Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,498
- 151,716
Bora mimi nimetoa maelezo.Bado hujajibu umetoa maelezo
Wewe hujajibu akili ni nini wala hujatoa maelezo ya kufafanua akili ni nini.
Bora mimi nimetoa maelezo.Bado hujajibu umetoa maelezo
hilo ndio jibu? toa jibu nani kaumba ulimwengu,bahari,jua,nyota,na dunia kwa ujumla?Kwa nini unafikiri swali lako liko sahihi na halijajengwa katika msingi potofu?
Hata mfano kashndwa, tunajua mwalimu kabla ya kuuliza au kutoa swali anafundisha kwa mifano,Kiufupi mwalimu akiuliza swali au hakifundisha kitu kisipoeleweka (kikileta mkanganyiko huwa anatoa ufafanuzi)
Nadhani kwa mfano huo kama aliyeulizwa swali hakuelewa muuliza swali atoe maana ya akili alafu muulizwa swali asema kama anazo au hNa
**OVER **
Toa jibu basi wewe... Jibu langu ndio hilo.. Lichekeshe liudhi lichukize lakini ndio jibu langu kama unaona kuna jibu tofauti na hili lenye mantiki zaidi litoe hapaKIMSINGI MKUU MSHANA MJADARA UMEUFANYA UWE NI VICHEKESHO KAMA VYA KINA JOTI
YAANI AKILI NI NINI
AKILI NI AKILI SERIOUS
Msingibwa swali lako wa "nani" ni potofu.hilo ndio jibu? toa jibu nani kaumba ulimwengu,bahari,jua,nyota,na dunia kwa ujumla?
unataka kututoa kwenye reli hayo hatuhitaji swali akili ni nini? Hayo maandiko tunayajuaMungu ni muanzilishi wa Democrasia.
Na sio Dicteta, hivyo toka uumbaji alitaka kuunda utawala wa hiari yani wa kidemocrasia.
Alipomuumba Malaika akampa uhuru wa kuchagua kumwabudu yeye na kuwa chini ya himaya yake au kufuata anachopenda yeye.
Lusifer akaiona hiyo fulsa ya kuasi na akaichagua ili asilazimike kumwabudu Mungu, Mungu akamruhusu kuunda makao na mamlaka yake na pia kuweza kuwashawiishi watu wamtii.
Kwa binadamu pia,
Mungu alipomwumba Adam hakumficha kitu, alimwambia kuna matunda ya aina tatu nimeyapanda huko bustanini utakapo ishi.
Kuna tunda la chakula unaruhusiwa kula,
Kuna tunda la Uzima nalo pia kula ili uwe mzima mda wote.
Kuna tunda la kujua mema na mabaya, hili usile, ukila hakika utakufa.
Adam alitii vyote akaishi vizuri tu akiwa na afya njema na asiyekufa.
Mungu alipomuumbia Adam mke Hawa au Eve kwa kimombo, Eva alielezwa kila kitu kuhusu matunda yale, lipi ale na lipi asile na kwasababu gani.
Ili kuendeleza utawala wa Democrasia Mungu alimruhusu Lusifer kumshawishi Eva ili aamue kumtii Mungu au Roho nyingine.
Eva akashwawishika na maneno ya Lusifer akamshawishi na Adam mumewe wote wakala tunda la kutambua mema na mabaya na baada ya kula tu wakajiona wako uchi.
Mungu akawafukuza Adam na Eva katika bustani yake kwani hakutaka wale tunda la uzima ili wasije wakaishi milele katika hali yao ya uovu.
Pamoja na kumkaidi Mungu, bado Mungu alikuwa anawapenda akawapa mavazi na kuwapa chakula ambacho kitazalishwa na wao kwa kuilima ardhi.
Wakaanza maisha ya kujitegemea.
Mungu akaendelea kuwasilina nao ili kuwafundisha kuwa wakitaka kuurudia tena ufalme wa Mungu lazima wafe kwanza ili kuuacha mwili wao wa awali na kuuvaa mpya.
Baadae wakaletewa na Manabii ili wazidi kuwakumbusha namna ya kumrudia Mungu.
Hata hii leo binadamu halazimishwi kumtii Mungu, anahiari kumtii Mungu,
NIPO AMBAYE NIPO, au Shetani Lusifer.
Ndivyo Mungu anavyotaka iwe na imekuwa.
Kuna watu wanalalamika eti mbona Mungu hazuii mauaji yanayotendeka sasa.
Jibi ni kuwa Mungu amemwumba Binadamu na kumpa mamlaka ya kutawala dunia na vilivyomo, na amempa maelezo kuwa ili atawale vizuri inabidi afuate amri zake zinazoongoza kufanya amani hapa duniani.
Binadamu hawataki kufuata hizo amri na kuamua kufanya uasi kama,
Kuua
Kuroga
Kuharibu
Kuiba
Nk.
Hayo mambo yapo ktk mamlaka ya binadamu na yeye ndiye wa kulaumiwa panapotokea shida kama hizo.
Hivyo binadamu tutimize majukumu yetu ya kuleta amani duniani na sio unamchinja mtu bila hatia halafu unamsingizia Mungu.
Viungo vya mwili tulivyopewa ni vya kutuwezesha kujenga jamii na sio kuiharibu.
Jibu swali kwanza...Kwa nini unafikiri swali lako liko sahihi na halijajengwa katika msingi potofu?
Nimejibu zaidi ya mara 5 nakujibu tenaBora mimi nimetoa maelezo.
Wewe hujajibu akili ni nini wala hujatoa maelezo ya kufafanua akili ni nini.
kwaio angeumba ulimwengu ambao dhambi haifanyiki ,asingezuia watu kurudi nyuma katika muda ungeamini kama yupo?Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kufanyika?
Kama yupo, kaumba ulimwengu huu ambao watu hatuwezi kurudi nyuma katika muda.
Kwa nini hakuuwekea ulimwengu huu sheria ya asili kama hiyo ya kuzuia watu kurudi nyuma katika muda, ikataze dhambi kuwezekana?
Hapo unachekesha tu. Hujajibu swali.Nimejibu zaidi ya mara 5 nakujibu tena
Akili ni akili kama unaona sio jibu sahihi weka hilo jibu sahihi hapa nikupigie makofi na kukupongeza
Na mimi sijakuuliza binadamu ni nani au nini, nimekupa mfano wa jibu ktk jibu lako la akili ni akili.Nimejibu akili ninini sio binadamu ni nini ama ni nani
Akili ni nini?Toa jibu basi wewe... Jibu langu ndio hilo.. Lichekeshe liudhi lichukize lakini ndio jibu langu kama unaona kuna jibu tofauti na hili lenye mantiki zaidi litoe hapa
Kungekuwa hakuna dhambi kungekuwa hakuna contradiction katika dhana ya kuwepo kwake. Mungu kwa utakatifubwake mnaousema, hatakiwi kuumba chochote kinachoweza kuwa na mabaya.kwaio angeumba ulimwengu ambao dhambi haifanyiki ,asingezuia watu kurudi nyuma katika muda ungeamini kama yupo?
Hujaweza kujibu swali dogo tu.Akili ni akili
Atheist si mtu ambaye anaamini kuwa hakuna ulimwengu wa kiroho (supernatural realm) au Mungu. Atheist ni yule mtu ambaye hana imani juu ya uwepo wa Mungu. Kwa hiyo kama Theism ni belief in the exiatence of God, then Atheism from the prefix A- meaning without and theism transalates to absence in the belief of God and the supernatural.atheist anajua kuwa kuna watu wanaamini kuhusu Mungu. ila yeye anaamini hakuna kabisa suala la Mungu. na si kweli kuwa hajui kama kuna Mungu. ila ni kuwa ameamua kuamini hakuna Mungu. huyu anaamini hakuna supernatunal. so kama huyo mtajwa kiranga yeye anaamini kuwa hakuna supernatural basi ni atheist. mimi nazungumza kwa kutumia mikabala miwili ambayo ni
1. language
2. philosophy