Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Yeddy Guyy hawa jamaa wameshindwa mjadala.

Tuendeleze mjadala.

Bertrand Russell was a prolific thinker, mathematician, logician and philosopher. I respect his work. His essay "Why I Am Not A Christian" was a seminal, eye opening work during my formative years as I was rejecting clear falsehoods.

Bertrand Russell aliamini Mungu gani?

Halafu, mbona katika definition yako umeniita mimi implicit atheist, wakati katika maelezo haya chini naelezwa kama explicit atheist?

Implicit and explicit atheism - Wikipedia
Explicit negative you are.
 
Explicit negative you are.
Mzungumzo yangu ya kukataa kuwapo kwa Mungu mara nyingi huwa yanaanza kwa kum define Mungu, mara nyingi naanzia kwa kusema "Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote hayupo". Halafu natoa logical objections, mara nyingi nikianziana the problem of evil.

Maana yake, kuna watu wanaamini Beyonce ni Mungu katika kucheza na kuimba, na kwa muktadha huo, Beyonce ni Mungu wao, na kwa muktadha huo, Mungu Beyonce yupo.

Na katika Universal Declaration of Human Rights wana haki zao za kuabudu, wanaruhusiwa kumuabudu Beyonce kama Mungu, na mimi nitatetea uhuru wao huo, kama ninavyotetea Wakristo na Waislamu uhuru wao wa kuabudu.

Kama hawajasema kaumba ulimwengu, anajua yote, ana uwezo wote na ana upendo wote, na labda kama wamesema Mungu shurti awe kauza album milioni 17 za muzikiwake, basi Beyonce kwa muktadha huo ni Mungu. Siwezi kuwabishia.
 
I went through all the pages! But still no answer for just one question! Very “cat and mouse”😀

Mshana Jr toa jibu tuone direction ya mjadala. Page ya 75 hii😀
hahaaa..kama unatumia Simu "" mkuu siuli kesha ""!?
 
Kwanini haukusubiri jibu kwa Kiranga ambaye ndiyo wa kwanza kuulizwa swali kama ana akili?

Kiranga anataka kutuaminisha ya kwamba neno akili lina maana nyingi na ndiyo maana ameshindwa kujibu swali kwa sababu hakujua muuliza swali alikusudia maana ipi.

Matokeo yake hajatoa hata maana mbili tu za neno akili ili tujue kweli alishindwa kuelewa.
Katoa jibu kwa watu wa wili hapo ambao wameuliza maswali yao yaka eleweka
 
Nineacha kuzungumzia Mungubwa kwenye vitabu

Sahau vitabu..

Nimekuuliza.

Kwa kufikiri kichwani tu. Si kunukuu kitabu chochote.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba ulimwengu huu ambayo mabaya yanawezekana kuwepo. Unakubali yupo?

Hujajibubswali hili.
Aisee! wewe!

Yani umefikiria tu mwenyewe kichwani kisha unaniuliza mie kama nakubaliana na uwepo wa jambo ambalo umefikiria tu mwenyewe kichwani?

Sijaelewa hata kwanini uniulize mie hilo swali!!!
 
I went through all the pages! But still no answer for just one question! Very “cat and mouse”😀

Mshana Jr toa jibu tuone direction ya mjadala. Page ya 75 hii😀
I Jus don't know why I am falling victim on this.... Very very strange kibao kinanigeukia mimi..
Niliweka mada... Mjadala ukalala lakini mhusika akaibuka na reply yake iliyopelekea mimi kumuuliza kama ana akili ama la! Hakunijibu.. Hakuna na jibu ila akazunguka kwa kuuliza akili ninini nikamjibu akili ni akili... Akasema hili sio jibu nikamuuliza kama hili sio jibu basi aseme jibu la akili ni lipi.. Tangu hapo si yeye wala wafuasi wake wameweza kujibu haya maswali mawili
1. Kama wana akili ama hawana... Swali langu
2.Akili ninini.. Swali la Kiranga
 
Sasa kwa nini ulikatisha nukuu na kuharibu muktadha?
Kwa hiyounajua ndoto nyingine hazina maana, halafu unalazimisha nitafsiri ndoto?

Ili kujua kitu umeshasema tunatumia kanuni 3 mbazo ni kitu kiwe tested,,evidence based na cosistent logical.

Ninachohitaji unionyeshe namna kanuni hizo tatu namna ntakavyozitumia kutafsir ndoto ili nijue yenye maana na ina maana gani? Pia nijue isiyokuwa na maana.

Ni hicho tuu kitu rahisi
 
Sasa kwa nini ulikatisha nukuu na kuharibu muktadha?

Hadi sasa hivi hujatoa tafsiri ya maneno ambayo umeyaandika na tayari nimeshakwambia lakini umekimbia kutoa tafsiri

Umeandika unavyojua wewe maneno ulikoyatoa.
Umesema niwe specific nime quote tena na tena comment yako lakin umekaa kimya kuhusu hilo
 
Unachokataa nini sasa wakati umetaka ujibiwe kwa muktadha wake?
Knuni za definition zinakataza kurudia neno linalokuwa defined katika sehemu ya definition inayolielezea neno hilo.

Nikukuuliza "akili ni nini?" unatakiwa unielezee akili ni nini kwa maneno mengine.

Ukiniambia "akili ni akili" wakati hilo neno akili ndilo ambalo silijui, nahitaji ufafanuzi nilielewe, utakuwa hujafafanua kitu.

Mbona mnaandika kama ng'ombe msiojua kitu?

Mtu akiniuliza, nimeona umetumia hili neno "schadenfreude", sielewi ni nini manaa yake hapa ulivyolitumia.

Schadenfreude ni nini?

Nikimjibu "schadenfreude ni schedenfreude" wakati yeye anataka ufafanuzi kuhusu hilo neno "schadenfreude" atawezaje kujua zaidi maana ya hilo neno, wakati hilo neno ndilo ambalo kaomba ufafanuzi walo?
 
Back
Top Bottom