Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Watu wangekuwa wanajiuliza mambo kama haya, wangeweza kuelewa hasa kuna kitu kinafanya kazi.
Ila kwa sababu wanashindwa kutazama na kuzingatia hayo, wanashindwa kuona na kuelewa IPO NGUVU KUU HAI KAMILIFU na inathibitika wazi wazi.
Hata tukijiuliza swali hilo tutasema tu hatujui jibu, sio jibu ni mungu. Hata ukilazimisha kua jibi ni mungu, naye ni complex tutajiuliza mengi juu ya chanzo chake, kabla ulimwengu haujaumbwa alikua akiishi wapi? Na kulikua na muonekano upi wakati hakuna ulimwengu? Leo hii ukikuta ghorofa utaweza imagine jinsi palivyokua kabla halijajengwa hilo ghorofa kwamba eidha kulikua na ardi tu yaani uwanja. Sasa kabla ya huu ulimwengu kulikua na nini?
 
Mungu aliandika au aliongea? Nani alimuona akiandika au akiongea?
Biblia ni kweli za Mungu kwa binadamu. Kuhusu kuandika au kuongea, Mungu anafanya hivyo (kuandika/kuongea) kwa kila mwanadamu tangu mwanzo na kila wakati.
Kuhusu nani alimwona akiandika au akionge? Jiulize: mimi sijamwona Mungu akiandika au akiongea?
 
Watu wangekuwa wanajiuliza mambo kama haya, wangeweza kuelewa hasa kuna kitu kinafanya kazi.
Ila kwa sababu wanashindwa kutazama na kuzingatia hayo, wanashindwa kuona na kuelewa IPO NGUVU KUU HAI KAMILIFU na inathibitika wazi wazi.
Wanakubali wana roho wana akili lakini wanapinga kuwa hakuna Mungu.. Wakidhani Mungu ni substance that is visible
 
Mungu aliandika au aliongea? Nani alimuona akiandika au akiongea?
 
Safi kabisa,kwahiyo katika Biblia kuna maneno ambayo si ya Mungu ? Unakubali hilo
Hatujaelewana kwenye kitu kimoja: Mungu na mwanadamu.
Biblia imeandikwa na wanadamu. Hawa ndio wameandika neno la Mungu. Hapa utaona suala la maarifa ya Mungu na maarifa ya mwanadamu, ni vitu viwili visivyokaribiana.
Hayo unayosema "...Biblia kuna maneno ambayo si ya Mungu...", ni maarifa ya binadamu.
 
Wanakubali wana roho wana akili lakini wanapinga kuwa hakuna Mungu.. Wakidhani Mungu ni substance that is visible
Hakika hawa watu siyo tu kwamba wametengana na akili zao, lakini pia miili yao hawaijui.
Ukiwachunguza hawa watu wa jamii hii utagundua wamejeruhiwa.
 
Hatujaelewana kwenye kitu kimoja: Mungu na mwanadamu.
Biblia imeandikwa na wanadamu. Hawa ndio wameandika neno la Mungu. Hapa utaona suala la maarifa ya Mungu na maarifa ya mwanadamu, ni vitu viwili visivyokaribiana.
Hayo unayosema "...Biblia kuna maneno ambayo si ya Mungu...", ni maarifa ya binadamu.
Sasa kipi unachokataa kama ndani ya Biblia kuna maneno ya Binadamu ? Unajua unarudia kauli na upo ndani ya maana moja ila unachokwepa wewe ni kukiri tu.

Kwa maana uliyosema ya kuwa Biblia ni maneno ya Mungu kwa maana hiyo mwanadamu ameyaandika maneno ya Mungu,kwayo haya pingani.

Sasa vipi useme kwamba kwenye Biblia kuna maneno ya binadamu ?

Unaposema binadamu ameandika maneno ya Mungu,maneno hayo si ya binadamu bali ni Mungu ila mwanadamu ameyanukuu tu kuyaweka katika maandishi na kuwa Kitabu.

Swali la msingi,ni kuwa katika Biblia hayo maarifa ya binadamu yapo kwenye dhati ya maneno ya Mungu au kwenye unukuzi ? Kama ni kwenye unukuzi vipi uhusianishe kupingana kwa maneno hayo ni matokeo ya binadamu ?
 
"...Biblia kuna maneno ambayo si ya Mungu...", ni maarifa ya binadamu.
Narudia tena hili swali na ziada kidogo,unawezaje kutofautisha neno la Mungu na lisilo la Mungu katika binadamu ?

Kwanini mlikubali kuingizwa ufahamu wa binadamu katika maneno ya Mungu ?

Kwenu nyinyi utukufu wa Biblia unatoka wapi wakati mmeruhusu ubinadamu kuingia humo ?
 
Hata tukijiuliza swali hilo tutasema tu hatujui jibu, sio jibu ni mungu. Hata ukilazimisha kua jibi ni mungu, naye ni complex tutajiuliza mengi juu ya chanzo chake, kabla ulimwengu haujaumbwa alikua akiishi wapi? Na kulikua na muonekano upi wakati hakuna ulimwengu? Leo hii ukikuta ghorofa utaweza imagine jinsi palivyokua kabla halijajengwa hilo ghorofa kwamba eidha kulikua na ardi tu yaani uwanja. Sasa kabla ya huu ulimwengu kulikua na nini
Kama unatafakari na kutafiti mambo: mwanadamu, dunia, na viumbe vingine, utaweza kupata mwanga kwenye huu mfano.
Binadamu anaumba. Utaona binadamu anaumba magari, majengo, simu na kadhalika.
Hapa utaona muumbaji ni binadamu na kiumbe ni gari, simu, nyumba na kadhalika.
Kwa mfano huu hapo juu, unafikiri kiumbe gari, simu au nyumba anayo maarifa sawa na muumba, binadamu?
Huu mfano ndivyo ilivyo pia kwa binadamu na Mungu. Maarifa ya Mungu ni juu zaidi yasiyoweza kufahamika wazi wazi kwa mwanadamu. Ingawa Mungu mwenyewe kwa nyakati mbambali anajifunua kwa mwanadamu.
 
Wanakubali wana roho wana akili lakini wanapinga kuwa hakuna Mungu.. Wakidhani Mungu ni substance that is visible

Kwangu hawa ni wajinga hata wasio faa kupigiwa mfano.

Huwa nawaambia kila siku ya kuwa hawazitumii akili zao vile inavyotakiwa,sababu kuna mambo madogo sana wanashindwa kuyang'amua.

Hawajui kujenga hoja na huwa wanajiona wao ndio wana akili kuliko na wanafikiria sana kuliko wengine.
 
Hata tukijiuliza swali hilo tutasema tu hatujui jibu, sio jibu ni mungu.
Sasa kama hujui kwanini umkanushe usie mjua ? Huoni kama haya ni matumizi mabaya ya akili ?
Hata ukilazimisha kua jibi ni mungu, naye ni complex tutajiuliza mengi juu ya chanzo chake, kabla ulimwengu haujaumbwa alikua akiishi wapi?
Inaonekana huwa hamfikirii mambo kwa undani wake,hivi unapoambiwa ya kuwa "Mola muumba ni chanzo cha kila kitu". Kuna haja au ni upi wajibu wa kuuliza swali au kitaka kujua chanzo chake wakati yeye ni chanzo cha kila kitu ?

Baada ya kauli hii ya kuwa "Mola ni chanzo cha kila kitu", hakuna swali linalo paswa kufata baada ya kauli hii zaidi ya maswali ya uongo na kujitutumua.
 
Sasa kama hujui kwanini umkanushe usie mjua ? Huoni kama haya ni matumizi mabaya ya akili ?

Inaonekana huwa hamfikirii mambo kwa undani wake,hivi unapoambiwa ya kuwa "Mola muumba ni chanzo cha kila kitu". Kuna haja au ni upi wajibu wa kuuliza swali au kitaka kujua chanzo chake wakati yeye ni chanzo cha kila kitu ?

Baada ya kauli hii ya kuwa "Mola ni chanzo cha kila kitu", hakuna swali linalo paswa kufata baada ya kauli hii zaidi ya maswali ya uongo na kujitutumua.

Kutokujua ukweli wa kitu haimaanishi jibu lolote la uongo silijui,

utakubali kila kitu utachoambiwa kua ni kweli kwasababu hujui ukweli wa kitu icho???

Kwasababu hakuna "kitu" kisicho "kitu" mungu naye ni kitu kwanini asiwe na chanzo???

Mola awe chanzo cha kila kitu halafu yeye asiwe na chanzo. naanzaje kushawishika na uongo huuu??
 
Narudia tena hili swali na ziada kidogo,unawezaje kutofautisha neno la Mungu na lisilo la Mungu katika binadamu ?

Kwanini mlikubali kuingizwa ufahamu wa binadamu katika maneno ya Mungu ?

Kwenu nyinyi utukufu wa Biblia unatoka wapi wakati mmeruhusu ubinadamu kuingia humo ?
"...Biblia kuna maneno ambayo si Mungu...", haya ni maneno ambayo nimekunukuu kama swali ulilouliza. Nikakujibu hivi: hicho kinachoonekana kwenye biblia kama kuna maneno ambayo si ya Mungu, ni maarifa ya binadamu katika kuelewa maneno ya Mungu kwenye biblia.
Ukweli ndio neno la Mungu. Ukweli huu wa Mungu ni wa kimaadili. Tunatofautisha neno la Mungu na lisilo la Mungu katika binadamu kwa ukweli wa maadili alionayo mtu.
 
Kama unatafakari na kutafiti mambo: mwanadamu, dunia, na viumbe vingine, utaweza kupata mwanga kwenye huu mfano.
Binadamu anaumba. Utaona binadamu anaumba magari, majengo, simu na kadhalika.
Hapa utaona muumbaji ni binadamu na kiumbe ni gari, simu, nyumba na kadhalika.
Kwa mfano huu hapo juu, unafikiri kiumbe gari, simu au nyumba anayo maarifa sawa na muumba, binadamu?
Huu mfano ndivyo ilivyo pia kwa binadamu na Mungu. Maarifa ya Mungu ni juu zaidi yasiyoweza kufahamika wazi wazi kwa mwanadamu. Ingawa Mungu mwenyewe kwa nyakati mbambali anajifunua kwa mwanadamu.

Ishu kubwa hapa ni chanzo cha kitu na sio maarifa ya hicho kitu

Binadamu kuumba nyumba, magari nk hiyo inamaanisha kua kila kilichopo kina chanzo, hatuwezi kusema majumba, magari nk vilivyoumbwa na mtu vina chanzo lakini huyu aliyeviumba (mtu) hana chanzo. Alikadhalika huwezi kusema binadamu na vilivyomo vina chanzo halafu msababishi wa hivyo hana chanzo

Sijui kama umeelewa
 
Wakuu,
hili suala la uthibitisho wa uwepo wa mungu ni suala dogo sana, halihitaji kuchukua hata dakika 3 kulithibitisha. Tatizo sio kukosekana kwa uthibitisho wa mungu, ila tatizo ni njia tunazo tumia kutafuta huo uthibitisho. Kuna njia nyingi sana za kupata uthibitisho, na chaguo la hizo njia linategemea na Subject matter to be proven. Miongon mwa hizo njia ni Logical proof, mathematical proof,empirical proof, histoeical-logical proof, axiomatical proof na zinginezo.

Sasa subject yetu hapa ni kuhusu Mungu, na tatzo linakuja pale ambapo tunachagua logic ama empirical proof kutafuta uthibitisho bila ya kujua kwamba kwa kufanya hivyo tumekiuka taratibu za kiudadisi kwa sababu tumechagua njia zisizoendana na subject yetu na hivyo si ajabu tukakosa kupata uthibitisho ulio sahihi.

Kuna watu ( hasa Kiranga ) wanaamin kuwa logical, empirical & mathematical proof ndio njia sahihi na bora Zaidi kuliko zingine, na kutokana na iman hiyo potofu wanaamini kuwa uthibitisho wowote usiotokana na logical, etc basi ushahidi huo unakuwa batili.

Huu mjadala hauwezi kuisha na uthibitisho hautaweza kupatikana kwasababu ya njia mlizo chagua, mmeiacha axiomaticcal proof ambayo ndio njia bora kabisa kwa hii dhana tunayojadili.

Na hata hivyo napenda kuwaambia kuwa "kukosekana kwa uthibitisho wa dhana haimanishi kuwa eti hiyo dhana haipo"

"silence isn't a proof of absence "

Kunavitu vingi binadamu hatuvifahamu, lakini Hatuwez kusema kwamba hivyo vitu havipo.

Kama umeshindwa kupata uthibitisho wa dhana flan, basi usihitimishe kwamba hicho kitu hakipo, inachotakiwa ni wewe kuangalia mapungufu yako katika njia ulizotumia kudadisi dhana husika.

Kama Kiranga na wenzako hamjapata uthibitisho wa Mungu, msihitimishe kuwa Mungu hayupo.
 
Sawasawa kabisa

Na ambao hawajapata uthibitisho wa kutokuwepo kwa mungu wasihitimishe kua mungu yupo
 
Sisi tunaoushahidi 100%.
ila tatzo lipo kwenu mnategemea logic iwape majibu ya kilakitu.
Leta hapa tuuone

Unaenda benki kukopa halafu unasema wewe unanyumba ya kuweka dhamana hivyo wakupe mkopo bila kuonesha hati miliki halafu unashangaa kwanini unakataliwa?
 
Kutokujua ukweli wa kitu haimaanishi jibu lolote la uongo silijui,
Hakuna kinyume chake hapo. Jambo lolote ambalo hulijui huwezi kujua kama ni uongo,mpaka uwe unalijua au unalifahamu au una ishara,zaidi ya hapo ni kuidanganya nafsi yako.

Hapa nakuuliza swali,unajuaje jambo fulani ni la uongo ukiwa hulijui jambo hilo ?
utakubali kila kitu utachoambiwa kua ni kweli kwasababu hujui ukweli wa kitu icho???

Swali zuri,njia za kuhakiki kuhusu ukweli wa jambo fulani hutakiwa kufata baada ya jambo hilo,na njia zenyewe huwa ni kuhoji na si kukanusha.

Unapokiri ya kuwa hujui,basi huna haki ya kuliznugnumzia jambo hilo zaidi ya wewe kuonyesha kutaka kujua au kukaa kimya. Huu ndio utaratibu wa kielimu.
 
Back
Top Bottom