Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Watu kama Kiranga ni wa ovyo.Ni watu wenye mawazo finyu tu ambao wanaweza kubisha uwepo wa Mungu.
Binadamu sana sana ana miaka 70 ya kuishi ila dunia ipo na itaendelea kuwepo.Ni busara kuacha kubisha uwepo wa Mungu.Ni bora mtu akae na imani yake ya kipagani moyoni badala ya kila kukicha anapinga.
 
Kwa sasa nitakuwa naendeleza mahojiano na wengine, hususan wanaojibu swali hili.

Kuonesha kwamba naweza kuendelea na mjadala swali hili likijibiwa.

Kama hizo ndizo akili, basi ninazo, maana nimewezakupinga uwepo wa Mungu kwa ufasaha kwa kutumia"proof by contradiction", proof by contradiction inaanza kwa ku assumekitu kuwa kweli (positives kutokakatikadefinition yako)halafu ina contradict positives hizo na kuonesha assumptions fulani si sahihi na hizopositives si kweli (negatives kwa mfano wako) kwa namna ambayo watu hawajaweza kuipinga hapa.

Sasa kwa nini inakuwa vigumu sana Mshana kunijibukamaulivyonijibu wewe?

Anaogopa nini?
Vyote vyote bro, nmewai kuwa na mjadala na wewe before kuhusu uwepo wa Mungu. Nasikitika hukuwa ukijibu swali bali kulukia hoja na dhana ulizo kalili.

Nilithibitisha uwepo wa Mungu kupitia maandiko, na only thru scriptures tunaweza kum - define na kumdhihirisha Mungu. Sikutaka kuchangia kabisa kwa sababu huna jipya yote umekwisha Yasema. Wacha niwe mfuatliaji ni kipata majibu kusaidia nitafanya hivyo.

Swali nlo uliza last time ilikua, Umewahi ona upepo bila shaka unakumbuka .. HUKUJIBU.
 
Watu kama Kiranga ni wa ovyo.Ni watu wenye mawazo finyu tu ambao wanaweza kubisha uwepo wa Mungu.
Binadamu sana sana ana miaka 70 ya kuishi ila dunia ipo na itaendelea kuwepo.Ni busara kuacha kubisha uwepo wa Mungu.Ni bora mtu akae na imani yake ya kipagani moyoni badala ya kila kukicha anapinga.
Shikamoo mzee.
 
Huyu Mshana hata haelewi kwamba proof by contradiction is a conceptual proof, it is not a physical proof.

Hahahaaa! Funny!

About 3 weeks ago I met an ‘agnostic atheist’ who told me God fails the most basic common sense test.

I agreed with him. And one need not be a rocket scientist to see that.

But some of these folks here don’t seem to even know the difference between believing and knowing.

So how can one have a meaningful debate with someone who doesn’t even know or understand the basics of the subject of the debate??????
 
Kiranga na hoja binafsi, kwa upande wako unachimba sana ukipinga uwepo wa Mungu na upande mwingine wanasema yupo, binadamu wote tunapenda kuhoji na wengine wanaingia ndani sana, tunaomba uanzishe thread yako ukielezea upande wako naamini maswali yatakuwa mengi
 
emoji23.png
emoji23.png
Embu muulize tena
Nitafanya hivyo mpaka atakaponijibu
 
Mjadala huu mshana umeuleta kwa panic

Lengo lako lilikuwa ni nini?

Unapotoa mada na bila kuidadavua kwa kina unakuwa unawalisha tango pori wale wanaotaka kujifunza kupia wewe.

Kama lengo lako lilikuwa kuonekana huko bora ktk hoja tambua umepatikana

Nashangaa mpaka sasa unashndwa kuelezea maana ya neno akili na siku zinaenda bila kufikia muafaka.

Mshana jr akili ni nni ili Kiranga aweze kukupa jibu sahihi na mjadala uendlee au umalizike.
Wewe kaa tu pembeni tu sasa.. Huwezi mijadala na tangu mwanzo sijaona cha maana ulichoandika... Zaidi ya ushabiki mwepesi na replies zisizo na mashiko... Hili swali hata wewe mpaka sasa hujaweza kulijibu! Sasa itendee haki post yako unijibu hili swali JE UNA AKILI?
 
Watu kama Kiranga ni wa ovyo.Ni watu wenye mawazo finyu tu ambao wanaweza kubisha uwepo wa Mungu.
Binadamu sana sana ana miaka 70 ya kuishi ila dunia ipo na itaendelea kuwepo.Ni busara kuacha kubisha uwepo wa Mungu.Ni bora mtu akae na imani yake ya kipagani moyoni badala ya kila kukicha anapinga.
Heshimu mawazo ya mtu izo lugha chafu unazomtamkia kiranga zina maanisha kuwa una uchungu sana na mungu ?
Au
Mungu ndiye amekutuma kuongea hivyo?
 
Sema kiranga ameisha tu kihoja angekuwepo EISTEIN NOWTOW MSHANA ANGEONEKANA NYANYA TU
 
Hakika huwa namuheshimu sana Mshana Jr lakini sijajua ni nIini kimempata hata kufikia hatua ya kujidharirisha namna hii mbele ya halaiki hii ya wana jamiiforums. Nimefuatilia kwa kina mjadala huu ila sijaona kitu cha tofauti kilicholetwa na ndugu Mshana zaidi ya porojo zilezile dhaifu ambazo Kiranga amekuwa akizivuruga vuruga humu.
Sasa hapa Mshana kauliza swali akitaka kujua kama Kiranga ana akili au laa, na Kiranga ameuliza hizo akili ni kitu gani? mjadala ndio umeishia hapo....

Mshana hataki kutoa jibu sababu anajua akitoa tu jibu basi swali lake la mwanzo linakosa mashiko. Mshana bila shaka angejibiwa ndio basi angeuliza unaamini vipi kuwa una akili hali ya kuwa hujawahi kuziona? Na angehitimisha kuwa hata kwa uwepo wa Mungu ni vivyo hivyo kwa maana haonekani ila tunaamini kuwa yupo. Hii hoja dhaifu sana.

Akili sio kitu tangible kama ilivyo figo au ini. Akili ni matokeo ya mchakato fulani unaotendeka ndani ya ubongo ambao kisayansi unaelezeka vizuri tu. Na huu mchakato huweza kuathiriwa na mambo mengi kama mazingira, lishe na mambo mengine. Sasa matokeo ya huu mchakato hubainishwa na tabia za nje za mtu husika hapa inahusu maamuzi, Kauli, muonekano na mambo mengine mengi ambao yakiwa tofauti na matarajio ya wengi tunaweza kuhitimisha kuwa huyu hana akili, yaani mchakato katika ubongo wake umeleta matokeo yasiyotarajiwa yapo chini ya kiwango ila hapa niweke angalizo kwamba huenda huyo anayeonekana hana akili ndiye mwenye akili ila tu akili zake zipo viwango vya juu sana kuliko uwezo wa walio wengi wanaomtazama.

Kulingana na hilo Kiranga ana akili na hili tunalipima kutokana na hoja zake japo sikubaliani nae kwamba hakuna Mungu ila akili zake zimefanya hoja zake ziwe hazijibiki. Mungu yupo ila kuna mapungufu makubwa sana katika hivi vitabu vinavyojaribu kumuelezea. Vinajipinga vyenyewe kabla hata havijapingwa, vinajichanganya. Na hii kusema sijui ili kuvielewa ni lazima kuwa na imani ni sawa na kuwema ili kuvielewa hupaswi kuwa na fikra huru, unapaswa uwe zwazwa kwanza ndipo uvielewe sasa hapo ndipo ninapojiuliza Mungu alitupa uwezo wa kufikiria wa kazi gani kama hataki tuhusishe fikra huru tunapotaka kumuelewa yeye?

Mshana jipange upya maana bado hujafikia uwezo wa kukabiliana na fikra za Kiranga, tukubaliane tu katika hilo mkuu.
Nimekusoma hapa nimegundua wewe unatamani kusema Mungu hayupo ila unatawaliwa na hofu kumkana moja kwa moja upo kati wewe ni non- believer.

Unasitasita haupo huru.
 
Kiranga una wafuasi wanakusifu sana kuwa wewe ni akili kubwa lakini ni mwepesi mno.. Sijawahi kukuona ukiwahoji kuwa akili ninini[emoji3] [emoji3] [emoji3] what a setback!
Kiranga ni mjeuli tu kawashika wafuasi wake vibaya sana anacheza na maneno tu
 
Back
Top Bottom