Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ili uweze kumjua Mungu basi ni lazima kwanza ujengeke kiimani
Ni lazima uamini Uwepo wake
Ni lazima uamini Uwezo wake
Ni lazima uamini Malaika wake
NI lazima uamini Mitume wake
Ni lazima uamini vitabu vyake
Na ni lazima uamini kwamba kheri na shari zote zinatokana na yeye

Huu ndo mfumo mzima wa imani.
Nikikwambia kwamba ili kujua kwamba 10 ni square root ya 2, inabidi kwanza uamini kwamba 10 ni square root ya 2 utakubali?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hayupo usingeweza kukataa kutokuwepo kwake ama kupinga uwepo wake... Kisichopo hakipo hivyo hakiwezi kujadiliwa kwa namna yoyote ile
Mungu yupo ndio maana anajadiliwa na kujadilika!
Una akili ama huna akili?
Yupo alitokea wapi huyo mungu?
 
Sasa ajabu kwako ambaye unataka uthibitisho wa jambo la imani.

Suala la uwepo wa mungu ni imani,sasa iweje mwenye kuamini hiyo imani umwambie akupe uthibitisho?
Sijadili imani. Najadili fact.

Unaruhusiwa kuamini chochote.

Katiba ya nchi inakuruhusu. Universal Declaration of Human Rights inakuruhusu.

Mimi napigania uhuru wa watu kuamini wanavyotaka. Hata ukitaka kuamini mavi yako ni Mungu nitakutetea. Ilimradi usituletee kipindupindu tu au kutuingukia uhuru wwtu kama kutuhubiria hapa kwamba mavi ni Mungu.

Ukiileta habari za Mungu wako kwenye mjadala wa JF kuhusu facts, inabidi uthibitishe madai yako kama facts.
 
mkuu "" unatoa hii statement " huku ukiwa umesahau kuwa " manji alifutiwa mashitaka na DPP ...jitahidi mnoo kuwa unatofautisha " kati ya mtuhumiwa na muhalifu "
lakini nadhani mfano wangu umeuelewa .unapokiri kwamba hakuna kiumbe aliyetengeneza bahari,jua,mwezi and all universe na pia hivi vitu vina mwanzo halafu unakataa hakuna Mungu sijui nikuweke Fungu gani
 
Sijadili imani. Najadili fact.

Unaruhusiwa kuamini chochote.

Katiba ya nchi inakuruhusu. Universal Declaration of Human Rights inakuruhusu.

Mimi napigania uhuru wa watu kuamini wanavyotaka. Hata ukitaka kuamini mavi yako ni Mungu nitakutetea. Ilimradi usituletee kipindupindu tu au kutuingukia uhuru wwtu kama kutuhubiria hapa kwamba mavi ni Mungu.

Ukiileta habari za Mungu wako kwenye mjadala wa JF kuhusu facts, inabidi uthibitishe madai yako kama facts.
Hatujaelewana nadhani ni hivi.

Suala la uwepo wa mungu ni imani,sasa iweje mwenye kuamini hiyo imani umwambie akupe uthibitisho?

Kama haujadili imani usingekuwa hapa kujadili uwepo wa mungu kitu ambacho ni imani,ungeenda kujadili vitu ambavyo ni fact.
 
Uthibitisho wangu ni wa kiimani zaidi kitu ambacho wewe huna..kwanza tu hivi hamuoni ajabu kwamba non believer ni asilimia chache sana ulimwenguni kuliko believers walio wengi ?
Hii ya kwamba believer ni wengi umeipata wapi? Ni sensa ya mwaka gani? Au umekisia tu?
 
Yupo alitokea wapi huyo mungu?
Nazungumzia uwepo wake sio kutokea kwake.. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa... Ni vema kwenda kwa mtiririko sahihi
Ila kwa kukujibu tu ni kwamba Yeye (Mungu) yupo ambaye yupo...
 
1 John 4:8
Whoever does not love does not know God, because God is love.

What Does the Bible Say About God Is Love?

God id omnipotent. From Bible verses

13 Bible verses about God's Omnipotence
Yohana amemwelezea Mungu kwamba ni upendo kutokana na matendo yake aliyoyafanya ulimwenguni ,nataka andiko ambalo Mungu anasema mwenyewe izo sifa mfano ukisoma kutoka 3;14 MUNGU anamwambia akasema ,ndivyo utakavyo waambia MIMI NIKO AMBAYE NIKO amenituma kwenu haya maneno ni ya MUNGU mwenyewe nataka andiko kama ilo ambalo Mungu anasema mimi ni upendo kwaio hata mkinikosea sitowaangamiza ukija naandiko kama ilo nakubaliana nawewe
 
Kwa hiyo unapingana na Yohana?

Mungu hajawahi kuandika kitu.

Kwa sababu hayupo.

Hata hizo habari za mimi niko ambaye niko hajawahi kuandika.

Kama unabisha thibitisha kwamba yupo.
 
Nazungumzia uwepo wake sio kutokea kwake.. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa... Ni vema kwenda kwa mtiririko sahihi
Ila kwa kukujibu tu ni kwamba Yeye (Mungu) yupo ambaye yupo...
Yupo ambaye yupo ndiyo nini?

Acha kutoa majibu kama umekunywa lotion unaulizwa mungu alitoka wapi unajibu huo utumbo kweli?
 
Hatujaelewana nadhani ni hivi.

Suala la uwepo wa mungu ni imani,sasa iweje mwenye kuamini hiyo imani umwambie akupe uthibitisho?

Kama haujadili imani usingekuwa hapa kujadili uwepo wa mungu kitu ambacho ni imani,ungeenda kujadili vitu ambavyo ni fact.
Ukishamwambia mtu mwingine Mungu yupo as a statement if fact, ushaindoka kwenye imani. Umeingia kwenye mjadala wa fact.

Unaelewa hilo?
 
Yohana amemwelezea Mungu kwamba ni upendo kutokana na matendo yake aliyoyafanya ulimwenguni ,nataka andiko ambalo Mungu anasema mwenyewe izo sifa mfano ukisoma kutoka 3;14 MUNGU anamwambia akasema ,ndivyo utakavyo waambia MIMI NIKO AMBAYE NIKO amenituma kwenu haya maneno ni ya MUNGU mwenyewe nataka andiko kama ilo ambalo Mungu anasema mimi ni upendo kwaio hata mkinikosea sitowaangamiza ukija naandiko kama ilo nakubaliana nawewe
Ahahaa, kwa hiyo kuna maandiko ambayo Mungu kasema mwenyewe na kuna yale ambayo ameelezewa tu na waandishi wa biblia, na mtizamo wako, hayo aliyoelezewa tu na akina Yohana umeyakataa, sio ya kweli au ni kwa nini umeyakataa?
 
Hii ya kwamba believer ni wengi umeipata wapi? Ni sensa ya mwaka gani? Au umekisia tu?
Anaweza kuwa kagundua chombo cha kuingia moyoni kwa kila mtu.

Tukiangalia matendo ya watu, wasioamini uwepo wa Mungu ni wengi sana.

Na hao wengi wao tunawaona wanasema Mungu yupo. Lakini matendo yao yanaonesha hawaamini wanachosema.

Wanaoamini Mungu wangekuwa wengi dunia isingekuwa na vita na mauaji hivi.
 
Yupo ambaye yupo ndiyo nini?

Acha kutoa majibu kama umekunywa lotion unaulizwa mungu alitoka wapi unajibu huo utumbo kweli?
Sikujua kama wewe ni MPUUZI kiasi hiki... Na bahati mbaya ni kwamba kwangu MPUUZI hajibiwi
 
Kwa hiyo unapingana na Yohana?

Mungu hajawahi kuandika kitu.

Kwa sababu hayupo.

Hata hizo habari za mimi niko ambaye niko hajawahi kuandika.

Kama unabisha thibitisha kwamba yupo.
kwaio za yohana unakubali kaandika lakini za musa unazikataa? unaanza kunipa shaka na uteteaji wa hoja zako maana unakubali halafu unatoka
 
Kaandika nani?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom