Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,992
- 131,918
Unataka nilijibu kwa namna nilivyozoea kusikia???Kwahiyo hii ni mara yako ya kwanza kulisikia hili neno na ni geni kabisa masikioni mwako? You must be kidding dude.. If not joking.... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
"Watu wana roho mbaya"
Hapa naelewaga kua watu wanaozungumziwa hapa wanatabia mbaya
Kwaiyo hapa neno roho imewakilisha tabia
Kwaiyo roho ni tabia, unakubaliana na mimi kwa namna nilivyosikia neno hilo kwa watu?