Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

unaelewa maana ya kiumbe lakini "" kiumbe ni " ni aina ya kitu kilicho umbwa " kwahiyo Mungu wake naye nikiumbe " mwenye Mungu wake " maana naye aliumbwa ....so kwa mantiki hiyo uweza wake wa yote unayokea wapi "" endapo kama kuna ambaye aliyemuumba " kwanini asingetumia uweza wake wa yote " kuzuka tu " ili aepuke kuitwa kiumbe ""?
Mungu kiumbe tena?

Hahaaaaaa.
 
Hapangiwi cha kufanya.

Anahojiwa kwamba mbona hata yeye anainekana hajui anataka kufanya nini?

Yuko all ovwr the place.

Hapa tunaambiwa ana upendo wote.

Pale tunaambiwa kaua wanyama kwa ghqrika kwa makosa ya watu.

Mbona anajipinga mwenyewe?

Yupo kweli? Au hadithi tu?
chitemo na uledi mkuu"''
 
nitakujibu wimbo hauna rangi kwa maana haoinekani,ila nilivyokutajia vyote vinaonekana kwa macho haya sasa baada ya kukujibu nawewe naomba jibu langu ,nani kaumba hivi tunavyoviona kama vile bahari,jua,mwezi ,na dunia tunayoishi
Umejibu wimbo hauna rangi. Kwa sababu haionekani.

Hukubali wimbo una rangi. Kwa sababu haionekani.

Ila unakubali Mungu yupo.

Mungu anaonekana?

Mbona unakataa kuwapo kwa rangi ya wimbo, kwa sababu haionekani, halafu unakubali uwepo wa Mungu ambaye pia haonekani?
 
sijui ambacho ulitaka kusema. kama hukuelewa nilichoandika ungenambia nikufafanulie... atheist haamin kuwepo mungu au any supernatural force. short and clear.
Atheist si mtu ambaye anaamini kuwa hakuna ulimwengu wa kiroho (supernatural realm) au Mungu. Atheist ni yule mtu ambaye hana imani juu ya uwepo wa Mungu. Kwa hiyo kama Theism ni belief in the exiatence of God, then Atheism from the prefix A- meaning without and theism transalates to absence in the belief of God and the supernatural.

Of course zipo aina mbalimbali za atheism mfano critical atheism ambazo zinakanusha kabisa uwezekano wa kuwepo kwa Mungu au ulimwengu wa kiroho.
 
Mdogo wangu wewe umesoma theologia za dini mbali mbali. Budhism, Hindu, Christianity ingawa sina uhakika umesoma quruan je hizo mbili za kwanza zinazungumziaje uwepo wa Mungu? Je kuna Enlightment, Incarnation or go to heaven? Kuna contradition hapo na ndipo watu kama Kiaranga na wengine tunashindwa kuelewa ila tumo tu kwenye mwendo.
 
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwapo?
Kuna kitu kinaitwa test...lazima mtu ajaribiwe ili ijulikane wapi stance yake ipo..vivo hivyo Mungu huwpima waja wake kwa majaribu mbalimbali ili wajitathmini imani zao. Kumbuka Binadamu amepewa free will ya kuamua kuamini ama kutokuamini. Mwalimu humfunza mwanafunzi wake na kumpa mtihani ili kufahamu uelewa wake.
 
nathibitisha kwakua ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo? unaweza ukaniambia chanzo cha ulimwengu na uhai?
Unaelewa kwamba hujathibitisha kwamba ameumba ulimwengu. Umeandika tu kwamba unathibitisha bulankuthibitisha?
 
Kuna kitu kinaitwa test...lazima mtu ajaribiwe ili ijulikane wapi stance yake ipo..vivo hivyo Mungu huwpima waja wake kwa majaribu mbalimbali ili wajitathmini imani zao. Kumbuka Binadamu amepewa free will ya kuamua kuamini ama kutokuamini. Mwalimu humfunza mwanafunzi wake na kumpa mtihani ili kufahamu uelewa wake.
Mungu anayejua yote anahitaji kututest ili kujua tulipo?

Huyu Mungu anayejua yote, bila kututest hatajua tulipo?

Mbona unajichanganya?

Kwa nini Mungu huyu ana hitaji sana watu wamuamini? Na kwa nini hakufanya wamuamini tu?
 
Back
Top Bottom