magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
jiulize swali JWTZ wanatulinda wakayaweka mabomu katika store zao kwa hali isiyojulikana yakalipuka Mungu anausika nini hapo?wakati watu ambao tuliowapa dhamana wamekosea ?Acha ujinga "" neno upendo linamantiki IPI kwako ""? baba kajenga nyumba halafu anaweka mabomu katika hiyo nyumba "" halafu anawaambia Watoto atakaye lipukiwa na hayo mabomu shauri Yke "" halafu hapo hapo " ana waambia kuwa anaupendo na nyie mtamuelewa kweli huyo baba""? .......kwanini asionyeshe upendo wake kwenu kwakujenga nyumba ambayo haina mabomu "" ili atakapo waambia kuwa anaupendo nanyi"" muweze kuona kuwa anaishi ndani ya anachokiongea .....""
Mungu muweza wa yote " Mwenye upendo kwa wote hayupo "" tusidanganyane hapa