Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,506
- 151,751
Mungu yupo kwa wanaoamini, lakini kwa wasioamini hayupo?UTHIBITISHO WA UWEPO WA MUNGU.
Mungu yupo kwa wanaoamini. Wewe kama huna hiyo IMANI, siyo rahisi kuuona uwepo wake [hapa hatuna deni](period)
Wanaoabudu ng'ombe na wanyama wengine, wanakiona wanachokiabudu. Nenda ukawaulize ni kwa jinsi gani 'huyo' wanayemwabudu anajibu 'maombi' yao! Kisha omba uthibitisho. Ukipewa uthibitisho wa jinsi wanavyojibiwa 'maombi' yao (nje ya imani) karibu tena mezani tujadili.
Unajua Simba ni mnyama wa porini ambae ni hatari sana. Eagle ni ndege mkubwa mwenye nguvu na vipawa vya pekee miongopi mwa viumbe vya jamii yake. Ukitaka kuwapambanisha fahari hawa wawili ili umpate 'A stand-out winner' kati yao (to be fair) utalazimika utafute 'fair ground' kwaajili ya 'Pambano'...usimpeleke Simba angani akapambane na Eagle, atapigwa, kwasababu mazingira siyo rafiki kwake (fairly). Usimpeleke Eagle porini akapigane na Simba, atachakazwa vibaya mno, kwasababu mazingira siyo rafiki kwake (fairly). Swali ni mazingira gani yatakua 'fair ground' kwa miamba hii miaili kupambana ili mshindi apatikane fairly?!
Now, kwakua wewe bwana #Kiranga ni (Simba) na watu wanoamini uwepo wa Mungu ( Mi ntawaita Eagle, for the sake of this case) ili watu wa kiroho/kiimani (spiritual folks) waweze kukuelezea wewe uwepo aa Mungu, naomba utafute 'fair ground' ya discussion(pambano) ili mshindi apatikane on a fair basis! Ukwel usipingika ni kwamba #Kiranga you're not spiritual, why are you demanding the proof of a Spiritual feature (God)?! Be fair, mtu wa kiroho aki claim uwepo wa Mungu, assume kwamba haongei na wewe because you aren't into their profile! And apparently, they may not be into your profile either!
EXTRA
Kwavile CONTRADICTIONS ndizo zinakufanya u question uwepo wa Mungu, na unaamini pia kua Uwepo wa Mungu upo tu by CONTRADICTION, kwa kutumia maswali haya hapa chini naomba uondoe contradictions unazoziona kwenye holly books ulizozipitia...
1. Assuming umepewa nafasi ya kumchagua your 'Ideal God'...angekua na sifa gani?!
2. Assuming wewe ni Engineer mkuu na CEO wa kampuni kubwa inayomiliki viwanda vya utengenezaj wa robots na kuuza robots hapa duniani, what will be the essential features of your creation.
(essential feature of God's creation is a 'will'-your will which place at hand even the ability of choosing against God who gave u the will-Mungu hakutaka uwe robot-hakutaka aku programme ili uishi (kwa lazma) in accordance with His will.