Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nimekuuliza,kwa kuwa ana uwezo wote ukiwemo wa uumbaji,je anaweza akaumba jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba!?
Sijawahi kuona mahali Mungu kaumba jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba

Taja hizo contradiction zako na sio kuniuliza maswali yasiyo na msingi
 
Rudia tena kusoma nilichoandika maana inaonesha hujakielewa
Mkuu hizi rangi unatuumiza macho wengine.

Nimesoma vizuri tu mkuu sina haja ya kurudia,nimeuliza hivyo kwa sababu ulichokisema ni kwamba kinachowafanya mseme hakuna mungu ni kwamba kuna contradiction.
Hiyo ndio sababu ya nyie kusema hakuna mungu.
 
"Mungu kwenye hivyo vitabu AMEDANGANYA" kweli? Amedanganyaje?
Swali je adam ni binadamu wa kwanza? Huu ni uwongo mkubwa ambao vitabu vinadanganya pili ukisoma kitabu cha jeshoua utaona bwana akalisimamisha jua hivi ni kweli jua lilikuwa linatembea? Kwakuwa mungu kupitia watu wa zamani walikuwa hawajuh kama lipo stationary ndio wakasema hivyo yaan kuna uwongo sehemu nyingi
 
Hivi unajua kwanini nimekunukuu lakini? Umeandika Mungu Amedanganya. Unaelewa tofauti yake na haya uliyoyaandika?
 
Nianze na haka kadogo tu,

Mungu mwenye uwezo wote anaweza akatengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba!?

Haka kaswali kadogo nimemuuliza mwenzako Kiranga ameishia kuniuliza kama najua immanent critique.

Sasa nakuuliza na wewe,
Unapisema Mungu mwenye UWEZO WOTE, hadi hapo kushindwa hakupo. Sentensi hiyohiyo unaendelea tena anaweza (hapo sio tatizo) jiwe kubwa (nimeuliza hili jiwe ni kubwa kiasi gani? Vipimo vyake vikoje?) utata unakuja hapa HAWEZI kulibeba (inakannganya na kuvuruga swali lote ambalo limeshaeleza uwezo wote awali).
 
Back
Top Bottom