magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
kiroboto na wewe wote ni kingdom animalia wanaanza kutofautiana kwenye phylum wale wenye uti wa mgongo binadamu anaingia huku na wale wasio na uti wa mgongo b kiroboto ndo anaingia huku ukitoka hapo unakuja wale wanaonyonyesha na wale wasionyonyesha iyo ni class hapa ndo binadamu na nyoka wanatofautiana ila wewe na kiroboto katika ngazi ya kwanza wote nisawawewe Jamaa bhanaa..kwani umeona nimetaja sifa ngapi hapo za kingdom animalia...??