

Ina maana ww ukiulizwa una akili utauliza akili zipi?
 
Sura gani hususa ya hicho kitabu!? Au nisome chote!?

Lakini mkuu Mshana jr, kama wewe ulishakisoma na ukaelewa na sasa unajua kuwa Mungu aliumbwa na nani au alitokea wapi, nadhani ungerahisisha tu kwa kutoa jibu moja kwa moja hapa hapa!!

Kwa kufanya hivyo hata wengine watakuwa wamewlimika.

Ahsante!!
Si vizuri kila wakati kutafuniwa kila kitu.. Bible takatifu ina soft na hard copy unaweza kuipata kwa urahisi nje ama ndani ya mtandao
 
namini namsubiri hapa hapa ajichanganye aseme anaijua vizuri ndo nimkaange vizuri na quantum physics yak,,,,anadhani wengine watujui kuhusu quantum tecnlogy that tries to explani about the core of everything....nimemsubiri ajibu hiyo artice watu wafunguke vuzuri kama hatajikana leo sijui
Ukiona mtu anajisifia kuwa anajua sana mambo hapo jua hamnamo kitu.Ndiyo wewe ukifanyacho kujisifu eti unajua sana quantum physics,badala ya kuchangia kwa fact ili sisi watazamaji ndiyo tutapima huo utaalamu wako.

Kiranga ni mchambuzi wa mambo sana tena deep kuzidi hata huu utumbo wako ila hakuna hata siku moja aliwahi kujisifu kwa uelewa wake.

Sasa umeulizwa Mungu muweza wa yote anaweza umba jiwe zito kiasi cha yeye kushindwa kulibeba,hujajibu na badala yake umeanza taarabu tu.

Kwa mara nyingine Kiranga ameshinda hii debate!!
 
Mshana
Akili ni yale mambo yote unayoyaona na ukaweza kuyatambua kupitia mazingira au ufahamu wako kwa kufikiria au uelewa na kuyatunza ktk kumbukumbu.Na asili yake ubongo


Huwezi kupima akili maana ni uelewa hivyo ukisema mtu ana akili au hana akili lazima uwaambie watu unamaana gani
Lazima ufafanue ili ujibiwe mtu mtu yoyote anayezaliwa anakuwa ana akili tayari Maana akili ipo muda wote na hiyo ndio
Inayokutofautisha na viumbe wengine,tofauti inakuja ktk uelewa baina ya mtu na mtu au uwezo wa kufikiri au kukumbuka

Lakini pia mtu anaweza kuzaliwa
Na ugonjwa wa akili anakuwa anayo akili lkn ina matatatizo si Kama hana hivyo hakuna mtu duniani asiyekuwa Na akili ila wapo wenye matatizo ya akili ktk ubongo mfano epilepsy Au cerebral palsy.Pia ukiweza kudevelope Tabia badae ambayo ikakupelekea ktk hali kushindwa kujielewa au kuyatambua mazingira itakuwa psychotic disorder

Lakn ktk Psychiatry utakuja gundua huwezi ona mtu anauliza
Una akili au Hana akili,bali atauliza ana matatizo ya akili au magonjwa ya akili maana anajua akili Muda wote ipo tokea unapozaliwa,ktk akili huwa tunapima uelewa conscious na akitaka fanya hivyo atafanya assement ya mental status utaona anafanya yafuatayo:-

=> muangalie mtu muonekano wake na tabia yake
=> pia maomgezi yake utaweza jua uelewa wa mtu
=> mood yake mtu wa kukasirika? Au
=> mawazo yake unapoongea nae anawaza nini
=> ufahamu wake unamuuliza we nana anakuambia mi Obama utajua huyu
Chenga
=>pia km yupo hallucinated au anaangoea anajua mwenyewe Mara shetan anakuja

Hivyo unaweza kujua km mtu yupo conscious lakn ukisema mtu ana akili au hana waambie watu unamaana gani Na km hutaki fafanua hiyo ni self defense mechanism ya kuogpoa
Changamoto
Asante kwa kujibu na maelezo marefu juu... Japo mwisho umeishia kutetea upande mmoja.. Bado ni sahihi kabisa siwezi kukulaumu...
Kwenye jibu jibu lako umechanganya mambo mengi kwa pamoja kwakuwa ni kwa vile ulikuwa unajitahidi kulinda kile ulichoandika
Akili kwa muktadha wako huu ni ufahamu (sio fahamu) na ndani ya huo ufahamu ndio tunapata maarifa! Sawa?
Kukosa akili maana yake ni kukosa ufahamu! Sawa!? Kukosa maarifa! ... Lakini bila kujali kama una AKILI ama huna hili ni jambo la kihisia zaidi... Halionekani, halishikiki, haikamatiki nk lakini lipo... Kwahiyo mtego wa swali sio kujibu swali la msingi bali swali litakalofuatia na hapa ndio ishu ya uwepo wa Mungu inapoingia...
 
Back
Top Bottom