Namaanisha binadamu waliopita walioishi kabla yetu na nathibitisha hilo kwa kua wew ulitumia nadharia ya pembetatu kuelezea ambayo ni nadharia ya watu waliopita
Hapo utanisamehe..
Akil ni mfumo/uwezo wa kufahamu ( nimekupa jibu Kwa kutumia akili angu) na akili ako inaweza kuthibitisha hilo kwa kua ndani ya kila akili ya binadamu kuna ufahamu wa uwepo wa mungu ila baada ya kujifunza nadharia za watu waliopita ndo tukaanza kujadili ushahidi wa uwepo wake lakini ni ukweli ushahidi upo kwenye akili yako
Sijasema unabishana ila ni kujadiliana na kama nitakua nimekukwanza naomba unisamehe
Akili ni mfumo/uwezo wa kufahamu
Ushahidi wa uwepo wa Mungu upo kwenye akili yako. Tumia akili ako acha nadharia za binadamu wenzio waliopita
Kupitia akili yako ako utafahamu uwepo wake
Akili ni mfumo/uwezo wa kufahamu
Niliposema kitu cha kwanza nilimaanisha kati kuaminini uwepo wa mungu na kutuuwepo kwake kwa hali hiyo kitu cha kati hivo viwili ni kua kitu cha kwanza ni kuamini uwepo wake.
Sent using
Jamii Forums mobile app