Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Sio wakristo.vp kuhusu hao 70%...???
Sio wakristo.vp kuhusu hao 70%...???
Indeed Gudume.atheist anajua kuwa kuna watu wanaamini kuhusu Mungu. ila yeye anaamini hakuna kabisa suala la Mungu. na si kweli kuwa hajui kama kuna Mungu. ila ni kuwa ameamua kuamini hakuna Mungu. huyu anaamini hakuna supernatunal. so kama huyo mtajwa kiranga yeye anaamini kuwa hakuna supernatural basi ni atheist. mimi nazungumza kwa kutumia mikabala miwili ambayo ni
1. language
2. philosophy
Akili ni nini?Una akili ama huna akili?
Na ndio maana hataki kujibu kuwa ana akili au hanaKuna post flani ya kiranga kuhusu bishop kivengere sijui wa huko Uganda sijui alisoma kitabu chake .na yeye kwa wazi kabisa akakiri MUNGU ni mkuu .
Kiranga sio atheist kwakweli ila anataka kuwa atheist Tatizo nahisi kuna mtifuano wa ndani kwa ndani katika nafsi yake .
Ila naamini IPO siku kiranga atamjua MUNGU huyu mkuu na atamkiri wazi wazi kama sio hapa basi huko uchochoroni
Msingibwa swali lako wa "nani" ni potofu.
Ni kama nikuulize "rangi ya wimbo wa taifa wa Tanzania ni rangi gani?"
Utanijibu vipi?
Bado haujajibu ulichoulizwa.Akili ni akili
Iweke hiyo post hapa tujue nilichoandika, unachosema niliandika na kama umekosea kusoma na kuelewa nilichoandika.Kuna post flani ya kiranga kuhusu bishop kivengere sijui wa huko Uganda sijui alisoma kitabu chake .na yeye kwa wazi kabisa akakiri MUNGU ni mkuu .
Kiranga sio atheist kwakweli ila anataka kuwa atheist Tatizo nahisi kuna mtifuano wa ndani kwa ndani katika nafsi yake .
Ila naamini IPO siku kiranga atamjua MUNGU huyu mkuu na atamkiri wazi wazi kama sio hapa basi huko uchochoroni
dhana ipi ambayo wewe inakuchanganya kuwepo kwake ni ipi?Kungekuwa hakuna dhambi kungekuwa hakuna contradiction katika dhana ya kuwepo kwake. Mungu kwa utakatifubwake mnaousema, hatakiwi kuumba chochote kinachoweza kuwa na mabaya.
Ulimwengu huu wenye mabaya una contradict dhana ya kuwepo kwake huyo Mungubwenu. Unaonesha Mungu huyo hayupo. Ni hadithi tu.
Kwa mfano mshana mtu anakuuliza uchawi ni nini, Kweli unaweza kumjibu kwambaToa jibu basi wewe... Jibu langu ndio hilo.. Lichekeshe liudhi lichukize lakini ndio jibu langu kama unaona kuna jibu tofauti na hili lenye mantiki zaidi litoe hapa
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwapo?dhana ipi ambayo wewe inakuchanganya kuwepo kwake ni ipi?
hayo mabaya unayoyasema ni mwananadamu katika makosa yake au ni Mungu anaaeleta hayo?
Nimewambia kwamba hujajibu swali.Achana na links huko ni kushindwa zaidi ya kushindwa.... Yani unaiamini Wikipedia kuliko wewe mwenyewe?
Jibu kwa mtazamo wako na uelewa wako sio assist ya mtandao toka mabandiko ya wengine
Akili ni nini?Na ndio maana hataki kujibu kuwa ana akili au hana
ha hahaaNimekuuliza swali Mungu wapi kajishuhudia mwenyewe hizo sifa au sisi wanadamu ndo tunamshuhudia kutokana na matendo yake? ukinipa andiko Mungu anajishuhudia mwenyewe naungana kama hauna andiko rudi tena tengeneza swali
hajashindwa kuumbaMungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwapo?
nitakujibu wimbo hauna rangi kwa maana haoinekani,ila nilivyokutajia vyote vinaonekana kwa macho haya sasa baada ya kukujibu nawewe naomba jibu langu ,nani kaumba hivi tunavyoviona kama vile bahari,jua,mwezi ,na dunia tunayoishiMsingibwa swali lako wa "nani" ni potofu.
Ni kama nikuulize "rangi ya wimbo wa taifa wa Tanzania ni rangi gani?"
Utanijibu vipi?