magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
sifahamu nambieNeno gani linakufanya ufikiri nimekubali hivyo?
Unafahamu immanent criticism ni nini?
sifahamu nambieNeno gani linakufanya ufikiri nimekubali hivyo?
Unafahamu immanent criticism ni nini?
Anza kujibu swali la kwanza. Usirukie la pili kabla ya kujibu la kwanza.sifahamu nambie
Una nywele sawa, lakini umetambua uweupe ktk ndonga yako ni kuwa haung,amui vitu kuvipa maana zaidi ya kile utakacho.
Wewe ni mzuri ktk kuandika makala likija suala la ujengaji hoja mae to man upo mweupe.
Unapozungumzia akili unazungumzia kwa maana hipi?
Haujatoa maana ya akili sasa ntajua una maanisha nini?
Wengne wametoa maana ya akili kuwa ni kudadavua vipi ktk postive na negative.
Mwingne kadai akili ni kutambua uwepo wa mungu nashangaa wewe hautaki kutoa maana ya akili.
Akili ni nini?
Ili ujibiwe kama ninazo, sina au sijui.
Kukengeuka kwenu haku justify kwamba mliyoyagundua kuwa ndo sahihiAs to 2010, wakristo ulimwenguni kote walikuwa asilimia 30 tu ya watu wote duniani, hii ni pamoja na mimi na Kiranga ambao tubatizwa lakini baadae tukagundua ni uzushi, ukituondoa, idadi inapungua zaidi, wewe 42_007 nani kakuambia believer ni wengi zaidi?
Nimeshalijibu mara nyingi AKILI ni AKILIDay 6.
Mjadala umekwama ktk swali la msingi la akili ni nini? Wafuatiliaji wakitamani kuona majibu na swali litakalo fuata kutoka katika pande mbili vutani za mjadala.
AKILI NI NINI?
Sasa tumueleweje?Hawezi kujibu.
Hata anachokiulizia hajui ni kipi.
nambUnawezaje kuthibitisha Mungu kaumba ulimwengu? Unawezaje kuthibitisha hii si hadithi tu?
Unahakikishaje kiumbe kinaishi milele? Unawezaje kuthibitisha hii si hadithi tu?
swali lipi ambalo sijalijibu?Anza kujibu swali la kwanza. Usirukie la pili kabla ya kujibu la kwanza.
Akili ni nini?Ati kwenye nini vile? Ndonga? Sing'amui!? Ufafanuzi tafadhali hapo!
Mengine yote uliyoandika ni mtazamo wako....kunihusu sikuzuii kuwaza hivyo
Anza kufafanua akili ni nini kwanza.Ati kwenye nini vile? Ndonga? Sing'amui!? Ufafanuzi tafadhali hapo!
Mengine yote uliyoandika ni mtazamo wako....kunihusu sikuzuii kuwaza hivyo
Unarudia neno lile lile halafu unalazimisha umejibu.Nimeshalijibu mara nyingi AKILI ni AKILI
[emoji3] [emoji3] [emoji3]uliuliza akili ninini nikakujibu ila wewe ukashindwa kabisa kujibu kama una akili ama hunaAnza kufafanua akiki ni nini kwanza.
Sio unataka wengine wafafanue tu, wewe ukiombwa ufafanue hutaki.
Nimemjibu " barabara ya Kilwa haiendi kileleni mwa Mlima Kilimanjaro".Sasa tumueleweje?
Kama kashndwa kuelezea alichouliza tumpatie majibu akalale.
Unajibu akili ni akili.Akili ni akili
Btw maswali yako nayajibu yangu unashindwa kuyajibu
Neno gani linakufanya ufikiri nimeamini hivyo?namb
swali lipi ambalo sijalijibu?
Hapana.Hilo ndio jibu kama hukubaliani nalo sio juu yangu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sifahamu