kwani Mungu alisema mimi ni upendo kwaio nitawapa watu chakula bila kufanya kazi au sitowaua watoto wachanga kwani hawana kosa wapi Mungu alitaka aaminiwe kwa masharti hayo? kama yapo maandiko hayo basi ntakubaliana nawewe pia uelewe mambo mengine yanaendelea na kampa mwanadamu utashi kwani ndo anaendeleza uumbaji wa Mungu binadamu inabidi ajue kwamba ukuta huu una ufa ni hatari kwani kimbunga kikija ukuta utadondoka hapo Mungub hayupo ni utashi aliokuachia we umechagua kukaa singida au dodoma unajua kukame hauchimbi visima kwa ajili ya kulima kwa umwagiliziaji hapo ukifa Mungu hausiki ni utashi wako tuu mwenyewe kuwa mdogo kwa mfano kuna nchi zipo jangwani ila hazilii njaa ila wewe mgogo au mnyiramba ukilalamika unakufa njaa ni utashi wako mdogo kutojiandaa Mungu hayupo hapo