Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nikukumbushe,ambaye ni "NIKO AMBAYE NIKO" ni Mungu wa Biblia tu,not any other being.Maana yake ni kwamba hana mwanzo wala mwisho,this is one of His attributes.Na ni kweli,He has no beginning or end.Na kweli ndivyo alivyo.

Acheni kuamini ujinga,embrace truth.
maana halisi ya kitu kisicho kuwa na mwanzo wala mwisho ni pekee kicho affectiwa na muda no past no future topmind, jesus,anu,malaki, yehova,shiva, krishina,omen and ashunu are the architects of reality and the are keeper kama anubis na azrael
 
Dah,you have stumbled into the wrong territory.Mkuu labda nikuulize swali,why do you hold high anu,malaki,shiva, krishina,omen and ashunu, anubis na azrael.Simply put it wana maana gani kwako?
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wa yote,upendo wa yote na ujuzi wa yote aruhusu uasi wa adam na hawa???!
Mkuu anisaidie na hili kabla sijakuumba nalikufahamu, tunaamini MUNGU anajua vitu kabla. Si kweli MUNGU alijua adam ataasi? Na shetani ataasi? KWA sababu yeye hujua vitu kabla?
 
Dah,you have stumbled into the wrong territory.Mkuu labda nikuulize swali,why do you hold high anu,malaki,shiva, krishina,omen and ashunu, anubis na azrael.Simply put it wana maana gani kwako?
mbona jesus umemtoa?
 
kwa dunia inavyokwenda hivi bado hamjakubali kuwa Atheist wapo sahihi maana wao wanaishi kulingana na mazingira Mshana bado huwa unaenda mpka leo kanisani 🤣🤣🤣🤣🤣 huwa nacheka sana kuna watu mpaka leo wanatoa sadaka msikistini au kanisani wakati baba ake anashinda na njaa 🤣🤣🤣🤣 wengine hawana kazi na ajira wanakimbilia kwa mwamposa wapate kazi huu si uzuzu kweli 🤣🤣🤣
Akili ni uwezo wa kupambana na mazingira ili kuweza kuyakabili mazingira yako Kiranga is right na atheist wote kutokubali akili zao kushikwa na kuendeshwa na watu
Kuishi kulingana na mazingira ni sentensi pana hata hao wenye kuamini Mungu pia wanaishi kulingana na mazingira.
 
Ha ha ha!!!
Nilijua tu kuwa kuna watu itawaudhi hii.
Yaani mtu aseme kabisa Kiranga ni empty set alafu nikubaliane nae!?
Mimi ni Mkristo na ninaamini uwepo wa Mungu mkuu,lakini nikiambiwa nitaje watu watatu ambao ninatamani ningekua na walau nusu tu ya uwezo wao wa kiakili,basi Kiranga na Malcom Lumumba watakuwa namba moja na mbili.
Naamini hata wewe kaka Mshana nafsi yako itakusuta ukisema Kiranga ni mtupu kichwani (ukiweka pembeni tofauti zenu za kiimani).
Daaah nisiwe muongo kiukweli KABISA jamaa anajua nini anachosimamia. Yaani tukiondoa tu unafki. Kwenye uwezo wa kujenga hoja na jinsi anavyochambua niseme yupo vizuri🙌🙌🙌 . Mimi binafsi namfananisha na tundulisu. Mama yake na baba yake hawakupoteza pesa zilizomsomesha😂😂🙌🙌
 
Aliyetuweka sisi hajatanguliwa na wakati,sababu yeye ndiye aliyeumba muda.

Yeye ni wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ni wa mwisho asie na wa mwisho baada yake,anajua kilochopita,kilichopo,kinachokuja na kile ambacho hakipo anajua laiti kingekuwepo kingekuwaje.

Kwa maana swali lako umeuliza ni swali la uongo.

Nipo ....
Boss kwahyo tukisema kipindi MUNGU anamuumba adam alijua lazima atafanya dhambi? Na alijua shetani atamuasi? KWA maana rahisi tu MUNGU kuna watu anajua lazima waende motoni tu hata wafanyeje KWA mana yeye anatufahamu hata kabla ya kutungwa kwetu au nakosea? Daah hivi vitu huwa nawazaga tu mwenyewe nikikaa. MUNGU anajua hata kitu nitakachofikiri kesho saa 10 jioni. Kwanini asingemzuia huyu shetani anasumbua hakika IMANI ni jambo binafsi
 
Naam alijua.
 
Naam alijua.
Kwahyo MUNGU ameweka moto ILI achague baadhi ya watu awapeleke motoni wengine peponi? Mana yeye alishajua tangu mwanzo kwahyo alikaa akafikiria akasema ngoja nitamfanya shetani aasi alafu niwatengenezee binadamu moto niwaunguze alafu wengine ninaowapenda waje peponi. Mtu akishafahamu kila kitu ina maana alishapanga yeye kabla. Sasa kwanini alitoa adhabu pale eden baada ya adam kuhasi? Wakati ni yeye alipanga iwe hivo? Kwanini aliuliza adam umefanya nini kana kwamba alikuwa afahamu wakati ni yeye alishapanga binadamu atafanya uasi? Daaah ngoja nikuamini MUNGU wangu ILA haya maswali sinaga nayo majibu. Na Huu ndo uzuri wa IMANI
 
Wapi alimfanya Shetani aasi ?

Kuna kujua na kufanya, shetani aliaisi kwa matashi yake ila Mola wetu alikuwa hilo. Kujua kwake Mola wetu hakukuzuii wewe usifanye unachotaka.
 
Hakuna mtu anaeweza kuwa mkristo, isipokuwa kwa sakramenti ya ubatizo. Nje ya sakramenti ya ubatizo hakuna Ukristo.

Wapi alimfanya Shetani aasi ?

Kuna kujua na kufanya, shetani aliaisi kwa matashi yake ila Mola wetu alikuwa hilo. Kujua kwake Mola wetu hakukuzuii wewe usifanye unachotaka.
Sasa mkuu tayari mtu ananifahamu hata kabla ya mimba yangu kutungwa sasa hata kama utashi anajua tu huyu utashi wake atakuwa mwizi na ataishia motoni. Yaani kinachonitatiza ni kujua mtu anajua mambo kabla sijui point yangu hata kama umeipata hapa yaan mtu anajua hata kabla kutungwa kwako mimba ina maana anafahamu hatma YAKO pamoja na utashi tulionao. Ndio mana nikasema kipindi anamuumba adam alijua kwamba ataasi ukaniambia ndio mbali na utashi tayari alishajua lazima aasi, tayari alishafahamu shetani ataasi, tayari alishafahamu sodoma na gomora itakuwa vile, alifahamu kwamba adolf hitler lazima awe dictator. Na anafahamu mwisho wangu mimi. Ndo mana nikasema haya yote MUNGU anayafahamu pamoja na utashi wangu lakini alishajua hatma itakuaje au BADO ujanipata hapo mkuu?
 
Kuishi kulingana na mazingira ni sentensi pana hata hao wenye kuamini Mungu pia wanaishi kulingana na mazingira.
Maana yangu ni kwamba kutumia wakati uluopo ndio kutunga sheria ili ziweze kuongoza watu lakini ukiangali quran na bible zimepitwa na wakati kwakuwa haziendani na wakati wa sasa huoni hili tatizo
 
Kusema ubishi hauna mantiki ni sawa na kusema rangi ya bluu haina mantiki.

Kusema "ubishi hauna mantiki" hakuna mantiki.

Unaelewa hayo?
Amesahau kuwa biblia inasema bisheni mtafunguliwa yaan wakristo na waislam wanachagua na kudonyoa vifungu vinavyowafuraisha ila ukianza kuwaonesha uongo wa biblia na quran yaan hapo utaambiwa unakufuru
 
Naam.

Mkuu, bila ubishi hata hii internet isingekuwepo, watu wasingegundua hata moto, hata kukaa kwenye mapango wasingeweza. Hata lugha isingekuwepo.

Yote hayo yamewezekana kwa ubishi wa watu, watu wakiyabishia mazingira yao, wakibishana wenyewe.

Halafu mtu anatumia internet kusema "ubishi hauna matiki" bila hata qualification.
 
So what are you?

1. Atheist

2. Agnostic

3. Skeptic
 
Naam.

Mkuu, bila ubishi hata hii internet isingekuwepo, watu wasingegundua hata moto, hata kukaa kwenye mapango wasingeweza. Hata lugha isingekuwepo.

Yote hayo yamewezekana kwa ubishi wa watu, watu wakiyabishia mazingira yao, wakibishana wenyewe.

Halafu mtu anatumia internet kusema "ubishi hauna matiki" bila hata qualification.
1. You just don't believe in any God(s)?

2. You have positive arguments in favour of your position?

3. You're currently not convinced by any theistic facts?
 
Back
Top Bottom