Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,102
Sio kweli,bacause you can only understand the Bible if you have the Holy Spirit,na wewe huna.It is the Holy Spirit who teaches anybody the Word of God.God is a Spirit,so you must be in the Spirit to understand His Word.Biblia kitabu chenye makossa chungu mzima ndio kiwe kitabu cha mungu 🤣 🤣 🤣 🤣 huyo mungu wa biblia mbona hamna kitu yule maana ingekuwa biblia kitabu cha mungu kisingekuwa na makossa
Kwamba Biblia ina makosa mengi ni mafundisho ya mapepo.Na kwa nini mapepo yanasambaza mafundisho haya ya uongo?Nia ni ili yapate company yako in eternal hell,kwa kuwa yenyewe na kiongozi wao Lucifer hawana nafasi tena ya kutubu,they are already condemned to eternal hell.