Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ndio naenda kanisani nimechagua kuamini Mungu yupo na sioni shida kukiri hilo.. Hii ni imani ninajua kwa hakika naamini nini
Huoni kama unapoteza muda tu maana mungu haitaji binadamu umuombe chochote ila kama unaenda kama mazoea sawa au unaenda kwaajili ya kuifariji nafsi au upate aman ya moyo hongera ila kama unaenda upate kitu baada ya kuondoka duniani iyo ndio balaaa 🤣 🤣 🤣
 
Hakuna binadamu ambae ni atheist, jina lipo tu ili kuelezea wasioamini uwepo wa Mungu. Kwa nini!! Binadamu ambae hana imani yoyote mbele ya watu, ikitokea kitu cha hatari ni lazima kuna kitu anatamka,na hicho ni imani yake. Kila mtu ana anachoamini kwenye moyo wake.
wewe unaamini uwepo wa mungu gani maana wapo wengi?
 
Huoni kama unapoteza muda tu maana mungu haitaji binadamu umuombe chochote ila kama unaenda kama mazoea sawa au unaenda kwaajili ya kuifariji nafsi au upate aman ya moyo hongera ila kama unaenda upate kitu baada ya kuondoka duniani iyo ndio balaaa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kitu kikishaitwa imani wala huhitaji kukijengea hoja wala kukibishania.. Kwahiyo heshimu msimamo wangu .. Naamini katika Mungu na ninajua kwa hakika kwanini naamini
 
Binadamu anajisaidie mwenyewe halafu Mungu anachukua credit,

Unaamka asubuhi unaenda kupambana ukipata unasema asante Mungu, kwanini Mungu asikupe wewe ulale?

Mtu anakufa Tunasema Mungu amlaze pema peponi, kwanini asimponye?

Binafsi sioni uwepo na msaada wowote wa Mungu kwangu, kila kitu nafanya mwenyewe,.
 
Wasema atheist ni yule asiyejua lolote kumhusu Mungu ama miunngu. Lakini ili tupate tofauti halisi ya nonbeliever na atheist ni lazima tuangalie engo mbalimbali, kama vile; Elimu ya mtu, jamii alimozaliwa, uwezo wa kiuchumi wa mtu au taifa atakapo, upatikanaji wa machapisho ya kidini n.k.

Sasa ukija kuangalia vigezo hivyo utagundua kua kuna watu wanaamini uwepo wa Mungu pasipo kuwa na elimu yoyote kumhusu Mungu na hawana hoja imara za kutetea uwepo wa Mungu.

Hawa ni wale wanaoishi chini ya umaskini mkubwa katika maeneo maskini ambayo wakati fulani yaliwahi kufikiwa na waeneza dini ambao walipata wafuasi fulani lakini baadaye mawasiliano yale yakakata hivyo wafuasi waandamizi wakakosa elimu ya kile walichorithi toka kwa wazazi wao, na wao kubaki tu na majina yanayoashiria dini ile hivyo kuendelea kuitwa waamini.

Vilevile utaona pia kuna watu wamezaliwa kwenye mataifa ya kidini ambamo dini ni sehemu ya maisha katika jamii husika, lakini wao hawaamini katika hizo dini bila kujali kama walipata elimu ya dini ama la na hawapingani na yeyote kumhusu Mungu. Hivyo wanasalia kuitwa waamini pasipo wao kuamini.

Pia kuna wengine wamesoma kanuni na miongozo mbalimbali ya kidini, lakini wao wakaichukulia kama vitabu na machapisho mengine ya kutoa elimu wakashika maarifa yaliyomo na wasifuate njia za kuabudu za kundi lile. Mfano mzuri ni Japan nchi inayoongoza kuwa na maatheist wengi lakini bado huwa wanasoma authoritative books ambazo zimeandaliwa na watu wa dini kwa lengo la kuwaelimisha waamini wao.

Mtazamo mwingine dhidi ya nonbeliever na atheist waweza kuangaliwa kupitia wale wanaojiita waamini ama wenye dini. Kwa miaka mingi kumekua na matamshi kutoka kundi fulani la wanaojiita wenye dini kuwaita wafuasi wa kundi jingine kama wasioamini (nonbelievers) kwa sababu tu, wanatofautiana katika imani zao kumwelekea Mungu. Na hii inatokana na ubinafsi wa kila mwenye dini kuamini kuwa dini yake ni sahihi kuliko ya mwingine.

Hitimisho, kwa hayo machache waweza kuona namna ilivyo vigumu kupata kategoria rahisi za kuwatofautisha nonbelievers na maaatheists. Kwa sababu dunia ya sasa yenye teknologia bora kabisa ya kuwezesha watu kupata machapisho mbalimbali yahusuyo dini na miongozo yake imekua ikishuhudia kuongezeka kwa kasi kwa kundi la wale wanaoitwa wakana Mungu.
Wewe kama sio padre basi ni lecturer tena archiologist or anthropologist
 
Mungu aliyejifunua kwenye kitabu kiitwacho Biblia ndiye Mungu wa kweli,all other so called God's are imitations and only pave the way for you to eternal hell.
Biblia kitabu chenye makossa chungu mzima ndio kiwe kitabu cha mungu 🤣 🤣 🤣 🤣 huyo mungu wa biblia mbona hamna kitu yule maana ingekuwa biblia kitabu cha mungu kisingekuwa na makossa
 
hiyo inaitwa star of david ina mambo mengi sana ilikuwepo toka Enzi ina uhusiano mkubwa na magic that's why magician waislam wakristo wayahud witchcraft masonic trader freemason wote wanaitumia kwamaelezo Zaidi isome star of david
hujawai pata story magics au witchcraft na related staffs zili anzia wapi na utalamu huu binadamu tuliutoa wap
 
Back
Top Bottom