Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

1. You just don't believe in any God(s)?

2. You have positive arguments in favour of your position?

3. You're currently not convinced by any theistic facts?
For a fuller conversation, you will have to define God.

But, to answer your question, to start with, the Abrahamic God is totally made up rubbish.

I have read the Torat, Talmud, Quran, Hadiths, Upanishads, the Vedas, The Tao Te Ching, The Vinaya Pitaka, The Sutta Pitaka, The Abhidhamma PitakaThe Dhammapada, the Egyptian Book of the Dead, The Tibetan Book of the Dead, The Philosophy of Religion: An Anthology, The Norton Anthology of World Religions.

I have read all the classic argument for and against the existence of God, in many different formats, some of these formats we haven't even begun to discuss here at JF because there is no intellectual depth to delve into.

We end up discussing the Abrahamic personal God, as if that is all there is to discuss. We don't even get to scratch pantheism and contrast it with panentheism.

There is no God outside of the human imagination, God is an idea, invented by people.

If you disagree, show me that God actually exists outside of the idea world.
 
Nlkua nasoma kitabu cha the origin by Dan brown anasema in the beginning man created God
 
Umejaza kichwa chako conspiracies tu.
It is a Satanic symbol,it is as simple as that,na yeyote anaye itumia is Satanic,haijalishi ni dhehebu or whatsoever.Mkristo wa kweli hawezi kutumia the so called Star of David.
 
Imani nyingi za kidini 99% zimejengeka Katika misingi ya UJINGA. Naam, kutokujua kitu chochote kuhusu universe na vilivyomo. Dunia ilitoka wapi? Babu wa Babu wa Babu wa Babu wa Babu yangu ni nani? Jibu linapaswa kuwa ni SIJUI. Naam, kutokujua, na kutokujua ndio UJINGA wenyewe. Sayansi Kwa Kulijua Hilo mpaka Sasa inakiri kwamba We Don't Know About the Source of the Universe. Sayansi inakubali kwamba ni JINGA kuhusu Chanzo Cha Ulimwengu Kwa Sababu Misingi ya Sayansi ni Kuelezea Kitu Kama Kilivyo. Finitely. Sasa WAVIVU wa kufikiri (WAJINGA) wakaamua Kusema Maadam hatujui CHANZO Cha Ulimwengu basi ni MUNGU. UJINGA, UJINGA, UJINGA.
 
Mtu anayeamini kwamba hakuna kitu kinachojulikana au kinachoweza kujulikana kuhusu kuwepo au asili ya Mungu.
Msingi wa msimamo wao una uafadhari kuliko hao wanaotoa madai ya kwamba Mungu hakuna halafu wao wao wanakwambia huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu kwa sababu hayupo.
 
Imani nyingi za kidini 99% zimejengeka Katika misingi ya UJINGA. Naam, kutokujua kitu chochote kuhusu universe na vilivyomo. Dunia ilitoka wapi? Babu wa Babu wa Babu wa Babu wa Babu yangu ni nani? Jibu linapaswa kuwa ni SIJUI. Naam, kutokujua, na kutokujua ndio UJINGA wenyewe. Sayansi Kwa Kulijua Hilo mpaka Sasa inakiri kwamba We Don't Know About the Source of the Universe. Sayansi inakubali kwamba ni JINGA kuhusu Chanzo Cha Ulimwengu Kwa Sababu Misingi ya Sayansi ni Kuelezea Kitu Kama Kilivyo. Finitely. Sasa WAVIVU wa kufikiri (WAJINGA) wakaamua Kusema Maadam hatujui CHANZO Cha Ulimwengu basi ni MUNGU. UJINGA, UJINGA, UJINGA.
Hiyo ni misingi ya sayansi na kila kitu kina misingi yake na mipaka yake.
 
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.

Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)

Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.

Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.

Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.

Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.

Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?

Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Ntamwomba kiranga siku Moja niende nae kanisani kwetu aone.....jinsi Mungu anavyo watendea watu....

Itoshe kusema MUNGU yupo na anatenda...
 
I did not say I was special.

I said "I am an avowed atheist, staunchly so. Not to be confused with militantly so."

Do you know how to read?
Najua siwez nikakubadilisha ila MUNGU anaweza iyo kazi aki amua sekunde Moja.. siku Moja unaweza ukawa mmoja ya watu wanao Mkili yesu kristo kua ni bwana na mwokozi wa maisha yetu...siku Moja ukajaa hapa kudhihilisha ukuu wa Mungu

Wote tunajua SAULI anae elezewa kwenye kitabu Cha Matendo ya mitume 9.....
Alibadilishwa Na MUNGU Alie hai mpk kua Mtume PAUL
 
For a fuller conversation, you will have to define God.

But, to answer your question, to start with, the Abrahamic God is totally made up rubbish.

.

1. Autonomous
2. Necessary devine being
3. Undeadly
4. Aseity
5. Independent
 
Najua siwez nikakubadilisha ila MUNGU anaweza iyo kazi aki amua sekunde Moja.. siku Moja unaweza ukawa mmoja ya watu wanao Mkili yesu kristo kua ni bwana na mwokozi wa maisha yetu...siku Moja ukajaa hapa kudhihilisha ukuu wa Mungu

Wote tunajua SAULI anae elezewa kwenye kitabu Cha wafalme.....
Alibadilishwa Na MUNGU Alie hai mpk kua Mtume PAUL
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo, kabla hatujafika mbali.
 
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo, kabla hatujafika mbali.
Najua una akili nyingi sana lla naanini siku Moja utakuja hapa jukwaani kuihubiri injili....

Kuokoka Kwa Sauli​

9 Wakati huu wote Sauli alikuwa bado anaendelea na vitisho vyake vya kuwaangamiza kabisa wanafunzi wa Bwana. Akaenda kwa Kuhani Mkuu, 2 akamwomba ampe barua ya kumtambulisha kwa masina gogi ya huko Dameski, ili akiwapata wafuasi wa ile ‘Njia 3 Basi katika safari yake, alipokuwa akikaribia Dameski, ghafla nuru kutoka mbinguni iliangaza kumzunguka! 4 Akaanguka chini! Na aka sikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” 5 Sauli akajibu, “Ni nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikasema, “Mimi ni Yesu ambaye unamtesa. 6 Lakini sasa inuka uingie mjini nawe utaambiwa la kufanya.” 7 Wale waliokuwa wakisafiri na Sauli wakasimama kwa mshangao, wala hawakuweza kusema neno kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza. 8 Sauli akainuka na alipojaribu kufungua macho, hakuweza kuona kitu. Basi wakamshika mkono wakamwongoza mpaka Dameski. 9 Na kwa muda wa siku tatu akawa haoni kabisa, na hakula kitu wala kunywa cho chote.

10 Huko Dameski alikuwepo mfuasi mmoja jina lake Anania. Bwana akamwita Anania katika ndoto, “Anania! ” Akaitika, “Nipo hapa Bwana.” 11 Bwana akamwambia, “Amka uende barabara iitwayo Nyofu ukaulizie katika nyumba ya Yuda kuhusu mtu aitwaye Sauli wa Tarso. Yeye hivi sasa anaomba, na katika maono anamwona mtu 12 aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili aweze kuona tena.” 13 Anania akajibu, “Bwana, nimesikia kutoka kwa watu wengi mambo ya kutisha ambayo mtu huyu anawatendea wataka tifu wako huko Yerusalemu. 14 Naye amekuja hapa Dameski akiwa na kibali kutoka kwa Kuhani Mkuu awakamate wote wanaotaja jina lako.” 15 Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda, kwa maana nimemchagua awe mtumishi wangu wa kulitangaza jina langu kwa mataifa na wafalme na kwa wana wa Israeli; 16 nami nitamwonyesha atakavyoteseka sana kwa ajili ya jina langu .” 17 Anania akaenda, akaingia mle nyumbani. Akaweka mikono yake juu ya Sauli akasema, “Ndugu yangu Sauli, Bwana Yesu aliyekutokea njiani ame nituma kwako ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu.” 18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa. 19 Kisha akala chak ula, akapata nguvu tena. Alikaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski na 20 bila kukawia akaenda katika sinagogi akawash uhudia watu kwamba, “Yesu ni Mwana wa Mungu.”

Sauli Ahubiri Dameski​

21 Watu wote waliomsikia Sauli walishangaa wakasema, “Huyu si yule mtu aliyekuwa akiwatesa watu waliotaja jina la Yesu huko Yerusalemu, na ambaye amekuja hapa kwa shabaha ya kuwakamata na kuwapeleka wakiwa wamefungwa kwa makuhani wakuu?” 22 Lakini Sauli alizidi kuhubiri kwa nguvu zaidi akathibitisha kabisa kwamba Yesu ndiye Kristo; hata Wayahudi walioishi Dameski hawa kuwa na lo lote la kupinga. 23 Baada ya siku nyingi kupita, Way ahudi walifanya mpango wa kumwua Sauli. 24 Lakini Sauli akapata habari za mpango huo. Wayahudi walikuwa wakilinda milango yote ya kutokea mjini, mchana na usiku ili akitoka wamwue. 25 Lakini wanafunzi wake wakamtoa nje ya mji usiku kwa kumpitisha mahali palipokuwa na nafasi katika ukuta wa mji, akiwa ndani ya kapu kubwa.

Sauli Atoa Ushuhuda Wake Yerusalemu​

26 Sauli alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na waamini lakini wao walimwogopa kwa maana hawakuamini ya kuwa kweli ali kuwa amemwamini Yesu. 27 Lakini Barnaba akamchukua Sauli akampeleka kwa wale mitume akawaeleza jinsi Sauli alivyokutana na Yesu njiani akienda Dameski na Yesu akasema naye. Pia akawaeleza jinsi Sauli alivyohubiri kwa ujasiri kwa jina la Yesu huko Dameski. 28 Kwa hiyo Sauli akakaa nao akishirikiana nao na aki hubiri wazi wazi kwa jina la Yesu kila mahali huko Yerusalemu.

29 Lakini alipowahubiria Wayahudi wenye asili ya Kigiriki na kubishana nao, wao waliamua kumwua. 30 Waamini wengine walipo pata habari hizi walimchukua hadi Kaisaria wakamsafirisha kwenda Tarso. 31 Ndipo kanisa katika Yudea yote, Galilaya na Samaria likawa na wakati wa amani. Kanisa likapata nguvu likienenda katika kicho cha Bwana; na kwa msaada wa Roho Mtakatifu, idadi yake ikazidi kuongezeka.

Petro Amponya Ainea​

32 Petro alipokuwa akiwatembelea waamini sehemu mbalimbali alifika kwa watu wa Mungu walioishi huko Lida. 33 Akamkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani. 34 Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya; inuka utandike kitanda chako.” Na mara Ainea akainuka. 35 Wakazi wote wa Lida na Sharoni wali pomwona Ainea akitembea walimgeukia Bwana.

Petro Amfufua Dorkasi​

36 Huko Jopa kulikuwa na mwanafunzi mwanamke aliyeitwa Tabita au kwa lugha ya Kigiriki, Dorkasi, yaani paa. Huyu mama alikuwa mkarimu sana, akitenda mema na kuwasaidia maskini. 37 Hata hivyo aliugua akafa. Wakamwosha na kumlaza katika chumba cha ghorofani. 38 Kwa kuwa Jopa hapakuwa mbali sana na Lida, wanafunzi waliposikia kuwa Petro yuko Lida, waliwatuma wenzao wawili wakamwambie, “Tafadhali njoo huku pasipo kukawia.” 39 Kwa hiyo Petro akaharakisha akaenda nao Jopa. Alipowasili wakampeleka hadi kwenye chumba alipokuwa amelazwa marehemu Dor kasi. Wajane wengi walikuwa wamemzunguka marehemu wakilia na kuonyesha mavazi ambayo Dorkasi alikuwa amewashonea alipokuwa hai. 40 Petro akawatoa wote nje, kisha akapiga magoti akaomba; akaugeukia ule mwili aka..........
 
I have read the Torat, Talmud, Quran, Hadiths, Upanishads, the Vedas, The Tao Te Ching, The Vinaya Pitaka, The Sutta Pitaka, The Abhidhamma PitakaThe Dhammapada, the Egyptian Book of the Dead, The Tibetan Book of the Dead, The Philosophy of Religion: An Anthology, The Norton Anthology of World Religions.

I have read all the classic argument for and against the existence of God, in many different formats, some of these formats we haven't even begun to discuss here at JF because there is no intellectual depth to delve into.

Understanding?
 
Back
Top Bottom