magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
yani vyote viwe by chance? Na uhai pia?BY CHANCE.
Bundi.
yani vyote viwe by chance? Na uhai pia?BY CHANCE.
Bundi.
Exactlyyani vyote viwe by chance? Na uhai pia?
Ni wewe ndo unaijichanganya si mimi...maelezo yangu yapo clear kabisa...sida iko pale mnapotaka kumthibitisha Mungu kama unavothiibitisha embeMungu anayejua yote anahitaji kututest ili kujua tulipo?
Huyu Mungu anayejua yote, bila kututest hatajua tulipo?
Mbona unajichanganya?
Una ushahidi gani kuwa vilivyomo humu ni vya kuumbwa na mungu huyo ambaye umeshndwa kuthbitisha uwepo wake?nathibitisha kwakua ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo? unaweza ukaniambia chanzo cha ulimwengu na uhai?
Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa njia yoyote.Ni wewe ndo unaijichanganya si mimi...maelezo yangu yapo clear kabisa...sida iko pale mnapotaka kumthibitisha Mungu kama unavothiibitisha embe
ushahidi ninaokupa ni mwanzo 1;1Una ushahidi gani kuwa vilivyomo humu ni vya kuumbwa na mungu huyo ambaye umeshndwa kuthbitisha uwepo wake?
Kwa nini unaamini kuna chanzo cha ulimwengu na uhai?
Hayo ni mahubiri. Si ushahidi.ushahidi ninaokupa ni mwanzo 1;1
pia ukisoma mwanzo utaona chanzo cha uhai je wewe huamini kama kuna chanzo cha uhai? kama uamini nipe maelezo nje ya kitabu cha mwanzo
Unakiamini vipi kitabu kinachojipinga kuwa kina maelezo toshelezi ktk mungu kuumba ulimwengu na vilivyomo?ushahidi ninaokupa ni mwanzo 1;1
pia ukisoma mwanzo utaona chanzo cha uhai je wewe huamini kama kuna chanzo cha uhai? kama uamini nipe maelezo nje ya kitabu cha mwanzo
kwanini tusingeishi katika sayari ya mercury au pluto?Exactly
thibitisha kama ni hadithi tuu? halafu haujanipa majibu ya kitabu cha mwanzoHayo ni mahubiri. Si ushahidi.
Tofautisha mahubiri na ushahidi.
Hujaweza kuthibitisha kwamba kitabu cha mwanzo si hadithi tu.
nje ya kitabu cha mwanzo namaanisha hapo juuthibitisha kama ni hadithi tuu? halafu haujanipa majibu ya kitabu cha mwanzo
ha hahaaYupo ambaye yupo ndiyo nini?
Acha kutoa majibu kama umekunywa lotion unaulizwa mungu alitoka wapi unajibu huo utumbo kweli?
kwaio nje ya hapo hauna ushahidi wa uumbwaji wa ulimwengu?Unakiamini vipi kitabu kinachojipinga kuwa kina maelezo toshelezi ktk mungu kuumba ulimwengu na vilivyomo?
unaelewa maana ya kiumbe lakini "" kiumbe ni " ni aina ya kitu kilicho umbwa " kwahiyo Mungu wake naye nikiumbe " mwenye Mungu wake " maana naye aliumbwa ....so kwa mantiki hiyo uweza wake wa yote unayokea wapi "" endapo kama kuna ambaye aliyemuumba " kwanini asingetumia uweza wake wa yote " kuzuka tu " ili aepuke kuitwa kiumbe ""?
mtoto mchanga " aliyedondokewa na ukuta au kufa baada ya tetemeko " kosa lake liko wapi ""? waweza niambia upendo wa Mungu ulipo " katika tukio kama hilo ...aliyoeleza yohana sijayakataa ni ya kweli kabisa sema kwa hoja aliyoijenga kwakua Mungu ni pendo basi asihukumu wenye dhambi icho ndo ninachokikataa ...uki relax utanielewa
mara ngapi unataka nikwambie kuwa uthibitisho wangu ni wa kiimani zaidi kitu ambacho wewe huna...umekengeuka ??? mnapenda sana kijificha ficha mnapoulizwa maswali yenye hoja.Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa njia yoyote.
unaniharibu mkuu ushaanza kuniambukiza kutokuamin ivi vitu ,,kasoro mungu tuIndeed Gudume.
Siamini kuwapo kwa Mungu, uchawi, malaika, majini, shetani, vinyamkera, vibwengo, popobawa, maruhani, Santa Claus, The Loch Ness Monster etc.
hapangiwiSasa kwa nini hakuumba hivyo?
hahaaa..Unarudia neno lile lile halafu unalazimisha umejibu.
Bwahaahaahaaa!!!!
Akikwambia hana roho utakataa?u
Mungu ni roho siwezi kuithibitisha kwa kukuonyesha kwa kushika, je nawewe unaweza ukanionyesha roho yako?