Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 350
Kanisa linahusika na mambo yanayopita akili ya binadamu. Mambo ambayo yapo juu ya sheria ya maumbile ndio kanisa linashughulika nayo. Lakini kanisa hilo hilo haliachi, wakati huo huo, likishughulika na mambo yanayopita akili ya binadamu, kuwaongoza watu wazingatie sayansi, ndiyo sheria ya maumbile.Hujathibitisha ni vipi placebo effect haiwezekani kanisani.
Kanisa kwa kuwaongoza watu wazingatie sayansi lataka watu waelewe akili ya binadamu ina mipaka na kwamba, iko nguvu au uweza-Mungu aliye juu yao na akili yao.
Kanisa hapo hapo, lataka watu waelewe, akili ya binadamu inafikia huo uwezo kwa uwemo wa Mungu ndani yao.
Tofauti na sayansi inayongozwa na nadharia, Mungu hatuoni anaongozwa.
Kwa mambo yote ya sayansi yanaongozwa na nadharia. Hivi ndivyo ilivyo pia kwa placebo effect.
Tukitazama placebo effect. Tukianza na neno Placebo ni neno linalotokana na neno la Kilatini "placere" maana yake kwa Kiingereza ni, "to please".
Kutoka hapo, placebo may refer as a medicine or regime prescribed for psychological benefit to the patient rather than for any physiological effect. Pia, placebo means a substance that has no therapeutic effect, used as a control in testing new drug. Lakini pia, placebo means a measure designed merely to calm or humour another.
Kutoka kwenye hizi maana tunaona mambo haya yafuatayo: 1. Medicine or Substance, 2. Regime or Measure 3. Patient-stands for any other, 4. Psychologist-which stands for any other expert.
Sasa, placebo effect means a beneficial effect produced by a placebo drug or treatment or measure, due to the patient's belief in that treatment or measure.
Kutoka kwenye hii maana utaona " patient's belief", in that treatment or measure. Hapa kwa mtu anaelewa atajiuliza: huyu mgonjwa, (anaweza kuwa hata mwingine) kabla ya kuwa katika hali hiyo ya ugonjwa au hali nyingine yoyote alikuwa hana imani?
Hapo utakubali kwamba ni jambo la akili ya mgonjwa mwenyewe; au (mtu mwingine yoyote katika halo ya kufanana na hiyo) kukubali bila mashaka kwamba hicho kitu ni kweli.