Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ukiwa una jibu kwa hoja hapo sina tatizo wala siofii kupingwa nipo hapa kujifunza lakn si kumuambia mtu poor reply halafu hujamuonyesha wapi alipokosea inawezekana pia ww ndio umekosea hapo
Kwahiyo hiki kumbe ndio kilikugusa!? Am so sorry but it was a poor reply... That's why nika comment hivyo! Ungenihukumu kama kwenye kila reply yako ningejibu hivyo!!!
Sisi... I mean mimi wewe na wengine si wakamilifu na kwa hakika hatujui kila kitu... Sasa tusichukulie kuwa ni wajuzi sana na hatuwezi hata kukosolewa kwa maneno machache ya poor reply!
 
Kumbe members wa JF wanaamini Mungu hadi zama hizi ni kwa sababu hawajui kiingereza hivyo wanakosa maarifa yaliyo kwenye vitabu viliandikwa kwa kiingereza.

Sasa je,hao wengine wanaojua kiingereza na ni wasomi mbona bado hadi zama hizi wanaamini Mungu?
Sababu ni nyingi sana.

Hata Papa anaweza kuwa kiongozi msomi haamini Mungu na anajua Kiingereza mpaka Kilatini lakini ana sababu zake za kuendeleza imani ya Mungu.

Kwanza kabisa.

1. Ni vigumu kujua imani ya mtu, kwa matendo yao utawajua, hata hao wanaosema wanaamini Mungu, imani yao inatia shaka, wengi ni walevi, wazinzi, wezi, wajivuni etc. Mambo ambayo mnasema Mungu anakataza. Mpaka hapo tukisema wanaamini Mungu unawezea kauli hiyo shaka.

2. Watu wengine wanasema wanaamini Mungu kwa uvivu tu. Kusema unaamini Mungu ni kama maji yanayoshuka mlima. Huulizwi sana, huwakwazi wapendwa wako kwenye familia, huhatarishi kazi yako, huonekani mtu wa ajabu. Katika maisha yenye matatizo mengi, wengi wanaamua kusema hivyo wasipate maswali mengi, hata pale wanapoona stories za Mungu hazi add up.

3.Wengine wanajua Kiingereza lakini hawana uwezo/ access wakufuatilia arguments za kuwepo na kutokuwepo Mungu.

4. Wengine wanajua Kiingereza na wanaweza kufuatilia arguments, lakini wameshajikubalisha kwamba suala la kuamini Mungu ni la imani, sila argument, kwa hiyo wameamua kuamini tu.

5.Wengine wanaona kwamba hata kama Mungu hayupo, ni vizuri watu wenye fikra ndefu kusema yupo, ili isije kuwa vurugu watu wasio na simile wakigundua Mungu hayupo na kukosa sababu ya kuishi kwa adabu.

6. Wengine wana maslahi. Viongozi wa makanisa, serikali, mashirika, sehemu yoyote inayokusanya watu wengi, wanaona ni rahisi kuwaongoza watu kama wanaamini Mungu yupo, zaidi ya wale ambao hawaamini Mungu yupo.

7. Wengine wamelelewa katika kuamini Mungu na washakunywa sana maji ya bendera, hata wakijua Mungu hayupo, wataona kashakuwa sehemu kuwa sana ya maisha yao, hawawezi kubadili imani uzeeni.

8. Wengine wanaona Mungu ni dhana ya maana, kwa sababu inatumika kama kichaka cha kuficha ujinga wote wa watu, swali lolote ambalo hatujui jibu lake, tunalipachika kwenye kichaka cha Mungu. Hivyo, watu wanaonekana wanajua mambo. Ukimuondoa Mungu ujinga wetu unatonekana ulivyo mkubwa, na hiliwengine wanaona si jambo zuri.

9. Wengine wanaona mawazo ya kutokuwapo Mungu ni ya hatari na yataleta maangamizi makubwa. Ili kuepuka maangamizi haya, imani ya Mungu ni bora iendelezwe. Hata kama hayupo na wanajua hayupo.

10. Wengine wanaona mifumo mingi wanayoitaka iliyopo sasa imeegemea imani ya Mungu. Wanaokandamiza wanawake watasema dini imepitisha hilo, wanaokandamiza weusi nao wana mistari yao, wanaokandamiza watu tofauti nao wana mistari yao ya dini. Hata watawala wakitaka urahisi kutwawalawanasema "fulani chaguola Mungu". Ukiwaondoela mfumo wa Mungu, mifumo yao mingi sana kandamizi itaanguka na hawataki hilo. Leo mtu wa ISIS anayeua watu kwa jina la dini na kujipatia mafao mengi hivyo, ukimwambia Mungu hayupo,unamuharibia namna yake ya kukandamiza watu. Watu wanaosema "fulani chaguo la Mungu"ukiwaondolea Mungu, unawaharibia msingi wa ukandamizaji wao. Hawa, hata wakijua Mungu hayupo, hawatakubali.
 
Bado uko defensive sana na KULAZIMISHA nikubaliane na mtazamo wako ambao sio uhalisia wangu!? Hizi judgments sio sehemu ya mjadala kwanini nikubaliane na mtazamo nisiokubaliana nao ili kumridhisha mtu!? Am sorry siko tayari... Mbona nilipokusifu na kukushukuru uliponijibu kuhusu akili hukunipongeza!? Ulitegemea niendelee kukusifu hata katika mambo niliyokubaliana nayo?
Nisifu upotoshaji kuhusu ugaidi duniani? Kwamba eti Mungu ndio kaleta ugaidi na blah blah zingine?. Siko hivyo na sitakuwa tayari kuongozwa kiupotoshaji kwa kuhofia kupewa majina na lebo za ajabu ajabu

Kwahiyo hiki kumbe ndio kilikugusa!? Am so sorry but it was a poor reply... That's why nika comment hivyo! Ungenihukumu kama kwenye kila reply yako ningejibu hivyo!!!
Sisi... I mean mimi wewe na wengine si wakamilifu na kwa hakika hatujui kila kitu... Sasa tusichukulie kuwa ni wajuzi sana na hatuwezi hata kukosolewa kwa maneno machache ya poor reply!
Sawa mkuu nimekupata kwa maneno yako ya busara lakn siku nyngne mtu akikosea mpe sababu lakn usimwache njia panda naenda kufturu kdg na lile kanisa ni RC
 
Sawa mkuu nimekupata kwa maneno yako ya busara lakn siku nyngne mtu akikosea mpe sababu lakn usimwache njia panda naenda kufturu kdg na lile kanisa ni RC
Inshallah...! Roman Catholic ni habari kubwa zaidi ya ujuavyo... Labda nikusaidie kitu hebu soma kitu kinaitwa Inside Vatican.. The secret of 666 nk.. Na kimsingi hiyo RC sio kiwakilishi cha Mungu ama Bible bali ni mojawapo ya madhehebu ndani ya sect nyingi za kidini
 
Hata mie nimekuuliza ili kuchokoza mada,maana wengi huishia kusema kuna vitabu vimefichwa.

Ingekuwa vyema kama ungenijibu kama unajua ni kwanini haviteketezwi hivyo vitabu?

Sawa. Hivi mimi kama nataka kukutawala wewe, nikakunyang'anya asili yako(general), nikateka vizazi vyako. Nikakupa mifumo ya maisha mapya ninayoyataka mimi. Hali nikijua kua nilikukuta ukiwa vizuri na yote uliyoyafanya yalikua sawa, tena hivyo mimi nimekuvamia kwa nia mbaya. Miaka ikasonga wewe haupo jamii imesambaratishwa na desturi nilizopandikiza , mengi niliyoyakuta kwako nimeiba na kupotosha ukweli juu ya nguvu zako.Je hivyo vyote havibaki kua siri yangu juu ya vizazi vyako? Huku bado vizazi vyangu vikiendelea kuku adhibu(angalia nchi za kiafrika dhidi ya western).
Kama hujaelewa mpaka hapa basi wewe upo kwa ajili ya kubishana ili uwe kinara ila si kujifunza.

Pia baada ya kuelewa haya niliyokueleza rejea post yangu ya pili ya uzi huu niliyokuuliza na uniapatie walau mtazamo wako.
 
Bado uko defensive sana na KULAZIMISHA nikubaliane na mtazamo wako ambao sio uhalisia wangu!? Hizi judgments sio sehemu ya mjadala kwanini nikubaliane na mtazamo nisiokubaliana nao ili kumridhisha mtu!? Am sorry siko tayari... Mbona nilipokusifu na kukushukuru uliponijibu kuhusu akili hukunipongeza!? Ulitegemea niendelee kukusifu hata katika mambo niliyokubaliana nayo?
Nisifu upotoshaji kuhusu ugaidi duniani? Kwamba eti Mungu ndio kaleta ugaidi na blah blah zingine?. Siko hivyo na sitakuwa tayari kuongozwa kiupotoshaji kwa kuhofia kupewa majina na lebo za ajabu ajabu

Kwahiyo hiki kumbe ndio kilikugusa!? Am so sorry but it was a poor reply... That's why nika comment hivyo! Ungenihukumu kama kwenye kila reply yako ningejibu hivyo!!!
Sisi... I mean mimi wewe na wengine si wakamilifu na kwa hakika hatujui kila kitu... Sasa tusichukulie kuwa ni wajuzi sana na hatuwezi hata kukosolewa kwa maneno machache ya poor reply!

Inshallah...! Roman Catholic ni habari kubwa zaidi ya ujuavyo... Labda nikusaidie kitu hebu soma kitu kinaitwa Inside Vatican.. The secret of 666 nk.. Na kimsingi hiyo RC sio kiwakilishi cha Mungu ama Bible bali ni mojawapo ya madhehebu ndani ya sect nyingi za kidini
Mkuu nimesoma hayo nayajua nimesoma kitabu kimoja kinaelezea km hivyo ulivyovitaja kinaitwa the trail of serpent nikaona mengi ndio maana nilikuwa nahofia kukitaja nisije kupoteza ladha ya uzi huu
 
Sitachoka kukusaidia,mungu amedanganya ktk biblia kupitia kitabu cha jeshua aliposema jua limesima kumbe jua siku zote lipo limesimama, Gallieo akasema hapana dunia ndio inazunguka kanisa likampa hukumu kwakuwa alionekana anapingana na maneno wakamuua lakn mwaka 1992 wakaomba msamaha wakatengua hukumu

Haunisaidii mkuu, tunaeleweshana tu. Naomba urekebishe kwanza hiyo kauli. Kwa hiyo kupitia kitabu cha Joshua ndio uthibitisho wako kwamba Mungu amedanganya?
 
We jamaa kwani tatizo liko wapi?
Hivi unafikiria nilikua nakuuliza mara nyingi unihakikishie maneno yako kwamba Mungu amedanganya bure?
Kwa hiyo hauwezi kuthibitisha ulichokisema kwamba Mungu kadanganya?

Nasita kutumia neno unaamini kwako, umejuaje kama mie ni mfuasi wa hilo kanisa lililoomba msamaha hadi kulazimisha kwamba maneno yangu hayabadili chochote. Jikite kwenye swali nnalokuuliza.

Thibitisha kwamba Mungu amedanganya.
Mkuu mi nafatilia mjadala wako na huyo jamaa, ila nauona umekwama hapa itaingia siku ya tatu sasa hamja move on.
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Nachungulia tu kupewa jibu la swali hili.
 
Ni kweli.

Huko zamani unaweza kusema ni karne za giza, watu hata kusoma walikuwa hawajui.

Leo hii eti mtu anatembea na libraries zote za dunia mkononi kwenye smartphone yenye internet, anajua Kiingereza
-wasiojua Kingereza nawasamehe, hawana access na maandishi mengi sana- kijana, halafu anakubali haya mauzauza?

Kwa nini?

Hapa ulikuwa unajiuliza mwenyewe,ni vp mtu mwenye kujua kiingereza na mwenye access na internet anakubali kuamini Mungu?

Kama ulivyosema ni ngumu kujua imani ya mtu,kwa maana hiyo hizo sababu zako 10 ulizotoa zitabaki kuwa ni mtazamo wako binafsi katika hali ya kujaribu kutafuta jibu la swali unalojiuliza ni kwanini hadi sasa bado watu wanaamini Mungu?
 
Hakuna kitu chochote atakachoandika yeyote ambacho hakitapita katika mtazamo wake.

Ila ukiwekea mkazo sana kwamba ni mtazamo wangu tu, tunaweza kupima mambo kwa truth table point moja baada ya nyingine.

Zaidi.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Kwa muktadha wako hayupo
Kwa ukweli Mungu hayupo.

Ila ukiamua kutynga hadithi kwamba yupo, kwa muktadha wa hadithi unaweza kusema yupo.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo nje ya habari za imani na hadithi.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo factually.
 
Mkuu nimesoma hayo nayajua nimesoma kitabu kimoja kinaelezea km hivyo ulivyovitaja kinaitwa the trail of serpent nikaona mengi ndio maana nilikuwa nahofia kukitaja nisije kupoteza ladha ya uzi huu
Hapana ni njia ya kupanua mjadala... Ukichukulia RC ndio uhalisia kuhusu dini ukristo na Mungu utapotoka vibaya
 
Sawa. Hivi mimi kama nataka kukutawala wewe, nikakunyang'anya asili yako(general), nikateka vizazi vyako. Nikakupa mifumo ya maisha mapya ninayoyataka mimi. Hali nikijua kua nilikukuta ukiwa vizuri na yote uliyoyafanya yalikua sawa, tena hivyo mimi nimekuvamia kwa nia mbaya. Miaka ikasonga wewe haupo jamii imesambaratishwa na desturi nilizopandikiza , mengi niliyoyakuta kwako nimeiba na kupotosha ukweli juu ya nguvu zako.Je hivyo vyote havibaki kua siri yangu juu ya vizazi vyako? Huku bado vizazi vyangu vikiendelea kuku adhibu(angalia nchi za kiafrika dhidi ya western).
Kama hujaelewa mpaka hapa basi wewe upo kwa ajili ya kubishana ili uwe kinara ila si kujifunza.

Pia baada ya kuelewa haya niliyokueleza rejea post yangu ya pili ya uzi huu niliyokuuliza na uniapatie walau mtazamo wako.
Sijui kwanini unakuwa unaeleza kama kwa mafumbo yani hauelezi kitu wazi,yani unakuwa ni kama mtu unaejua jambo sana hadi unaona kero kuelezea.

Halafu kibaya ulishaniwazia vibaya toka mwanzo kuwa nataka kubisha tu unachokieleza,hii sio nzuri na hata kama nikiwa hivyo wewe eleza tu kuna watu wanasoma watafaidika sio lazima niwe mie.
 
Kwa ukweli Mungu hayupo.

Ila ukiamua kutynga hadithi kwamba yupo, kwa muktadha wa hadithi unaweza kusema yupo.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo nje ya habari za imani na hadithi.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo factually.
Bado hii mi misimamo yako kutokana na mitazano binafsi isiyoakisi uhalisia... Kwakuwa kwa fikra zako unadhani kuwa Mungu ni visible object (though you are faking the reality)
Bado unang'ang'ania ithibati za uwepo wa Mungu hali ukijua wazi kuwa mambo ya kiroho hayana ithibati za kimwili na hili unalifahamu vema ndio maana kwa namna zote ulikwepa kulijibu lile swali la kama una AKILI ama huna
 
Hakuna kitu chochote atakachoandika yeyote ambacho hakitapita katika mtazamo wake.

Ila ukiwekea mkazo sana kwamba ni mtazamo wangu tu, tunaweza kupima mambo kwa truth table point moja baada ya nyingine.

Zaidi.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Ni wewe mwenyewe ndio uliyosema ni ngumu kujua imani ya mtu,kwa hivyo hata wewe hauwezi kujua kuwa mtu fulani ni mlevi,mzinzi au muuji kwa sababu haamini Mungu.

Na ndiyo maana nikasema hizo sababu ni mtazamo tu binafsi na hasa ukizingatia wewe mwenyewe bado unajiuliza ni kwanini watu wenye kujua kiingereza na wenye access na internet ila wanaamini kuwa kuna Mungu?
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Nachungulia tu kupewa jibu la swali hili.
Post yako [HASHTAG]#2184[/HASHTAG] umetoa summary imeshiba sana, ni kama vile umetuingiza darasani kutufundisha philosophy of religion.
 
Back
Top Bottom