Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,741
- 7,537
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.
Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)
Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.
Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.
Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.
Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.
Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?
Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Hoja yako imekaa vizuri sana, nimeipenda. Actually kwa upande mwingine ukiangalia vizuri, atheists ni watu ambao wanajaribu kumu-alert kila mmoja wetu kuwa Mungu yupo, isipokuwa tu wao kutokana na ufahamu mdogo, wameangukia katika ibada ya miungu mingine, wakamuacha Mungu wa kweli. Walichofeli ni kum-detect Mungu wa kweli na kwa sababu asili ya binadamu ni kuwa aliumbwa ili aabudu, wameangukia kwenye miungu mingine. Atheists ni watu wanaothisitisha kwa kiwango cha juu sana, uwepo wa Mungu lakini ambaye wao hawamwabudu!