Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,500
- 151,725
Najua Mungu ni hadithi ya uongo iliyotungwa na watu."Tumekadili mara zote hizo kwa sababu hutaki kukubali kwamba unaamini usichojua.
Ndiyo maana huwezi juthibitisha Mungu yupo."
Wewe ndio uliyoniambia mimi naamini nisichokijua na ndiyo maana siwezi kuthibitisha Mungu yupo,kwa maana mie naamini Mungu hali ya kuwa simjui na ndio maana siwezi kuthibitisha kama yupo.
Sasa wewe unayesema Mungu hayupo unamjua huyo Mungu? Kama humjui basi unapinga usichokijua.
Ndiyo maana wewe huwezi kuthibitisha yupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.