Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mental slavery... Yani mtu unamuuliza kitu rahisi kabisa. Badala ya kukujibu yeye kama yeye anakuletea link za Wikipedia za mabandiko ya wafu... Nini maana ya kusoma na kuelimika kama huwezi simama mwenyewe na kujieleza mpaka utafute backup?
Mtu haamini kuwa kuna Mungu lakini anaamini katika maandishi mtandaoni! What a contradiction!

Hayo maandishi yanaonekana na walioyaandika wanajulikana
Ni tofauti na suala la kuamini kama Mungu yupo
 
Hapo hujajibu swali.

Kwenye logic hapo tunaita umetumia kitu k8naitwa "tautology".

Umerudia neno lile lile ambalo limeuliziwa swali kama jibu.

Hivyo hujaand8ka kipya.

Swali liko pale pale.

Akili ni nini?
Kwahyo unataka kusema mshana atakuwa hajui maana ya tautology???
 
KIMSINGI MKUU MSHANA MJADARA UMEUFANYA UWE NI VICHEKESHO KAMA VYA KINA JOTI
YAANI AKILI NI NINI
AKILI NI AKILI SERIOUS
 
Mental slavery... Yani mtu unamuuliza kitu rahisi kabisa. Badala ya kukujibu yeye kama yeye anakuletea link za Wikipedia za mabandiko ya wafu... Nini maana ya kusoma na kuelimika kama huwezi simama mwenyewe na kujieleza mpaka utafute backup?
Mtu haamini kuwa kuna Mungu lakini anaamini katika maandishi mtandaoni! What a contradiction!
Yees hawako huru hawa jamaa..hawawezi kusimama wao kama wao..so lazma watakimbilia wikipedia.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wa yote,upendo wa yote na ujuzi wa yote aruhusu uasi wa adam na hawa???!
Mungu ni muanzilishi wa Democrasia.
Na sio Dicteta, hivyo toka uumbaji alitaka kuunda utawala wa hiari yani wa kidemocrasia.
Alipomuumba Malaika akampa uhuru wa kuchagua kumwabudu yeye na kuwa chini ya himaya yake au kufuata anachopenda yeye.
Lusifer akaiona hiyo fulsa ya kuasi na akaichagua ili asilazimike kumwabudu Mungu, Mungu akamruhusu kuunda makao na mamlaka yake na pia kuweza kuwashawiishi watu wamtii.
Kwa binadamu pia,
Mungu alipomwumba Adam hakumficha kitu, alimwambia kuna matunda ya aina tatu nimeyapanda huko bustanini utakapo ishi.
Kuna tunda la chakula unaruhusiwa kula,
Kuna tunda la Uzima nalo pia kula ili uwe mzima mda wote.
Kuna tunda la kujua mema na mabaya, hili usile, ukila hakika utakufa.
Adam alitii vyote akaishi vizuri tu akiwa na afya njema na asiyekufa.
Mungu alipomuumbia Adam mke Hawa au Eve kwa kimombo, Eva alielezwa kila kitu kuhusu matunda yale, lipi ale na lipi asile na kwasababu gani.
Ili kuendeleza utawala wa Democrasia Mungu alimruhusu Lusifer kumshawishi Eva ili aamue kumtii Mungu au Roho nyingine.
Eva akashwawishika na maneno ya Lusifer akamshawishi na Adam mumewe wote wakala tunda la kutambua mema na mabaya na baada ya kula tu wakajiona wako uchi.
Mungu akawafukuza Adam na Eva katika bustani yake kwani hakutaka wale tunda la uzima ili wasije wakaishi milele katika hali yao ya uovu.
Pamoja na kumkaidi Mungu, bado Mungu alikuwa anawapenda akawapa mavazi na kuwapa chakula ambacho kitazalishwa na wao kwa kuilima ardhi.
Wakaanza maisha ya kujitegemea.
Mungu akaendelea kuwasilina nao ili kuwafundisha kuwa wakitaka kuurudia tena ufalme wa Mungu lazima wafe kwanza ili kuuacha mwili wao wa awali na kuuvaa mpya.
Baadae wakaletewa na Manabii ili wazidi kuwakumbusha namna ya kumrudia Mungu.
Hata hii leo binadamu halazimishwi kumtii Mungu, anahiari kumtii Mungu,
NIPO AMBAYE NIPO, au Shetani Lusifer.
Ndivyo Mungu anavyotaka iwe na imekuwa.
Kuna watu wanalalamika eti mbona Mungu hazuii mauaji yanayotendeka sasa.
Jibi ni kuwa Mungu amemwumba Binadamu na kumpa mamlaka ya kutawala dunia na vilivyomo, na amempa maelezo kuwa ili atawale vizuri inabidi afuate amri zake zinazoongoza kufanya amani hapa duniani.
Binadamu hawataki kufuata hizo amri na kuamua kufanya uasi kama,
Kuua
Kuroga
Kuharibu
Kuiba
Nk.
Hayo mambo yapo ktk mamlaka ya binadamu na yeye ndiye wa kulaumiwa panapotokea shida kama hizo.
Hivyo binadamu tutimize majukumu yetu ya kuleta amani duniani na sio unamchinja mtu bila hatia halafu unamsingizia Mungu.
Viungo vya mwili tulivyopewa ni vya kutuwezesha kujenga jamii na sio kuiharibu.
 
Kiufupi mwalimu akiuliza swali au hakifundisha kitu kisipoeleweka (kikileta mkanganyiko huwa anatoa ufafanuzi)
Nadhani kwa mfano huo kama aliyeulizwa swali hakuelewa muuliza swali atoe maana ya akili alafu muulizwa swali asema kama anazo au hNa
**OVER **
 
Unawezaje kuthibitisha Mungu kaumba ulimwengu? Unawezaje kuthibitisha hii si hadithi tu?

Unahakikishaje kiumbe kinaishi milele? Unawezaje kuthibitisha hii si hadithi tu?
nani kaumba ulimwengu?
 
Kiufupi mwalimu akiuliza swali au hakifundisha kitu kisipoeleweka (kikileta mkanganyiko huwa anatoa ufafanuzi)
Nadhani kwa mfano huo kama aliyeulizwa swali hakuelewa muuliza swali atoe maana ya akili alafu muulizwa swali asema kama anazo au hNa
**OVER **
Hataki kujibu kwa sababu hata hajui alichotaka kuuliza ni nini.

Alikuwa ananibabatiza tu. Akakuta nipo kamili gado.
 
Neno gani linakufanya ufikiri nimeamini hivyo?

Rudia kusoma. Naona ushachanganyikiwa hukumbuki hata ulichonukuu.
mbona nimekujibu nimekwambia inaonyesha umeamini ila ukataka condition zako kwamba dunia iwe vile je ingekua kama vile unavyotaka ungeamini kwamba Mungu yupo?
 
mbona nimekujibu nimekwambia inaonyesha umeamini ila ukataka condition zako kwamba dunia iwe vile je ingekua kama vile unavyotaka ungeamini kwamba Mungu yupo?
Inaonesha nimeamini wapi?

Kwa sababu gani?

Kwa mantiki gani?

Kwa nini unafikiri ni hivyo na hiyo si tafsiri yako potofu tu kwa sababu hujui kusoma?
 
Back
Top Bottom