Swali la kwanza na la pili hapa umepatia kunielewa.
Well done
Swali lako la tatu umenielewa/umeninukuu tofauti
Baada ya kuniambia tutafute square root ya 2 kati ya 1 na 2
Then mimi ninauliza square root ya 2 ni ipi kwenye range ambayo umesema tutafute?
Hapo sasa wewe ungejibu square root ya 2 ni 1.....
Tukirudi kwenye swali la msingi
Chanzo cha ulimwengu ni nini/kipi kutokana na muunganiko wa quantum theory na relativity theory?
Hapo jibu ambalo umetoa ni
Kwa maneno ya kiswahili mepesi kabisa ni kwamba
"Bila kuwa na muundo wa kihesabu ambao utaoanisha relativity na quantum physics, kitu ambacho hakijafanyika hadi sasa, CHANZO CHA ULIMWENGU KITAENDELEA KUTOJULIKANA"
CC
Mshana Jr Kiranga