Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hata Kingunge hakua atheist, alikua kama Kilanga tu, sema yeye aliathiriwa na mafundisho ya kina Karl Max yale ya Ukominist, remember moja kati ya nguzo za ukominist ni kuto kuamini uwepo wa Mungu but kihistoria Kingunge alizaliwa na kulelewa kwa madhehebu ya Kikatoliki so anajua ABC za mambo ya dini na mungu pia. Kwa ujumla nakubaliana na mleta uzi, Kilanga nae ni hivyo hivyo tu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa kapotelea wapi sijui..?

wakati mwengine naimis kweli ile mineno yake ya dhihaka_sijui Nyungunyungu asiye......na nini vile..!? akiwa on [emoji95][emoji1]

Bila kusahau uwezo wake wa kutawala jukwa wa Kumi kwa mmoko_jamaa ni mdedli kinoma mazee [emoji16]

Heshima kwake popote alipo[emoji120]

ManchoG
 
[emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Huyu jamaa kapotelea wapi sijui..?

wakati mwengine naimis kweli ile mineno yake ya dhihaka_sijui Nyungunyungu asiye......na nini vile..!? akiwa on [emoji95][emoji1]

Bila kusahau uwezo wake wa kutawala jukwa wa Kumi kwa mmoko_jamaa ni mdedli kinoma mazee [emoji16]

Heshima kwake popote alipo[emoji120]

ManchoG
Atuambie mshana maana ndo alikuwa anamjua vizuri
 
Back
Top Bottom