Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Haijawahi kutokea Swali Likajibiaa na Swali hii ni ajabu kwa watu wanajitia wana Ufaham mkubwa kujibu swali kwa swal.

Isiwe shida Swali limejibiwa Kuwa akili ni Akili Mmekataa kuwa hilo sio jibu.... Kwa kukataa inaonyesha kuwa mnamajibu sahihi ya swali tofauti na hilo lililotolewa, Mkiambiwa toeni jibu sahihi basi mmebakia kusema hilo sio jibu.
Kusema 1+1= Sio 2 basi Mnajibu sahihi tofauti na hilo litoeni tupate kujua jibu sahihi.

Hata nikikuuliza Una Roho utaniambia Roho ni Nini. Yani swali linajibiaa kwa Swali.
Hahaha! Ngoja nifungue kabati hapa nicheki Kama nnayo!😀
Mushi angejibu kwa tafsiri yake. Mbona sijamuwekea... Limitations? Mbona mimi sikuwa na masharti? Nimeulizwa AKILI ninini nikajibu kuwa ni AKILI! Bila kujali jibu langu ni sahihi ama la lakini nilijibu
Sasa hebu nisaidie wewe msaidie kujibu! Utakuwa umefanya jambo moja kubwa sana... Swali lilikuwa linasema una AKILI ama huna AKILI?
Akijibu kwa tafsiri yake utamuelewa? Maana ni kama mtu akuulize, “una mafanikio”? Certainly mafanikio yana maana tofauti. Kuna mtu nyumba ni mafanikio, na mwingine kuwa na mwembe au mchenza ni mafanikio!

Hicho unachoita akili, kuna wanaosema “akili ya kutafuta pesa”, kwa tafsiri ya huyo mtu, siyo kwamba asiye na pesa hana akili, bali hana akili ya kuitafuta. You see?
 
Hawakukosea maana inategemea na Mungu yupi anazungumziwa.

Mwanamziki Beyonce Knowles amenunua kanisa kule Marekani na amejitambulisha kuwa yeye ndiye Mungu wa kanisa/dini/dhehebu hilo.
Na sifa za Mungu huyu (Beyonce) ni kuwa yeye ni mwanamziki na ameolewa na Jay-zee.

Na kwa kuwa hizi sifa za Mungu Beyonce hazina contradictions za uwepo wake(Kweli ni mwanamziki na mumewe ni Jay-zee),ni rahisi zaidi kuamini umungu wake kuliko huyu wa kwenye vitabu anayesemwa ana uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote halafu akamuumba eti shetani ili kuwaharibu wanae.

Mungu wa namna hiyo hayupo,ni stori tu za vijiweni za kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka na zaka huku waumini wakizidi kuwa mafukara.
Waliokuita hivyo hawakukosea sababu jina Emanuel na Maana yake vipo kwenye biblie na alieitwa hivyo ni yesu.. Hawakumaanisha mungu mwingine..
Kinachonishangaza ni huyo Mungu anaezungumziwa kwenye jina lako ndio huyo Mungu muweza wa yote na sio mungu beyonce

Kwa kua umeiasi na huiamini hiyo dini ya waliokupa jina hilo ni vizuri ungelibadilisha pia maana haliendani na imani yako
 
Hahaha! Ngoja nifungue kabati hapa nicheki Kama nnayo!😀

Akijibu kwa tafsiri yake utamuelewa? Maana ni kama mtu akuulize, “una mafanikio”? Certainly mafanikio yana maana tofauti. Kuna mtu nyumba ni mafanikio, na mwingine kuwa na mwembe au mchenza ni mafanikio!

Hicho unachoita akili, kuna wanaosema “akili ya kutafuta pesa”, kwa tafsiri ya huyo mtu, siyo kwamba asiye na pesa hana akili, bali hana akili ya kuitafuta. You see?
Bado mbona hakuna tatizo kabisa... Unajibu kwa mtazamo wako kwa uelewa wako kwa ufahamu wako kwa uzoefu wako..... Usahihi wa jibu sio juu yako... Jukumu lako ni kujibu! Kiranga kashindwa mara 1000 walau kujaribu kujibu na bado kuna misukule yake inasema mimi Mshana Jr nitachemka kwake kwakuwa keshaangusha miamba! [emoji23] [emoji23] [emoji23] what a biggest joke of the day.... I rest my case... At least for now
 
Ni simple tu namuuliza kwanza akili ni nini!!

Maana wengine wanasema akili ni nywele,sasa Mimi mwenye kipara itakuwaje!?
Si itabidi niseme sina akili!.

Wengine wanasema akili ni uwezo wa kuchakata taarifa na mambo mengine kichwani.Hapa itabidi niseme ninazo.

Sasa ya nini kujitabisha kote huku wakati mtoa hoja angesema tu maana anayoikusudia ili nimjibu kama nina akili ama sina!?
Kwanini mmekazania habari za wengine wanasema hivi mara vile na kuacha kujikita kwenye maana ya neno lenyewe akili?

Hivi kuna aliyewahi kwenda saluni na kusema anyolewe akili?sasa ikiwa hilo neno "akili" kila mtu amejitungia maana yake binafsi basi hakuna haja ya kulitumia hilo neno maana itakuwa mchezo wa kuulizana tu akili ni nini mwanzo mwisho.
 
Hawakukosea maana inategemea na Mungu yupi anazungumziwa.

Mwanamziki Beyonce Knowles amenunua kanisa kule Marekani na amejitambulisha kuwa yeye ndiye Mungu wa kanisa/dini/dhehebu hilo.
Na sifa za Mungu huyu (Beyonce) ni kuwa yeye ni mwanamziki na ameolewa na Jay-zee.

Na kwa kuwa hizi sifa za Mungu Beyonce hazina contradictions za uwepo wake(Kweli ni mwanamziki na mumewe ni Jay-zee),ni rahisi zaidi kuamini umungu wake kuliko huyu wa kwenye vitabu anayesemwa ana uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote halafu akamuumba eti shetani ili kuwaharibu wanae.

Mungu wa namna hiyo hayupo,ni stori tu za vijiweni za kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka na zaka huku waumini wakizidi kuwa mafukara.
Kwanza kwanini ajiite Mungu,kuna mahusiano gani kati ya hilo neno mungu na anachokifanya sasa Beyonce hadi aamue kujiita hivyo?

Na vp endapo Jay-z angekuwa na wake wawili na wote wanamuziki,ina maana huyo mke mwengine naye automatically angekuwa mungu maana ameolewa na Jay-z na ni mwanamuziki?

Halafu hakuna Mungu wa kwenye vitabu bali kuna maelezo ya kwenye vitabu kuhusu Mungu.
 
Yeye kashindwa kuuliza swali.

Sasa mimi nitajibu vipi swali ambalo mtu kashindwa kuuliza?

Kila anaesoma huu uzi anajua kwamba Mshana Jr ameuliza swali, na swali lenyewe ni hili "una akili?" binafsi, nashindwa kuelewa unaposema KASHINDWA kuuliza swali.
 
...Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba ashindwe kulibeba?

Mungu muweza yote (inamaana kushindwa hakupo) sentensi hiyo hiyo tena inapokuja kuingiza kushindwa kwa kitu hichohicho ilichokielezea kuwa na uwezo wote inaleta mkanganyiko na kupoteza maana yote.
 
Waliokuita hivyo hawakukosea sababu jina Emanuel na Maana yake vipo kwenye biblie na alieitwa hivyo ni yesu.. Hawakumaanisha mungu mwingine..
Kinachonishangaza ni huyo Mungu anaezungumziwa kwenye jina lako ndio huyo Mungu muweza wa yote na sio mungu beyonce

Kwa kua umeiasi na huiamini hiyo dini ya waliokupa jina hilo ni vizuri ungelibadilisha pia maana haliendani na imani yako

Bahati mbaya sana huu mjadala si mahala pake,

Hata hivyo kwa ruhusa ya mwenye Uzi Mshana Jr acha tu nikujibu,japo sitegemei tena kujibu comment iliyo nje ya post husika.

Kuna mahala mkuu Kiranga kajibu kwamba yeye ni mkiristo ktk mkutadha wa kukulia na kuitwa jina la kikristo.Lakini akabainisha kuwa si mkristo miongoni mwa waaminiyo Yesu kwamba ni bwana na mwokozi wao.

Kusema nibadili jina langu kisa limefanana na jina la mtu/kitu kisichoendana na mimi ni sawa na kumwambia mwanachadema aache kuishabikia Yanga kisa tu ina rangi za kijani na njano zenye mfanano na rangi wanazotumia Chama cha mapinduzi.
Mwenye timamu huwezi kumnasa kihivyo bali atajiuliza kati ya Ccm iliyozaliwa mwaka 1977 na Yanga ya mwaka 1935 nani alianza kutumia rangi husika.Na atakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kati ya rangi (ambazo ndizo zinatumika kama kigezo cha kuchukia kingine kisa tu leo zinatumikako) na hiki anachoambiwa akipende na kingine asikipende kipi kilianza!?

Kwa kifupi siamini ktk biblia na vitabu vingine vya dini sababu ya contradictions zake ambazo zimetokana na vitabu husika kutungwa na watu tu kwa faida wanazozijua wao.Na kwa hiyo siamini pia kama jina Emmanuel ndiyo chanzo cha hicho ukisemacho. Otherwise lete ushahidi ambao ni beyond reasonable doubt nami ntafanya maamuzi.
 
Sasa mbona majini na mapepo wanaliogopa jina la yesu??? Wanaiogopa hiyo biblia.....tatizo wengi mnaojifanya hamuamini ni wale ambao bahati mbaya au nzuri hamjawahi kukumbwa na mapepo wachafu....au hamjawai kukaa kwnye mazingira hatari yenye nguvu za giza....

Siku yakikukuta ndo utajua kwamba yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yako au lah
 
Unataka maelezo ya nini wakati ameuliza una akili?

Eleza hasa ambacho kinachanganya hapo hadi kihitaji maelezo,ukishindwa kueleza naye hatoweza kuelezea ikiwa kweli kuna ulazima huo.

Neno akili linajitaji maelezo gani?
Wapi nimeuliza nina akili?

Nimeuliza akili ni nini?

Mpaka sasa mshana hajaweza kujibu sijui anataka apewe jibu gani wakati hajatoa maelezo ya kuitambua akili ni nini?
 
Sasa mbona majini na mapepo wanaliogopa jina la yesu??? Wanaiogopa hiyo biblia.....tatizo wengi mnaojifanya hamuamini ni wale ambao bahati mbaya au nzuri hamjawahi kukumbwa na mapepo wachafu....au hamjawai kukaa kwnye mazingira hatari yenye nguvu za giza....

Siku yakikukuta ndo utajua kwamba yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yako au lah
Sio kwaba hawaamini wanajua kabisa haya mambo ya kiroho yapo ila wameamua kujifanya wamekengeuka na kujitoa ufahamu tu
 
Ni simple tu namuuliza kwanza akili ni nini!!

Maana wengine wanasema akili ni nywele,sasa Mimi mwenye kipara itakuwaje!?
Si itabidi niseme sina akili!.

Wengine wanasema akili ni uwezo wa kuchakata taarifa na mambo mengine kichwani.Hapa itabidi niseme ninazo.

Sasa ya nini kujitabisha kote huku wakati mtoa hoja angesema tu maana anayoikusudia ili nimjibu kama nina akili ama sina!?
Wengne wanatafuta ligi wakati hawawezi, wamekariri maswali bila kuelezea wanachouliza.

Mshana Jr akili ni nini?
 
Bahati mbaya sana huu mjadala si mahala pake,

Hata hivyo kwa ruhusa ya mwenye Uzi Mshana Jr acha tu nikujibu,japo sitegemei tena kujibu comment iliyo nje ya post husika.

Kuna mahala mkuu Kiranga kajibu kwamba yeye ni mkiristo ktk mkutadha wa kukulia na kuitwa jina la kikristo.Lakini akabainisha kuwa si mkristo miongoni mwa waaminiyo Yesu kwamba ni bwana na mwokozi wao.

Kusema nibadili jina langu kisa limefanana na jina la mtu/kitu kisichoendana na mimi ni sawa na kumwambia mwanachadema aache kuishabikia Yanga kisa tu ina rangi za kijani na njano zenye mfanano na rangi wanazotumia Chama cha mapinduzi.
Mwenye timamu huwezi kumnasa kihivyo bali atajiuliza kati ya Ccm iliyozaliwa mwaka 1977 na Yanga ya mwaka 1935 nani alianza kutumia rangi husika.Na atakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kati ya rangi (ambazo ndizo zinatumika kama kigezo cha kuchukia kingine kisa tu leo zinatumikako) na hiki anachoambiwa akipende na kingine asikipende kipi kilianza!?

Kwa kifupi siamini ktk biblia na vitabu vingine vya dini sababu ya contradictions zake ambazo zimetokana na vitabu husika kutungwa na watu tu kwa faida wanazozijua wao.Na kwa hiyo siamini pia kama jina Emmanuel ndiyo chanzo cha hicho ukisemacho. Otherwise lete ushahidi ambao ni beyond reasonable doubt nami ntafanya maamuzi.
Nina swali..

Hivi ulishawahi kuuona upepo?
 
Mshana
Akili ni yale mambo yote unayoyaona na ukaweza kuyatambua kupitia mazingira au ufahamu wako kwa kufikiria au uelewa na kuyatunza ktk kumbukumbu.Na asili yake ubongo

Huwezi kupima akili maana ni uelewa hivyo ukisema mtu ana akili au hana akili lazima uwaambie watu unamaana gani
Lazima ufafanue ili ujibiwe mtu mtu yoyote anayezaliwa anakuwa ana akili tayari Maana akili ipo muda wote na hiyo ndio
Inayokutofautisha na viumbe wengine,tofauti inakuja ktk uelewa baina ya mtu na mtu au uwezo wa kufikiri au kukumbuka

Lakini pia mtu anaweza kuzaliwa
Na ugonjwa wa akili anakuwa anayo akili lkn ina matatatizo si Kama hana hivyo hakuna mtu duniani asiyekuwa Na akili ila wapo wenye matatizo ya akili ktk ubongo mfano epilepsy Au cerebral palsy.Pia ukiweza kudevelope Tabia badae ambayo ikakupelekea ktk hali kushindwa kujielewa au kuyatambua mazingira itakuwa psychotic disorder

Lakn ktk Psychiatry utakuja gundua huwezi ona mtu anauliza
Una akili au Hana akili,bali atauliza ana matatizo ya akili au magonjwa ya akili maana anajua akili Muda wote ipo tokea unapozaliwa,ktk akili huwa tunapima uelewa conscious na akitaka fanya hivyo atafanya assement ya mental status utaona anafanya yafuatayo:-

=> muangalie mtu muonekano wake na tabia yake
=> pia maomgezi yake utaweza jua uelewa wa mtu
=> mood yake mtu wa kukasirika? Au
=> mawazo yake unapoongea nae anawaza nini
=> ufahamu wake unamuuliza we nana anakuambia mi Obama utajua huyu
Chenga
=>pia km yupo hallucinated au anaangoea anajua mwenyewe Mara shetan anakuja

Hivyo unaweza kujua km mtu yupo conscious lakn ukisema mtu ana akili au hana waambie watu unamaana gani Na km hutaki fafanua hiyo ni self defense mechanism ya kuogpoa
Changamoto
 
Mungu muweza yote (inamaana kushindwa hakupo) sentensi hiyo hiyo tena inapokuja kuingiza kushindwa kwa kitu hichohicho ilichokielezea kuwa na uwezo wote inaleta mkanganyiko na kupoteza maana yote.
The almighty creator... God in all ways.. In all cases.. In all situations... In all conditions... In all translations... In all doctrines... In all thoughts... In all states... In all human challenges and beyond... That's the true God.. The super energy that cannot be challenged in any way... All ways....!!!
 
Wapi nimeuliza nina akili?

Nimeuliza akili ni nini?

Mpaka sasa mshana hajaweza kujibu sijui anataka apewe jibu gani wakati hajatoa maelezo ya kuitambua akili ni nini?
Soma ili uwele na si kusoma ili upate cha kubisha tu. Ndiyo maana huyo mwenzio nae kaambiwa mwenye akili ni yule mwenye kuutambua uwepo wa mungu,yeye kakurupuka anasema kuna mtu kasema akili maana ake ni kuutambua uwepo wa mungu.

Ndiyo maana sio ajabu hadi sasa bado mnataka mjibiwe akili ni nini?
 
Una uhakika na usemacho?

Kama mwenye akili ni yule mwenye kuutambua uwepo wa mungu bhasi sina akili.

Kwani yeye kajibuje?

Mimi nimeongea nini ambacho unadai sijasoma vizuri?
 
Back
Top Bottom