Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.

Sasa toka uanze kuzisoma post/comments za Kiranga wewe unamuweka wapi kwenye hilo!?

Je,ana huo uwezo wa kuchakata mambo ama hana!?

Kama jibu lako ni ndiyo maana yake ana akili.Na kama huo uwezo hana maana yake si hana akili!!.

Mjadala unakuwa umeishia hapo na tuendelee na hoja zingine.

Ila siku nyingine nyinyi wafuasi wa Mshana Jr muache kuwa mnauliza maswali ambayo majibu yake yapo clear.Kama ni kuendelea kumtolea sadaka jamaa yenu ili afaidishe familia yake huku nyinyi waumini wake mkishindia mlo mmoja endeleeni.Na maandiko yenu yamewaambiwa kabisa kuwa mnaangamia kwa kukosa maarifa!!
What a waste! Mbona una reply ya kizembe kiasi hiki? Kwahiyo hutaki upingwe? [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Darker enegry...

Darker matter.....

namsubiri vizuri ssna hapa make quantum physics katika kuulezea how nature is imebase kwenye vitu hivi,,na ukiangalia logo yake [profile picture] kaweka fibonacci golden ratio signs ambayo inaonesha original of life under fibonancci sequence,,,,,manake anabelive kwenye quantum physics from explaining reality of the universe,,
Sasa kama hata kuandika tu spelling za dark energy na dark matter hujui hizo contents za quantum physics ndiyo utazijua!?

Ndiyo maana hata Yesu wenu aliwaambia mtatambulika kwa matendo yenu.

Na kupitia haya matendo yenu ya kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu mnazidi kufanya uwepo wake uzidi kufifia.
 
Ukiona mtu anajisifia kuwa anajua sana mambo hapo jua hamnamo kitu.Ndiyo wewe ukifanyacho kujisifu eti unajua sana quantum physics,badala ya kuchangia kwa fact ili sisi watazamaji ndiyo tutapima huo utaalamu wako.

Kiranga ni mchambuzi wa mambo sana tena deep kuzidi hata huu utumbo wako ila hakuna hata siku moja aliwahi kujisifu kwa uelewa wake.

Sasa umeulizwa Mungu muweza wa yote anaweza umba jiwe zito kiasi cha yeye kushindwa kulibeba,hujajibu na badala yake umeanza taarabu tu.

Kwa mara nyingine Kiranga ameshinda hii debate!!
lete mada tubishane kwa real facts ,,usiwe mshabiki wa mtu bila kujua unachotetea ,,,,dont be sceptic with the real facts given out explaining the reality
 
Wapi nimeuliza nina akili?

Nimeuliza akili ni nini?

Mpaka sasa mshana hajaweza kujibu sijui anataka apewe jibu gani wakati hajatoa maelezo ya kuitambua akili ni nini?

Nakujibu hapa tena na tena AKILI NI AKILI... Kumbuka hii post ili usije kusema SIJAKUJIBU akili ninini
Je una ugonjwa wa kusahau? Nimekujibu AKILI ni AKILI.. Unaelewa ama huelewi!? AKILI ni AKILI... Nimekujibu usije kusema tena SIJAKUJIBU kuwa akili ninini
Na kama hujaridhika na hili jibu... Tupe jibu wewe lakini MIMI MSHANA JR JIBU LANGU LA AKILI NI NININI... NIMEJIBU NI AKILI....
 
Sasa kama hata kuandika tu spelling za dark energy na dark matter hujui hizo contents za quantum physics ndiyo utazijua!?

Ndiyo maana hata Yesu wenu aliwaambia mtatambulika kwa matendonyeu.

Na kupitia haya matendo yenu ya kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu mnazidi kufanya uwepo wake uzidi kufifia.
siwezi kubisha na wewe kwa sababu huna point za kunifanya nikupe facts,,yani wew upo upo tu ili mradi unaandika kujazia thread kuwa miongoni mwa wachangiaji
 
Sasa kama hata kuandika tu spelling za dark energy na dark matter hujui hizo contents za quantum physics ndiyo utazijua!?

Ndiyo maana hata Yesu wenu aliwaambia mtatambulika kwa matendo yenu.

Na kupitia haya matendo yenu ya kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu mnazidi kufanya uwepo wake uzidi kufifia.
Hilo swali niliuliza mimi.. huyo kakazia tu

Dark energy ni nini? na ipo wapi?
 
Nakujibu hapa tena na tena AKILI NI AKILI... Kumbuka hii post ili usije kusema SIJAKUJIBU akili ninini
Je una ugonjwa wa kusahau? Nimekujibu AKILI ni AKILI.. Unaelewa ama huelewi!? AKILI ni AKILI... Nimekujibu usije kusema tena SIJAKUJIBU kuwa akili ninini
Na kama hujaridhika na hili jibu... Tupe jibu wewe lakini MIMI MSHANA JR JIBU LANGU LA AKILI NI NININI... NIMEJIBU NI AKILI....
Mshana jr, hakuna jibu lenye neno kujirudia, hapo unakuwa unacheza ligi ya mbuzi.

Akili ni akili ndyo jibu la vipi?

Unauliza macho ni nini, unajibu macho ni macho kweli?

Unataka nijibu akili ni.... Umeniuliza mimi?

Umeulizwa akili ni nini haujajibu hata kuelezea.

Haujajibu.

Akili ni nini?
 
siwezi kubisha na wewe kwa sababu huna point za kunifanya nikupe facts,,yani wew upo upo tu ili mradi unaandika kujazia thread kuwa miongoni mwa wachangiaji
Aliyekwambia tuko hapa kubishana ni nani!?
Low minded kabisa hii.

Umeisoma post inaeleza nini! Matokeo yake umevamia mada kwa kuingiza vitu visivyohusiana kabisa,huku ukijipa promo badala ya kujadili hoja/post..
 
siwezi kubisha na wewe kwa sababu huna point za kunifanya nikupe facts,,yani wew upo upo tu ili mradi unaandika kujazia thread kuwa miongoni mwa wachangiaji
Nimeingia profile yake.. Ni pure mwanasisa hawa wa kitanzania... Hana hata post moja nje ya jukwaa la siasa... Hivyo elewa unajibishana na mtu wa aina gani
 
Nimeingia profile yake.. Ni pure mwanasisa hawa wa kitanzania... Hana hata post moja nje ya jukwaa la siasa... Hivyo elewa unajibishana na mtu wa aina gani
asante mkuu,,,ngoja nilale make kipa wa liverpool kabet kabsaa leo sio kwa kuwaachia majonzi hawa washabiki wa liver,,,ha ha ha
 
What a waste! Mbona una reply ya kizembe kiasi hiki? Kwahiyo hutaki upingwe? [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kwa hiyo wewe ulipoulizwa akili ni nini,ukajibu akili ni akili huko ndiko kureply pasipo kizembe!?

Mbona unachekesha sana jamaa yangu.
 
Kwa hiyo wewe ulipoulizwa akili ni nini,ukajibu akili ni akili huko ndiko kureply pasipo kizembe!?

Mbona unachekesha sana jamaa yangu.

Ndio jibu langu sahihi... Kama unaona sio jibu sahihi.. Niambie hapa hapa lililo sahihi
 
Nadhani wafuasi wake na yeye mwenyewe ndiyo wanajua ni sifa zipi wameziona hadi kufikia kumuita/kujiita hivyo.

Jay-z kuwa na wake wawili sioni kama inaleta contradictions kokote zaidi ya kumaanisha kuwa wake zake hao wawili watakuwa ni miungu( kwa sifa walizojiwekea).

Shida iko upande wa huyu tunayeaminishwa kwamba ni mjuzi wa yote ila akamuumba Shetani ambae akaja kuwaharibu waja wake halafu eti atakuja kuwachoma moto.

Mwenye upendo wote Ila anawaadhibu viumbe wasio jua mema na mabaya kwa makosa ya binadamu,rejea gharika ya Nuhu.Kama haitoshi anawaadhibu vizazi na vizazi hadi ambavyo havijazaliwa leo kwa makosa ya wazazi.Mahakama zetu pamoja na mapungufu yake lakini haziwezi kumwadhibu Kulwa kwa makosa ya Dotto.Huu upendo wote ukoje!?

Ana uwezo wote,ila wafuasi wake wakiulizwa ana uwezo wa kutengeneza kitu ambacho hawezi kukibeba? Majibu yanakosekana.
Sasa wewe hujui hata sifa zipi zenye kumfanya Beyonce ajiite mungu ila unasema hakuna contradictions!
 
Mshana jr, hakuna jibu lenye neno kujirudia, hapo unakuwa unacheza ligi ya mbuzi.

Akili ni akili ndyo jibu la vipi?

Unauliza macho ni nini, unajibu macho ni macho kweli?

Unataka nijibu akili ni.... Umeniuliza mimi?

Umeulizwa akili ni nini haujajibu hata kuelezea.

Haujajibu.

Akili ni nini?
Sihitaji maelezo yako mengi mengi... Kama hili sio jibu sahihi.. Niambie jibu sahihi ni lipi....
 
Back
Top Bottom