Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,499
- 151,723
Na wewe hujauliza swali. Umeleta a vague dissipation of vacuous vomit.Hayo ni maelezo sio jibu... Hebu jibu kama nilivyokujibu mimi
Umeniuliza AKILI ninini.. Nikakujibu ni AKILI
Na wewe hujauliza swali. Umeleta a vague dissipation of vacuous vomit.Hayo ni maelezo sio jibu... Hebu jibu kama nilivyokujibu mimi
Umeniuliza AKILI ninini.. Nikakujibu ni AKILI
Mental slavery... Yani mtu unamuuliza kitu rahisi kabisa. Badala ya kukujibu yeye kama yeye anakuletea link za Wikipedia za mabandiko ya wafu... Nini maana ya kusoma na kuelimika kama huwezi simama mwenyewe na kujieleza mpaka utafute backup?Unakuta wenyewe wanaorodhesha majina ya watu na vitabu,kuonesha kuwa wao ni bora kisa wamesoma mawazo ya hao watu.
Akili ni nini? Ukiiandika kwa all caps hilo halibadilishi kitu.Kiranga una AKILI ama huna AKILI?
Hili swali umeuliza mara nyingi mno.Vipi hauna swali lingine mkuu?Kiranga una AKILI ama huna AKILI?
Kwani Mungu anajielezea ivvyo tuu kwa viumbe wake? tuanzie hapoKwa nini mungu mwenye uwezo wa yote,upendo wa yote na ujuzi wa yote aruhusu uasi wa adam na hawa???!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama hujaliona jibu basi kazi ipo. Haya nakujibu tena.Akili ni nini? Ukiiandika kwa all caps hilo halibadilishi kitu.
Akili ni nini?
Hujajibu swali hili.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama hujaliona jibu basi kazi ipo. Haya nakujibu tena.Akili ni nini? Ukiiandika kwa all caps hilo halibadilishi kitu.
Akili ni nini?
Hujajibu swali hili.
Katika hayo mawili wewe umefanya kipi?Hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Hakuna aliyeondoa contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu.
Hapo hujajibu swali.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama hujaliona jibu basi kazi ipo. Haya nakujibu tena.
Kiranga umeniuliza mimi Mshana Jr akili ninini?
Mimi nimekujibu AKILI NI AKILI.!
Akili ni nini?Huwezi kuruka jibu lazima swali la kwanza lijibiwe! Kuuliza mara nyingi maana yake hakuna aliyeweza kujibu hasa mlengwa
What is the historical evidence that Jesus Christ lived and died?
Maswali mengi sana hayajajibiwa hapa.Hili swali umeuliza mara nyingi mno.Vipi hauna swali lingine mkuu?
Acha maneno mingi akili ni akili.... Sasa kama hujaridhika na hili jibu hiki ni kitu kingine...Hapo hujajibu swali.
Kwenye logic hapo tunaita umetumia kitu k8naitwa "tautology".
Umerudia neno lile lile ambalo limeuliziwa swali kama jibu.
Hivyo hujaand8ka kipya.
Swali liko pale pale.
Akili ni nini?
Nimethibitisha kwamba Mungu huyo hayupo na hawezi kuwepo.Katika hayo mawili wewe umefanya kipi?
Umethibitisha kuwa mungu hayupo?
Au Umeonesha contradictions katika maelezo yenye kuhusu mungu?
Hapa hujajibu akili ni nini.Acha maneno mingi akili ni akili.... Sasa kama hujaridhika na hili jibu hiki ni kitu kingine...
Mungu mwenye kujua yote,mwenye huruma yote,mwenye upendo wote,mwenye ujuzi wote na mwenye mamlaka yote hawezi kuruhusu kifo kwa binadamu!Kwani Mungu anajielezea ivvyo tuu kwa viumbe wake? tuanzie hapo