Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

mtoto mchanga " aliyedondokewa na ukuta au kufa baada ya tetemeko " kosa lake liko wapi ""? waweza niambia upendo wa Mungu ulipo " katika tukio kama hilo ...
kwani Mungu alisema mimi ni upendo kwaio nitawapa watu chakula bila kufanya kazi au sitowaua watoto wachanga kwani hawana kosa wapi Mungu alitaka aaminiwe kwa masharti hayo? kama yapo maandiko hayo basi ntakubaliana nawewe pia uelewe mambo mengine yanaendelea na kampa mwanadamu utashi kwani ndo anaendeleza uumbaji wa Mungu binadamu inabidi ajue kwamba ukuta huu una ufa ni hatari kwani kimbunga kikija ukuta utadondoka hapo Mungub hayupo ni utashi aliokuachia we umechagua kukaa singida au dodoma unajua kukame hauchimbi visima kwa ajili ya kulima kwa umwagiliziaji hapo ukifa Mungu hausiki ni utashi wako tuu mwenyewe kuwa mdogo kwa mfano kuna nchi zipo jangwani ila hazilii njaa ila wewe mgogo au mnyiramba ukilalamika unakufa njaa ni utashi wako mdogo kutojiandaa Mungu hayupo hapo
 
Mungu yupo kwakua ameumba ulimwengu

roho ipo maana isinge kuepo kiumbe kinge ishi milele
Duh! Na yeye aliumbwa na nani kama kweli yupo na aliye muumba ae aliumbwa na nani please jibu chronological
 
Mdogo wangu wewe umesoma theologia za dini mbali mbali. Budhism, Hindu, Christianity ingawa sina uhakika umesoma quruan je hizo mbili za kwanza zinazungumziaje uwepo wa Mungu? Je kuna Enlightment, Incarnation or go to heaven? Kuna contradition hapo na ndipo watu kama Kiaranga na wengine tunashindwa kuelewa ila tumo tu kwenye mwendo.
Shikamoo Dada uko sahihi kabisa nimekumiss sana...ndoto ya kuwa na MULT FAITH RESEARCH SOCIETY inakaribia kutimia... Nimeshapata mdau wa kuandaa ANDISHI LA MRADI na ardhi ya kujenga tayari mazungumzo yanaendelea... Pengine huko tutakuwa na mijadala ya moja kwa moja
 
hahaha.... una andiko?
andiko la nini ..siamini huo ujinga..."" hata wewe ukiwa na mamlaka leo hii unaweza ukawaambia watu kuwa wewe ni Mungu " ukachapisha vitabu na kuvisambaza duniani.."ukatumia media kujitangaza baada ya miaka 100 ukawa na msululu wa waumini wanao kuamini....so hebu achana na hzo hekaya za uwongo " sijui petro kafanyaje "" hazitokusaidia kitu
 
Mdogo wangu wewe umesoma theologia za dini mbali mbali. Budhism, Hindu, Christianity ingawa sina uhakika umesoma quruan je hizo mbili za kwanza zinazungumziaje uwepo wa Mungu? Je kuna Enlightment, Incarnation or go to heaven? Kuna contradition hapo na ndipo watu kama Kiaranga na wengine tunashindwa kuelewa ila tumo tu kwenye mwendo.
kabisa mkuu"
 
Kiufupi mwalimu akiuliza swali au hakifundisha kitu kisipoeleweka (kikileta mkanganyiko huwa anatoa ufafanuzi)
Nadhani kwa mfano huo kama aliyeulizwa swali hakuelewa muuliza swali atoe maana ya akili alafu muulizwa swali asema kama anazo au hNa
**OVER **
Swali limeeleweka kwamba anaulizwa kama anayo akili,ila yeye ndiyo kataka kujua neno akili nini ili aweze kujibu swali aliloulizwa kuwa anayo hiyo akili au hana.

Kwa maana nyengine Kiranga hajui neno la kiswahili "akili" na ndiyo sababu ya kukataa kujibu swali mpaka afundishwe neno akili kwanza.
 
unathibitisha kwa kipi kama zile ni stori? pia ulimwengu ulitokeaje tokeaje na vyote vilivyomo nje ya biblia nipe hadithi?
Kasome theories mbalombali hata ukisoma geography advance itakuonyesha formation of the universal utaeleawa na utaona theory ya kimungu iko weak kuliko zote haina evidence zaidi ya maneno matupu
 
andiko la nini ..siamini huo ujinga..."" hata wewe ukiwa na mamlaka leo hii unaweza ukawaambia watu kuwa wewe ni Mungu " ukachapisha vitabu na kuvisambaza duniani.."ukatumia media kujitangaza baada ya miaka 100 ukawa na msululu wa waumini wanao kuamini....so hebu achana na hzo hekaya za uwongo " sijui petro kafanyaje "" hazitokusaidia kitu
unakubaliana wewe na kiroboto wote ni sawa?
 
Back
Top Bottom