Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
As to 2010, wakristo ulimwenguni kote walikuwa asilimia 30 tu ya watu wote duniani, hii ni pamoja na mimi na Kiranga ambao tubatizwa lakini baadae tukagundua ni uzushi, ukituondoa, idadi inapungua zaidi, wewe 42_007 nani kakuambia believer ni wengi zaidi?
Anaweza kuwa kagundua chombo cha kuingia moyoni kwa kila mtu.
Tukiangalia matendo ya watu, wasioamini uwepo wa Mungu ni wengi sana.
Na hao wengi wao tunawaona wanasema Mungu yupo. Lakini matendo yao yanaonesha hawaamini wanachosema.
Wanaoamini Mungu wangekuwa wengi dunia isingekuwa na vita na mauaji hivi.