Daaaaah..nimefuatilia kwa makini majibishano haya ya ndugu zetu Mshana Jr na Kiranga nikagundua kuwa ,wawili hawa wanauelewa tofauti juu ya uwepo wa muungu ambae ndo muweza ya yote kulingana na mafundisho yaliyoyapata hapa hapa duniani na si kwingineko
Mshana Jr umepata kumfahamu mungu kupitia vitabu vitakatifu kupitia uwezo wake binafsi katika
kuchambua jinsi ulimwengu ulivyoanza mpaka kukamilika kwa uumbaji na jinsi ulimwengu ulivyo na
kujikuta unaamini kweli kuwa kuna mtu muweza wa yote ambaye tunamwita Mungu.
Lakini pia ndugu yangu Kiranga amekuja kumjua mungu kupitia science inayoelezea namna uumbaji wa ulimwengu huu ulivyoaanza mpka kukamilika kwake kupitia sheria na kanuni [universal laws] ambazo zinagovern existance ya kitu chochote kupitia BIG BANG explosion ambayo ndo msingi pekee ambao original of life ilianzia pale.
katika kustudy jinsi mabishana yalivyo ,nimekuja kugundua kuwa mshana anamuelezea na kumtambua Mungu kama supernatural ambaye ndo muwezeshaji wa mambo yote bila kujali kama ni mbaya au mzuri kwa kufuata jinsi ulimwengu unavyoendeshwa kupitia unseen forces ambazo watu wengi wanakuwa ni vigumu kuelewa mechanism ya utendaji wa mwenyezi Mungu kufanikisha matendo yote yanayoendelea,,
Mshana jr unaamini uwepo wa mungu kwa kupitia nguvu na miujiza ambayo source yake huijui na kama unaijua basi unaijua kupitia mafundisho uliyokuta tayari watu washayweka but you did not discover that from yourself.
Kiranga unaamini uwepo wa mungu ambae siye mtu kama mshana anavyoamini but you believe kuwa kuna supernatural one anaecontrol mambo yote but unaamni kuwa anaweza ku be explained under quantum analystical physics kupitia sheria ambazo quantum physics inazielezea,.
Its fine kwa wote but ukiangalia kwa undani kabsa mshana jr anaamini supernatural working that can not be proved under scientifical analysis lakini pia kiranga anaamini supernatural forces ambazo zinaweza kuproviwa kupitia quantum reality,,,
Tunaweza sema kuwa wote wapo sahihi kwa mitazamo yao ilivyo kwani dini au vitabu vitakatifu vinaelezea juu ya muumbaji wa vyote na kumpa jina la Mungu lakini scientific excavation zinatambua uwezpo wa mungu na kumpa jina la Universal power ,,
Science inamuelezea vizuri mtu huyo makini[Mungu] kupitia sheria zake[universal laws] under quantum nature of reality lakini vitabu vitakatifu vinamuelezea kama mtu mwenye uwezo tofauti na wengine,
Lakini ukitaka kujua jinsi huyo mtu alivyo ni lazima usome system nzima ya creation of the universe under matrix system,,,BILA KUJALI UNAAMINI BIBLIA AU SCIENCE FROM THEIR POINT OF REALITY.
Matrix system inaelezea vizuri jinsi ulimwengu ulivyoanza bila kubagua kitu ,
kwa mara ya kwanza kabsa matrix system iliwekwa wazi kupitia KABBALAH ,kabbalah ndo kitabu cha kwanza kuandikwa kikielezea how nature and descendant of human kind ilivyotokea ikielezea how human being and other creatures are governed by different unseens beings ,kupitia kabbalah ndipo mdumo mzima wa nguvu za giza zilipotokea.
Wanasanyans wanatumia kabbalah kugundua source ya unseen forces zinazoelezea how the universe operates na kuzipa majina mbalimbali kupitia terminology mpya na kufanya kundi jingine kuamini uwezo wa science inayoelezea quantum nature of reality lakini vyote hivo vipo ndani ya kabbalah,,,
Bibilia imeandikwa na watu waliosoma kabbalah kwanza ndo wakaanza kuichambua vizuri kupitia kitabu kipya ambacho ndo biblia na quran,
,Nabii Suleiman alipewa kabbalah akaisoma na kujua ile nguvu kubwa hasa ambayo you can control everything in this universe but the kabbalah is under HIGHER ELITES ambao msingi wao mkubwa ni kuendelea kuficha ukweli jinsi ulimwengu ulivyo by forming secret societies ambazo msingi wake mkubwa ni kuendelea kukificha hicho kitabu [kabbalah ] ili wao waendelea kufanya wanayoyajua.
Kabbalah imechapishwa kupitia machapisho tofaut tofauti huku siri nyingi zikitafsiriwa tofaut tofaut kabsa na kabbalah ya kwanza ,hiyo yote ni kuelezea namna uimwengu ulivyo kupitia njia tofauti ili kuchanganya watu wasipate kuelewa ukweli ndani yake ila wale waliopo under secret societies wanapewa kabbalah yote original.
Free mason and illuminati ni moja wapo ya secret societies ambazo zinaoperate kupitia kabbalah,utapewa uisome kabbalah depending na degree yako under masonic territory,,
ukiwa degree ya kwanza utapewa baadhi ya page kama zinazoelezea introduction ya kabbalah ambayo inaelezeea juu juu jinsi nature ilivyo,,,
ukiwa na degree 5 utapewa page flani zinazoelezea how unseen forces operate within the universe and how to master them,
kadri unavozidi kuascend in degree utakuwa unapewa page za ndani kabsaa jinsi ulimwengu ulivyoelezewa under kabballah,,kupitia kabballah mjadala wa mshana na kiranga ndo unakuja kujadiliwa kwa hisia tofauti kulingana na jinsi unseen forces zilivyo.
TESLA PLASMA CANNON inajaribu kuelezea namna space ilivyo na kuwafanya wanasayansi kuulezea how the universe is under quantum physics na hiyo ndo inayowapa kibuli kuwa binadamu anagundua mengi but hiyo yote tesla alisoma kupitia Kabballah how the the nature is...
someni kitabu kinachoitwa THE CODE TO THE MATRIX ambayo imeichambua kabballah jinsi ilivyo na kuvifanya vitabu vitakatifu ambavyo mshana jr unaviamnini jinsi vinavyoelezea nature ya ulimwengu kupitia mungu but their main objjective is one the explain nature under hidden realities,,
dont rely kwenye bible and quran wakt vitabu vyote hivyo vimeconstructiwa kutoka kwenye kablaaa ila kuleta mkanganyiko kwa watu,,,
if you want to confuse people from letting them not to understand about how the universe started, talk through Holy books ,for sure you will capture their mind,,
science is trying to explain how the unseen forces and the universe under quantum technology lakini vitabu vitakatifu vinaelezea uwepo wa mungu na nguvu zake kupitia doctrine ambazo zinaelezea nature ya ulimwengu kupitia sequence za vizazi but all were constructed from the kabballah book that has all wisdom of nature.
so ushauri wangu kwa watu nyie mambo haya ni mazito sna mtabishana ili kila mmoja aonekane anajua mambo but none you is in the straight line of reality,,,go and dig again your origin thoroughly then ndo mjue kutafakari how you rose from...