Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Akili ni nini?

Unauliza kitu ambachohata kukifafanua unachouliza ni nini hujui?

Nijibu swali ambalo wewe mwenyewe unayeuliza hujaweza kulifafanua?
Akili ni uwezo wa kupambanua mambo kwa ufasaha kwa maana ya negativities na postivities ya jambo husika.
 
Naona maana ya atheist hujui, acha kufundisha watu kitu ambacho hukijui. Kutokua na imani na mungu ni atheist pia. Usilete definition zako mwenyewe unapotosha watu lugha. Kitanga ni atheist, na mimi pia
Karibu pia.. Naamini umechangia bila kusoma maudhui na kuelewa nilichoandika
 
Mwambie Mshana ajibu tuendeleena mjadala.

Akili ni nini?

Ameukwamisha mjadala tunazunguka hapahapa siku ya pili kwa nini?
Kuna maneno yana maana zaidi ya moja mfano kaa,tupu au sita.

Ni baadhi ya maneno ambayo yana maana zaidi ya moja na maana zake zote zinajulikana na kutumika kwenye maongezi ya kila siku,sasa sijui kama neno akili nalo ni miongoni mwa hayo maneno kiasi cha wewe kushindwa kuelewa au kujibu swali.
 
Afu mimi jina la utoto ni kiranga...silitumii tu.
Anyway huwa nikifikiri simple logic kama dunia ikisimama dk moja itakuwaje ? Who made this solar system to be so automated?

Solar system imekuwepo miaka zaidi ya mil 1 bila kuwepo physical & chemical errors ; how is this possible?

Kwenye sayansi huwezi tegeneza kitu kika run mil of years bila maintenance wala errors.
Who is maintaining this solar system? How?

Nikifika hapo huwa nagota na kusema "MUNGU yupo"

Kuna jamaa mjinga mmoja aliniambia eti baada ya miaka 1000 watu watagundua uhalisia nini kiliumba dunia na nature na viumbe vyote akiwemo Mwanadamu akasahau kwamba dunia imekuwepo miaka millions, mbona hiyo miaka 1000 na si millions iliyopita?

Nitamwabudu Mungu wa Ibrahim; Mungu wa Elia.

Wewe una akili .. uwezo wa ku - reason ni muhimu.
 
Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza nimefurahi hapo kwenye kujidharirisha! dawa yenu iko hivi ni kujidhalilisha sio kujidharirisha ila isiwe ishu kuna watu wana shida ya R na L sasa tuachane na hilo kuni downgrade mimi na kumu upgrade Kiranga ni haki yako kamili kutokana na mtazamo wako lakini je ndio uhalisia? Hili halihitaji majibu yetu sisi watatu
Sasa nijibu wewe! Je una AKILI?

Asante kwa kunielimisha hapo kwenye L na R. kulingangana na tafsiri ya akili niliyoitoa hapo ndio nina akili.
 
umetengeneza id mpya sasa una jibu mwenyewe hahahaa
Kwahiyo mkuu anafanya mchezo wa kujitekenya na kucheka mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawai ona hoja ya KIranga, limewekwa wazi Mpumbavu husema hakuna Mungu alafu waswahili wakasema ukibisha na mpumbavu utakua ni mmoja wao. Hiki ndo kinatokea hapa.

kwa kujua kuwa watu hawapendi kuitwa wapumbavu ndio maana likatumika neno hilo ili watu wasihoji... kwa akili ya kawaida tu ikiwa mtu anahitaji ushahidi juu ya uwepo wa Mungu anakuwajen mpumbavu? nadhani mpumbavu ni yule anayeamini kibubusa kisa tu anaogopa kuitwa mpumbavu ikiwa hataamini.
 
Mjadala huu mshana umeuleta kwa panic

Lengo lako lilikuwa ni nini?

Unapotoa mada na bila kuidadavua kwa kina unakuwa unawalisha tango pori wale wanaotaka kujifunza kupia wewe.

Kama lengo lako lilikuwa kuonekana huko bora ktk hoja tambua umepatikana

Nashangaa mpaka sasa unashndwa kuelezea maana ya neno akili na siku zinaenda bila kufikia muafaka.

Mshana jr akili ni nni ili Kiranga aweze kukupa jibu sahihi na mjadala uendlee au umalizike.
 
Back
Top Bottom