fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,028
- 6,361
nadhani hapa umeamua tu kutoa njibu lolote maana huna jibu wala huo ufahamu unapima vp roho huwezi kuniambia.Kwa kipimo cha ufahamu
nadhani hapa umeamua tu kutoa njibu lolote maana huna jibu wala huo ufahamu unapima vp roho huwezi kuniambia.Kwa kipimo cha ufahamu
Roho ni nini?Nishati hai ni roho
angetoa definition ya akili mada ingeishia hapo, maana angesema akili ni ''uwezo wa kupata, kuelewa na kutumia maarifa na taaluma'' sasa Kiranga angejibu kwa urahisi tu kwamba uwezo huo ninao, na Mshana Jr angebaki hana cha kusema. Hii argument aliyotaka kuileta Mashana ni ya kucheza na lugha na ni ya kitoto sana, it is obvious kwa watu wanao elewa lugha kwamaba ''akili'' na ''Mungu'' sio vitu vinavyokubali kuwekwa kwenye argument aliyotaka anayotaka kuitengeneza mashana, ''Mung'' anakua defined kama ''a being....'' ila "akili" inakua defined kama "an ability"....Mkuu,haupo sahihi hata kiduchu.Umemuuliza Kiranga kama 'ana akili',yeye kataka umwambie maana ya akili unayouliza kama anayo ili akamwambie "NDIYO NINAYO AU SINA".
Hii argument aliyotaka kuileta Mashana ni ya kucheza na lugha na ni ya kitoto sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakini imewafanya watu washindwe kuijibu kabisa... Karibu kwenye mjadalaangetoa definition ya akili mada ingeishia hapo, maana angesema akili ni ''uwezo wa kupata, kuelewa na kutumia maarifa na taaluma'' sasa Kiranga angejibu kwa urahisi tu kwamba uwezo huo ninao, na Mshana Jr angebaki hana cha kusema. Hii argument aliyotaka kuileta Mashana ni ya kucheza na lugha na ni ya kitoto sana, it is obvious kwa watu wanao elewa lugha kwamaba ''akili'' na ''Mungu'' sio vitu vinavyokubali kuwekwa kwenye argument aliyotaka anayotaka kuitengeneza mashana, ''Mung'' anakua defined kama ''a being....'' ila "akili" inakua defined kama "an ability"....
Hao flat earth society mimi nilishawablock siku nyingi.Watu wanakimbia maswali kwa trick za kitoto sana
Kuna kijamaa kimoja kinapenda kuzungumzia elimu kwenye kila post yake, ajabu ni kwamba anadai kua jiwe ni kiumbe hai
Mshana kajaa logical non sequitur.angetoa definition ya akili mada ingeishia hapo, maana angesema akili ni ''uwezo wa kupata, kuelewa na kutumia maarifa na taaluma'' sasa Kiranga angejibu kwa urahisi tu kwamba uwezo huo ninao, na Mshana Jr angebaki hana cha kusema. Hii argument aliyotaka kuileta Mashana ni ya kucheza na lugha na ni ya kitoto sana, it is obvious kwa watu wanao elewa lugha kwamaba ''akili'' na ''Mungu'' sio vitu vinavyokubali kuwekwa kwenye argument aliyotaka anayotaka kuitengeneza mashana, ''Mung'' anakua defined kama ''a being....'' ila "akili" inakua defined kama "an ability"....
jibu ni kwamba roho ni dhana tu ambayo watu walikaa wakaibuniHapana hilo ndio jibu sahihi kama kuna tofauti na hilo liweke hapa....
Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo, kwa sababu hakipo, na nje ya mantiki, kama hakipo hakithibitishiki kwamba hakipo.Thibitisha kwamba hakuna maisha baada ya kufa.
Naam.jibu ni kwamba roho ni dhana tu ambayo watu walikaa wakaibuni
Huwezi kutengeneza isipokuwa utaonekana tu wewe ni muongo na huna akili timamu.Kama inawezekana, huoni kwamba kupitia mgongo huo unaweza kutengeneza uongo kua kitu kipo wakati hakipo na mimi nikakupinga kua hakipo bila hata kujua ukweli kua kipo???
Sasa hili inabidi uwaulize wanao mjua au wanao amini hilo.Farasi asiyeonekana mwenye pembe moja ni mungu pia
Umezaliwa maisha yako yote umemkuta samaki anaogelea, unaanzaje kuanza kumfundisha namna ya kuogelea???
Hapana! Kwanini? Kwa sababu kati ya binadamu, yeye akijitokeza bora zaidi, na viumbe vingine na ulimwengu, utaona na utakubali vimeumbwa. Hivyo hivi vitu ni viumbe na hivyo kuna muumba wake, ndio chanzo chao na ndio kikomo chao.Basi licha ya mungu kuumba binadamu na ulimwengu kiujumla vitu hivi vyote ni lazima viwe na chanzo ikiwemo na mungu mwenyewe.
Ukitazama wewe binadamu uwezo wako wa akili: ufahamu, uelewa, kufanyakazi, mfumo wako, unyoofu wako na ukamilifu wako, utaona na kuelewa unatokana na chanzo chenye akili ya juu sana.sawa lakini chanzo hicho kivipi kiwe ni mungu???
Ishu sio manufaa, uongo ukiwa na manufaa unabadilika kuwa ukweli??Huwezi kutengeneza isipokuwa utaonekana tu wewe ni muongo na huna akili timamu.
Na kwakini utengeneze uongo ? Ili iweje na kwa manufaa ya nani ?
Mungu wako simjui kwasababu hayupo lakini na bado naweza kumjadiili kama yupoSasa hili inabidi uwaulize wanao mjua au wanao amini hilo.
Mimi jadili Uislamu na Qur'aan ndio nitakujibu ila hayo si yetu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi tu.Hapana! Kwanini? Kwa sababu kati ya binadamu, yeye akijitokeza bora zaidi, na viumbe vingine na ulimwengu, utaona na utakubali vimeumbwa. Hivyo hivi vitu ni viumbe na hivyo kuna muumba wake, ndio chanzo chao na ndio kikomo chao.
Huyu muumba wa hivi vitu, yeye ndie chanzo cha vitu hivi; kama yeye ndiye chanzo anawezaje kuwa na chanzo cha chanzo chake?