Maana ya contradiction.Contradiction ni nini?
Nikikueleza habari za contradiction wakati hujui hata definition ya contradiction, utazielewaje?
@kiranga unafilisika sasa.... Hata wale team kiranga wakiona maswali kama haya aibu wataona wao
Bado tu hadi leo mnaendeleaI'm bouncing off of this joint.
There is no debate worth having if people can't even read with comprehension.
You don't have to be concerned about seeing me here.
Peace.
Bado tu hadi leo mnaendelea
Nna shida na wewe mkuu, nikuone pm kama utaniruhusuHalafu wala hakuna jipya!!
Linamhusu nani sasa, kama ni hivo mngepeana namba za simu mkabishana huko weee, hadi uchokeSidhani kama hili linakuhusu
It's nt yr business,You have the options pal... Take it or leave it....!!!
Nna shida na wewe mkuu, nikuone pm kama utaniruhusu
Hili swali apelekewe PM maana hapa naona kama ameaga!!Maana ya contradiction.
: the act of saying something that is opposite or very different in meaning to something else
: a difference or disagreement between two things which means that both cannot be true.
Halafu tatizo sio maana ya contradiction wala hiyo contradiction tunayoizungumzia ni ipi,huko kote tushatoka tulipo sasa ni kutaka kujua ni vp wewe umeweza kupata majibu ya kuwa hakuna Mungu kwa kutumia hiyo contradiction?
ASANTE.
Acha upotoshaji Google ina kuaribu Embu Google.Inshallah...! Roman Catholic ni habari kubwa zaidi ya ujuavyo... Labda nikusaidie kitu hebu soma kitu kinaitwa Inside Vatican.. The secret of 666 nk.. Na kimsingi hiyo RC sio kiwakilishi cha Mungu ama Bible bali ni mojawapo ya madhehebu ndani ya sect nyingi za kidini
unataka jua nguvu ya vatican gusa hapaKinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.
Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)
Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.
Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.
Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.
Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.
Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?
Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Ficha ujinga wako mkuuWanasema ukibishana na mjinga lazima atakushinda tu haijarishi wewe ni nani.
Nikificha ujinga halafu utanitokaje? Ujinga sio kitu cha kuficha.
Hata Kingunge hakua atheist, alikua kama Kilanga tu, sema yeye aliathiriwa na mafundisho ya kina Karl Max yale ya Ukominist, remember moja kati ya nguzo za ukominist ni kuto kuamini uwepo wa Mungu but kihistoria Kingunge alizaliwa na kulelewa kwa madhehebu ya Kikatoliki so anajua ABC za mambo ya dini na mungu pia. Kwa ujumla nakubaliana na mleta uzi, Kilanga nae ni hivyo hivyo tuMwisho wa siku watakengeuka imani yao na kujua kwamba yupo muumba wa yote (Mungu) kama alivyofanya R.I.P kingunge kabla ya kifo chake.