Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Wapi nimesema namini supernatural powers? Unaelewa supernatural powers ni nini? Wapi nimesema naamini super natural powers ni Mungu?

Unaweza kunipa nukuu hiyo?
sasa ndugu ,nimekwambia niliandika vile kwa sababu hata hiyo quantum physcis ina believe on the core source of energy ambapo all matter ,energy and all forces originate under from their operation,,ndo mana nakwambia unaamini from quantum physics wakat hiyo hiyo quantum physcs ina amini juu ya core of all energy within the universe,kataaa kama quantum physics haiamnin hivo ,,,??
 
Mbona haueleweki mara useme unataka kujua aina za akili mara tena unauliza akili ni nini!
Hauoni kama unajichanganya?

Hadi sasa haujaeleza ukaeleweka kwamba swali la "una akili?" limekushinda wapi kulielewa?

Hilo neno akili ni neno la kiswahili lenye kutumika kwenye maongezi ya kila siku,ila kama wewe unaona ni neno tata basi unapaswa kueleza jinsi gani hilo neno lilivyo tata kiasi cha kukufanya ushindwe kuelewa kusudio la muuliza swali.

Hauelezi hilo neno kama ni tata au lina maana zaidi ya moja.
Sieleweki wapi?

Kujua aina za akili kivipi wakati nataka kujua akili ni nini...

Nataka maelezo ktk kujua anachouliza ili nimjibu kuwa akili hapo kwa maelezo ninazo au sina.
 
sasa ndugu ,nimekwambia niliandika vile kwa sababu hata hiyo quantum physcis ina believe on the core source of energy ambapo all matter ,energy and all forces originate under from their operation,,ndo mana nakwambia unaamini from quantum physics wakat hiyo hiyo quantum physcs ina amini juu ya core of all energy within the universe,kataaa kama quantum physics haiamnin hivo ,,,??
Quantum Physics ina amini?
 
What is there to explain? Hujui kusoma Kiingereza?

Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba ashindwe kulibeba?
inshort hujuw kudefend hata misimamo yako,,nilkwambia nitakushika tu hata huko unakobelieve,,,,acha swaga wew jamaaa..unabelieve in quantum physics wakati hujui chochote quantum physcis inarely...
 
inshort hujuw kudefend hata misimamo yako,,nilkwambia nitakushika tu hata huko unakobelieve,,,,acha swaga wew jamaaa..unabelieve in quantum physics wakati hujui chochote quantum physcis inarely...
Nimetafsiri swali kwenda Kiswahili kwa kufikiri labda huelewi Kiingereza.

Lakini, hata baada ya kutafsiri swali, hujanijibu.

Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba ashindwe kulibeba?
 
Nimetafsiri swali kwenda Kiswahili kwa kufikiri labda huelewi Kiingereza.

Lakini, hata baada ya kutafsiri swali, hujanijibu.

Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba ashindwe kulibeba?
GOD can prove the way you want but not the through ways you predict
 
Nimetafsiri swali kwenda Kiswahili kwa kufikiri labda huelewi Kiingereza.

Lakini, hata baada ya kutafsiri swali, hujanijibu.

Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba ashindwe kulibeba?
you believe fron nothing then you fail to defend the nothingness you belive,,,nimekwambia tuongelee hiyo quantum physics yako ilete uhalisia,,,unakwepa
 
Kwa kweli Mungu kama yupo, halafu anajifichaficha, anajifanya kuwa mgumu kueleweka, watu wakikutana naye mbinguni wana haki ya kujitetea kwamba hawakumjua na hawakumkubali kwa sababu alijificha na hakujiweka wazi.

Kwamba yeye ndiye mwenye makosa kwa kutojiweka wazi, na si kwamba watu wana makosa kwa kutomfuata.

Haiyumkiniki Mungu huyu awepo.
'Wakikutana mbinguni.'..
Mkuu huko mbinguni ulipopataja ni wapi??
 
'Wakikutana mbinguni.'..
Mkuu huko mbinguni ulipopataja ni wapi??
Ni sehemu ya hadithi ya kufikirika.

Kama nchi ya Wagagagigikoko kwenye kitabu cha hadithi za Bulicheka.

Au nchi za kufikirika za Zamunda na Wakanda katika sinema za "Coming To America" na "Black Panther"
 
@kiranga umejuaje kama ni hadithi ya kufikirika na si uhalisia?
 
Kwa kweli Mungu kama yupo, halafu anajifichaficha, anajifanya kuwa mgumu kueleweka, watu wakikutana naye mbinguni wana haki ya kujitetea kwamba hawakumjua na hawakumkubali kwa sababu alijificha na hakujiweka wazi.

Kwamba yeye ndiye mwenye makosa kwa kutojiweka wazi, na si kwamba watu wana makosa kwa kutomfuata.

Haiyumkiniki Mungu huyu awepo.
Nimesoma hii kwa masikitiko makubwa nikasema you know nothing about how you got to be present,,,

Ulipoumbwa ulipewa hekima na maarifa uyatumie katika kujidefend na kitu chochote katika ulimwengu huu

Your power,wisdom and knowlege ,all lie within the matirx system of your brain and that is where all wisdom and knowlege to know the knower rest,,,,

You were cretaed to survive around this palanet depending on how you combat and conqer limitness and boundaries across ways of your life ...

The pineal gland was given to you to connect you with the supreme being so that you could be aware about how nature is,,,,,the pineal gland could show you how the ability to create anything you want simply because you are the personal aspect of GOD hence you can create everything you want,,,

Simply because your pineal gland that activates your intuitions and ability to conqer the limitness is not active ndo mana unajikuta unaamini second hand informations from scientists who have already activated the pineal gland and found themsleves in the level to create and study deeply how nature is,,,

Your pineal gland has been calcified hence you can not sense the presence of the supreme being as the most hingh one....you have no ability even to sense the presence of the most high one,,,,

God can not reveal himself simply because he lives and dwells in another plane of reality,,to recognize that you as human being have to ascend and share the ability he has so that you can perfom as high miracles as him but the mode to reach there needs you to activate your potential of realm,,,

Am very sory to conclude that you know nothing about that,,,,even the little bit you know about nature keeps floating under darkness of reality....
 
Mkuu nna kiswali kingine kidogo..
Unaamini kuna kitu kinaitwa dark energy?
namini namsubiri hapa hapa ajichanganye aseme anaijua vizuri ndo nimkaange vizuri na quantum physics yak,,,,anadhani wengine watujui kuhusu quantum tecnlogy that tries to explani about the core of everything....nimemsubiri ajibu hiyo artice watu wafunguke vuzuri kama hatajikana leo sijui
 
Back
Top Bottom